nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. cacutee

    JamiiForums Tanzania Gari gani ya kwenda Arusha ni nzuri kwa mwendo na kwa muonekano?

    Wakuu heshima zenu, Ninaomba kujua usafiri wa kwenda Arusha wa uhakika kwa muda wa usiku kutokea Dar es salaam. Gari luxury kweli Gari linalofika kwa wakati Huduma nzuri (hotel ya chakula kizuri, wahudumu wenye kauli tamu zisizokera, na mengineyo) Asanteni.
  2. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ni mfumo mzuri ila una changamoto kubwa

    Demokrasia ni mfumo mzuri ila una changamoto kubwa bila jamii yenye . Uelewa mkubwa katika mambo ya kijamii . Uelewa mkubwa katika mambo ya kisiasa . Kiwango cha juu cha ustaarabu Demokrasia unakuwa mfumo mbaya katika jamii husika, kama unavyo fahamu kuwa demokrasia ni mfumo unaotoa kiwango cha...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wenu haraka sana, Ni kampuni gani nzuri ya kubeti simba vs Yanga mechi ya leo kwa matokeo ya ataeshinda

    habari zenu wazee wa kuweka mizigo Nataka nibeti nusu fainali ya leo Yanga vs Simba, timu itayofuzu kucheza fainali nichague option ipi na kampuni ipi nzuri ? nipo karibu na jengo la gal sports betting, niliwahi kufungua account ya meridian bet na sporty bet
  4. Mi mi

    JamiiForums Tanzania EMPIRE OF DUST: Hii nafikiri ni filamu nzuri yenye funzo, kuna jambo mchina akielezea kutuhusu sisi waafrika kupitia Congo

    Tunaweza sote kuitafuta hii filamu. Kupitia video clip niliyoona imenivutia kutaka kujua kiundani zaidi. Hapa mchina akitoa somo fupi kwa huyu mkongo na kwa kiasi kikubwa somo hili ni picha yetu sote waafrika tunafanana mambo sio kongo wala sio Tanzania au Uganda na ni picha halisi ya wachina...
  5. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania Je, Halotel Unlimited Internet ya 50,000 kwa mwezi ni nzuri?

    Kuna mtu kaniambia kuna halotel unlimited ila ikipita gb 24 inapungua spidi, je hiyo spidi ipoje baada ya 24gb.
  6. BUSH BIN LADEN

    JamiiForums Tanzania We Dada Perfume Yako Nzuri Sana

    Nimemwambia hivo dada mmoja jirani yangu nashangaa ananijibu eti "eeh kujenga nishindwe hadi kupendeza nishindwe" huku anajichekelea mwenyewe kwa furaha. Nimeshindwa kuelewa perfume inamfanya vp mtu kupendeza?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Siwa amekamilisha kazi yake ya kupanga safu sahihi kwa kesho nzuri, mliopo ofisini anzeni kuaga mpishe damu mpya na mawazo mapya

    Mabadiliko yanayotokea sasa yanaanza kusuka upya mfumo wa utumishi wa umma. Tunategemea mapendekezo ya kiongozi aliyestaafu yanakwenda kuweka mwanzo mpya kwa mfumo wa utumishi. Wapo wenye dola watakaotumbuliwa na kukabidhiwa wengine wanaoendana na mahitaji ya sasa. Ni muda muafaka kwa wakuu wa...
  8. aise

    JamiiForums Tanzania Najenga chemba nzuri za kisasa kwa bei rafiki

    Karibuni sana wakuu kama unahitaji kujengewa Chemba nicheki +255624254690
  9. britanicca

    JamiiForums Tanzania Hatua za haraka zisipochukuliwa hapo Slovenia kunaweza kutokea jambo kubwa

    Wale wajuzi wa mambo ya intelligence Waanaweza angalia kwa jicho jingine Fuatilua ziara za wakuu wa mihimili na ulinzi wanaopaswa nimejiridhisha pasina Shka kuna uzembe mkubwa kuliko hata wa waliotangulia. Kuna jambo linapangwa Hapo Slovenia mnaweza anza mambo ya Nani ashike kwa muda Britanicca
  10. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Ambwene Mwasongwe anafanya kazi nzuri

    Ambwene Mwasongwe anafanya kazi nzuri za nyimbo za gospel. Uimbaji wake unakonga moyo wangu natumahi pia kundi kubwa la watu kama mimi huvutiwi na uimbaji wake. Ombi langu Ni nyimbo gani za Mwasongwe hukuvutia na kukonga moyo wako pale huzitegeapo sikio ?
  11. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza, Hii Speed ya Internet ni nzuri?

    Wataalam. Ninatumia hii router ya Airtel 5G, sasa kwa hapa nyumbani nikirun test inanipa hizi download na upload speed: Je, ni speed nzuri? Nimelipia ile ya Elfu 70. Nikirun speed uwa inakuja 10Mbps hadi 15Mbps. Kwa YouTube 720p kwenye TV inaenda vizuri, buffering mara chache especially...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Tuweke orodha ya simu zenye kamera nzuri zaidi

    Wakuu mimi si mpenzi wa pixel, iphone na Samsung lakini najikuta nataka kuchukua tu, Sina namna majuzi nimetafuta simu nzuri yenye kamera kali kila tukilinganisha na pixel basi pixel kiwembe, hakuna simu inayowe beat pixel yenye single camera au double camera sipendi camera nyingi, iwe updated...
  13. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Njia gani nzuri ili Tajiri ayachukulie kwa uzito mambo unayomshauri pengine huwa anayasahau kwa sababu ya ana mambo mengi

    Labda nielezee Kwa mfano ili nieleweke. Kwa mfano unafanya kazi katika kiwanda au kampuni na wewe ni kibarua tu means huonani sana na management ya juu na kila linaondelea juu hujui wala huhusiki tu kwenye mipango yoyote. Hujui uhusiano wao Kwa wao hujui wanayoyasema. Sasa nyie vibarua kuna...
  14. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Movies gani nzuri kutazamwa na wajasiriamali?

    Mimi siyo mtazamaji sana wa movies, si kwa sababu sipendi, ila ni vipaumbele. Ninapenda zaidi kusoma, hivyo mara nyingi nipatapo nafasi, hutumia kwa kusoma. Ukinikuta natamaza TV, ujue ni ama taarifa ya habari au documentary ya Kisayansi, n.k. Lakini nimesoma mahala kuwa kuna movies zinazoweza...
  15. SOVIET UNION

    JamiiForums Tanzania India na dawa nzuri sana za mitishamba

    India ni moja ya mataifa yanayo amini sana kwenye Tiba asilia na ndio sababu wana idadi kubwa sana ya dawa za asili. Kampuni kama Himalaya ina dawa nyingi sana za asili za magonjwa tofauti tofauti. Kwa Dawa za Himalaya welness kama kuna dawa ya asili ya ugonjwa wowote unaitafuta kwa nuda...
  16. Clas Ohlson

    JamiiForums Tanzania Naomba mnipe ushauri wa sehemu gani nzuri na affordable ya kuweza kupata eneo zuri la kujenga makazi kwa ajili ya kuishi

    Ndugu zangu hongereni kwa majukumu ya kujenga uchumi wenu kwa manufaa ya familia zenu bora. Mimi naomba mnipe USHAURI wa sehemu gani nzuri na affordable ya kweza kupata eneo zuri la kujenga makazi kwa ajili ya kuishi mimi na familia yangu ambayo Mungu atanibariki hapo baadae. KUSUDIO: Ni...
  17. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Nchi inapigwa, kutwa nzima ni Mada za Yanga na Simba

    Tanzania ni nchi ya Kipuuzi sana fikiria kutwa nzima,vituo vya Radio na Television maada ni Mpira yaani hata Brazili sio hivyo, Brazili wanao penda mpira bado hatujawafikia. Hakuna Maada nyingine utaisikia kwenye hivi vituo zaidi ya Yanga na Simba kutwa nzima, wanaanza kujadili mpira kuanzia...
  18. monotheist

    JamiiForums Tanzania Perfume zenye harufu nzuri kwa maoni yangu

    Mimi nina allergy na perfume nikitumia huwa napata mafua makali na kichwa kinauma baada ya kupata kazi karibu na duka la perfume nikawa nafanya utafiti perfume zipi ambazo zitanifaa Hizi ni miongoni mwa perfume ambazo harufu yake imepoa sana na zinanukia vizuri si kali na nikizitumia huwa...
  19. Yofav

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji kuhama kutoka kuwa mteja wa benki ya Nmb ni benki gani nzuri kufanya saving?

    WAKUU HII BENKI IMENISHINDA TABIA, SASA MTU KUANGALIA TU SALIO LANGU WASHAKULA 3500 SASA KAMA HUU⬆️ SIO UNGESE NI NINI? Naombeni ushauri ni benki gan niwe naweka akiba zangu.
  20. G

    JamiiForums Tanzania Je, nichague course ipi nzuri na yenye fursa ya ajira kwa combination za arts?

    Mimi ni muhitimu wa kidato Cha sita mchepuo HGK. Nahitaji kujua ni course ipi nzuri na yenye fursa ya ajira naweza kwenda kusomea chuo kikuu?
Back
Top Bottom