nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. realMamy

    JamiiForums Tanzania Naomba “Recipe” Nzuri na Rahisi ya kutengeneza “Icecream” za nyumbani.

    Napenda sana kujifunza Mapishi mbalimbali na kutengeneza nyumbani. Lakini linapokuja Suala la “Icecream” za Maziwa kuna kitu Bado sijaelewa vizuri. Wajuzi wa kutengeneza naomba msaada.
  2. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Nanunua Sungura pori Wazima kwa bei nzuri

    Wakuu Nanunua Sungura wa porini kwa bei nzuri sana. Kama ww n muwindaji au unaweza kuwapata nitafute tufanye biashara. Bei 50000/= mmoja Nipo Mwanza. Watu wa dar mtulie haya si mambo yenu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Office inauzwa ipo kwenye location nzuri

    Library ya movies za kutafsiriwa na zisizotafsiriwa inauzwa ipo mabibo NIT chuo cha usafirishaji, library ipo barabarani kabisa, unaweza kukaa mwenyewe au unatafuta kijana ukamuweka kuingiza 30,000 mpaka 45,000 kwa siku ni jambo la kawaida mnoo, office ni banda la mbao nzuri ujihitaji nitafute...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Habari nzuri kwa makampuni ya Mabasi: CATL wazindua battery yenye lifespan ya miaka 15!

    Watengenezaji wakubwa wa battery za magari ya umeme CATL jana (tar 13 Sept) wamezindua battery Tectrans Bus Edition kwaajili ya mabasi ya umeme yenye lifespan ya miaka 15 au Kilometa Mil 1.5 na warranty ya miaka 10 au kilometa Million 1. Hii battery ina energy density ya 175 Wh/kg ambayo ni...
  5. yello masai

    JamiiForums Tanzania Shule nzuri za Serikali kwa mchepuo wa PCB

    Salaam wana jukwaa. Naomba kujua shule za A-Level (form 5 & 6) za serikali ambazo zinafanya vizuri katika combination ya PCB (Physics, Chemistry na Biology). Binafsi tayari nazijua Tabora Boys, Ilboru, Mzumbe na Kibaha. Naomba kutajiwa nyingine zaidi.
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Simu za kukuokoa na chaji zinauzwa zipo kama apple Elfu 75 tu vinashape nzuri sana

    Elfu 75 tu. Specifications: WHATSAPP TU: 0687746474
  7. M

    JamiiForums Tanzania GPA ya 3.0 ni nzuri kwenye fursa za kazi?

    GPA ya 3.0 ni nzuri kwenye fursa za kazi? As data analyst?
  8. P

    JamiiForums Tanzania Salamu kutoka Marekani: Ndulele/Ndulandula/Tulatula ni biashara nzuri

    Mbali na uwepo wa supermarkets(Stores) nyingi huku Marekani, pia yako masoko ya wakulima au wanaita Farmers Market, at least kwa hapa nilipo sijui majimbo mengine kama kuna farmers markets. Masoko yako mengi ambayo hufanyika mara moja kwa wiki. Lakini kwa kuwa yako tofauti unaweza ukainjoi tu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hotel au lodge nzuri Bukoba Mjini 30-50 chakula na club jirani

    Habari wakuu, Niko safarini kuelekea Bukoba Mjini naomba msaada wenu kwa wanaoijua Bukoba vizuri. Nauliza hotel au lodge nzuri kwa buget ya 30-50 ambapo chakula kizuri jirani kitapatikana pia patakua jirani na night club kushangaa shangaa kidogo
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ni benki gani yenye huduma nzuri Tanzania?

    Umuofia kwenu! Kwa hapa Tanzania ni benki gani ambayo ina huduma nzuri kwa wateja wake kuanzia kwenye branch zao mpaka online. Benki isiyosumbua wateja kwa huduma na makato ya hovyo hovyo mpaka mtu unajuta wakati pesa ni zako na umezitafuta kwa jasho. Wandugu tupeane ushauri pesa zetu wenyewe...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ya mwaka 1975 ilikuwa nzuri sana!

  12. haszu

    JamiiForums Tanzania Swali langu: kwani mwanaume hawezi kua na maumbile mazuri? Kwanini kila attribute nzuri inaambiwa ni “ya kike”?

    Kuna vitu vinachosha sana. Mtu anakuona anasema “ Una macho mazuri” au una vidole vya kike (sababu ni vizuri), Au anakuangalia anasema unanywele laini lama za mwanamke. Sasa kwani wanaume ndo wameumbiwa kua na vitu vibaya na vya rough? Ni bora ukae kimya kuliko ku compliment mtu kwa style...
  13. Noel france

    JamiiForums Tanzania Mimi nikiwa Mtanzania tena mzazi mwenye uchungu na matukio ya utekaji, hii inanifanya niichukie nchi yangu. Njii ipi nzuri ya kutatua ili tatizo?

    🚨🚨 ndugu zangu hali ni mbaya, serikali imeshindwa kutuakikishia usalama kwa raia wake. Kiukweli hofu kwa jamii ipo juu tunakosa Amani kama vile hatuna serikali, jeshi la police ndiyo linaongoza kuteka raia wake na viongozi wapo kimya especially Mh. Rais wetu. Kiukweli kunahaja wananchi...
  14. FORBIDDEN HISTORY

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tofauti na Bugando ni hospitali ipi nzuri kwa ajili ya matibabu ya sikio mkoani Mwanza?

    Karibuni wana Rock city mnielekeze.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta guta ya mizigo CC250, CC300 kampuni gani nzuri?

    Habar wakuu ushauri wenu ni guta Gani ya kampuni gani nzuri imara...guta leenye nguvu imara ...nani wakala wa yupi kariakoo ana Bei nzur
  16. G

    JamiiForums Tanzania Side hustle: natengeneza laki 1+ kila wiki kwa kuwauzia electronics ndogo watu wa vijijini na mikoa ya karibu, nawe unaweza

    Hii ni side hustle, sio shughuli yangu rasmi Sipo Dar lakini nipo kwenye jiji mojawapo kati ya matano, kama mnavyojua kwenye majjiji kuna utitiri wa electronics na ushindani wa hali ya juu unaofanya bei ziwe competitive. Kwenye biashara ya kudalalisha vitu, ujuzi wa vitu unavyouza ni muhimu...
  17. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Demokrasia isikiuke maadili ya kijamii

    Wakenya wanastahili pongezi kwa hatua waliyofikia katika demokrasia. Lakini kama demokrasia ikiwa inakiuka maadiki ya Jamii husika, inakuwa ni ya hasara badala ya faida. Nionavyo, kwa sababu ya uhuru wa kujieleza, baadhi ya Wakenya, hasa vijana, wanatumia hiyo fursa kufanya mambo ambayo ni ya...
  18. Brojust

    JamiiForums Tanzania Drive show nzuri kwa sasa: Hongera sana Salim Kikeke, naona naona umefanya proper replacements ya Gadna

    Salaam wakuu; Kwa siku za karibuni naona kipindi cha KASRI cha salim kikeke ndio imekuwa Drive show nzuri zaidi, ukizingatia maudhui yake na watu anao wahoji. Jamaa naona ana bonge moja la idea, Kweli aliyekuzidi ki exposure amekuzidi tu. Baadhi ya vijana, wajifunze sana kwa salim kikeke...
  19. Mjina Mrefu

    JamiiForums Tanzania Naomba Connection ya kupata Wauzaji wa vioo vya simu kwa jumla kwa bei nzuri

    Wakuu, Kuna chimbo nimelipata pana gape ya vioo vya simu kuanzia viswaswadu hadi Smartphone. Nimejaribu kusaka maduka yanayouza jumla, naona bei zimechangamka sana. Mfano kioo mafundi simu wanavyouza elf 30, madukani nao wananiuzia bei iyo iyo. Tupeane connection nitakapopata kwa bei nzuri...
  20. USSR

    JamiiForums Tanzania Ndoa inataka akili nzuri

    Ndoa ni jambo jema hakua jambo zuri ambalo halihitaji akili sio kila mmoja anaweza ndoa ,kuna mataifa viongozi hupimwa kwa ndoa kama huwezi kuhadle ndoa utaweza kumuongoza nani ?. Ndoa ni sanaa hakuna sanaa bila akili ,ndoa huhitaji kufikiri kila siku ,kila saa wapi na nini nifanye inahitaji...
Back
Top Bottom