Affordable ipi?Naombeni kunitajia hotel nzurii na mpya za hivi karibuni hapa dar bei iwe affordable na sehemu iwe imetulia nawakirisha.
Zi range 50k mpk 70kAffordable ipi?
Kuna mtu ana afford 20k
Mwingine 200k
Maeneo ya kigamboniIla dar ni kubwa sana ungekuwa specific eneo gani ungependa iwe
Nermat Kinyamwezi
50k mpk 70kYa bei gani maximum? Kuliko jificha au.
Bei yake ikojeNenda Lampard Hotel TipTop Manzense
Nenda pale maktaba mahakama ya ndizi mabibo market utanishukuru baadae au nenda Riverside kwa Ruge utanishukuruNaombeni kunitajia hotel nzurii na mpya za hivi karibuni hapa Dar es Salaam bei iwe affordable na sehemu iwe imetulia nawakilisha.
Taja jina la hotelNenda pale maktaba mahakama ya ndizi mabibo market utanishukuru baadae au nenda Riverside kwa Ruge utanishukuru
Ruge dreamcity?Nenda pale maktaba mahakama ya ndizi mabibo market utanishukuru baadae au nenda Riverside kwa Ruge utanishukuru
Jaromax hotelTaja jina la hotel
50 to 100Bei yake ikoje
EehRuge dreamcity?
Hiyo sio hoteli ni lodge ya kawaidaZi range 50k mpk 70k
Ruge hamna pa kulala ni kijiswimming pool cha mita 3 kwa 7, hawana ata counter na sehemu ya kuangalizia mpira tu. parking tu unaweka gari barabarani.
Bei yake ikojeJaromax hotel