nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuwa na Viongozi Waadilifu na Wasimamizi Wazuri wa Katiba ni Jambo Jema, Lakini Jambo Jema Zaidi ni Nchi Kuwa na Katiba Nzuri

    Katika mjadala wa maendeleo ya kisiasa, kijamii na kiuchumi wa taifa lolote, hoja ya uadilifu wa viongozi huwa inajitokeza kama msingi wa mafanikio. Hata hivyo, historia ya mataifa mbalimbali imeonesha kuwa uadilifu wa viongozi hauwezi kufanikisha maendeleo ya kudumu iwapo haujawekwa ndani ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kina Mrema 2024 walikuja na kauli mbiu ya "watake wasitake" hivi ni nzuri kuliko ya No reforms No Election?

    Mwaka 2024 wakati John Mrema akiwa ni sehemu ya viongozi wa CHADEMA Makao Makuu, walitoa kauli mbiu ambayo ilitumika kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa. Kauli mbiu hiyo ya "WATAKE WASITAKE" ilikuwa inaashiria kumbukizi ya kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2020 na kwamba kwenye uchaguzi wa 2024...
  3. JamiiForums Tanzania MSAADA: Kamera nzuri ya bei ya chini kwa kwa ajili ya video

    Kwa bajeti ya 200,000 hadi 300,000 naweza kupata kamera gani nzuri kwa ajili ya short films na clips. Nipo mtwara. Kwa sasa natumia simu kufanya hivyo vyote.
  4. JamiiForums Tanzania Faida za kua na wi-fi router zenye ubora na speed nzuri

    Wadau najua wapo watu mnaotafuta wi-fi router nzuri huku so nimeona niwaletee uzi huu huenda ukawa msaada kwa wengine. FAIDA ZA KUWA NA WI-FI ROUTER ZA TIGO (YAS) Ndugu yangu kua na hii wi-fi router kuna faida nyingi sana, kama unajiweza kidogo, jitahidi usikose kifaa hiki. 1. Ukiwa na...
  5. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba nzuri yakuhamia, vyumba 3, Tshs.60 milioni, Goba muungano

    ...
  6. JamiiForums Tanzania Wakuu kwa bajeti ya Tsh milioni 21. Nichukue toyota ipi ilio durable?

    Karibuni car experts
  7. JamiiForums Tanzania Kijaluo ni lugha moja nzuri sana

    Katika lugha za kiafrika,kijaluo ni lugha moja nzuri sana na naipenda sana. Nilianza kuifahamu lugha hii nikiwa na miaka 20 na kwa kudra za Mungu,nilipata mtoto na dada mmoja anaitwa akinyi wa ahero nyakach.Nimejifunza sana lugha hiyo,historia yake na nyimbo zake. Kuna mwaka mmoja nilienda...
  8. JamiiForums Tanzania Kama hauna roho mbaya sahau kuhusu utajiri

    Hellow wakuu Tunaishi kwenye dunia ya kibepari, daktari anategemea wagonjwa wamlipe ili aishi watu wasipo umwa anakufa njaa, mchungaji anategemea waumini watoe sadaka ili apereke watoto shule nzuri ale na kusaza, mganga anategemea biashara za watu ziyumbe ili waende kwake wamlipe ndio...
  9. JamiiForums Tanzania Je, wajua umuhimu wa logo nzuri ya biashara?

    Wasiliana nasi leo Kwa WhatsApp no 0656965704 Tukusaidie kuipa Biashara Yako Maisha. Huduma Zetu ni: Logo design Poster design Flyers design Kadi za mialiko na Harusi Business card design Banners design Cv design Social media post template Karibu Tukuhudimie Leo..
  10. JamiiForums Tanzania GSM tutaendelea kuwepo na tutadhamini teams nyingi zaidi ili ligi iwe nzuri: Hawa wazee wa wapi hawa?

    Toka tumeanza kudhamini teams nyingi ligi imechangamka sana. Tunaona ubora ulivyo kwetu. Sasa ninyi hamtaki why?
  11. JamiiForums Tanzania Bangi ni dawa nzuri sana tangu miaka ya kale

    Kwa maelfu ya miaka, bangi imekuwa dawa kuu kwa binadamu, lakini sheria ziliharibu yote. Imetumika kama dawa ya maumivu kwa miaka 12,000—kutoka Misri ya kale hadi China. Warumi walitegemea pia, na hadi miaka ya 1900, ilikuwa dawa ya maumivu inayotumiwa zaidi ulimwenguni. Lakini mwaka 1961...
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanapenda kusifia sauti yangu kuwa ni nzuri.

    Sijui kwa nini kila nikiongea na mwanamke yeyote kwenye simu lazima anisifie eti nina sauti nzuri. Kituko kimetokea jana kuna manzi nilikua namtongoza kwenye simu,wakt tunaingea eti akaniambia nina sauti nzuri mpaka pichu yake imelowa. Wakuu hivi sauti nayo inaweza ikakufanya ukapendwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Ni aina gani nzuri ya Baiskeli kwa Ajili ya Mazoezi ili kuimarisha Afya

    Salamu Wakuu, Habari za weekend. Nina plan ya kuanza mazoezi kwa ajili ya kuimarisha Afya, huu mwili naona siuelewi, nahitaji kuuweka sawa hasa kuimarisha misuli ya viungo. Nataka niwe na ka bike cha kimtindo cha kufanyia mazoezi kwa kurid huko barabarani badala ya kufuata bike za gym ambazo...
  14. JamiiForums Tanzania Njia nzuri ya kumwambia mtu anaetoa harufu mbaya (kali) mdomoni na asikasirike

    Tajiri huwa haongei sana. inajulikana masikini wana hasira za haraka mno, nahofia nisije kutumia njia ya kawaida tu kumwambia huyu mtu nikashangaa ananipiga kabali. Na vile masikini walivyo na nguvu anaweza kuniuwa.
  15. JamiiForums Tanzania Ni PC gani nzuri kati ya hizi mbili? HP spectre 2 in 1 au Lenovo Yoga 2 in 1

    Ni PC gani nzuri zaidi kati ya hizi mbili?
  16. R

    JamiiForums Tanzania wataalam wa kushusha mizigo, ni wapi nitaipata muvi ya Lucky Seven quality nzuri

    Jumapili ya leo nataka niangalie hii muvi pamoja na watoto nimeshindwa kuipata, nakuja kwenu wataalam wa kuyajua machimbo ya links na torrents nawaomba mnisaidie
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kati ya Bank na law firm wapi pazuri kufanya kazi

    Habari viongozi...nilikua naomba ushauri kati ya bank position ya marketting ambayo sijasomea na law firm position ya administrative officer wapi penye manufaa ukifanya kazi interms of career development,financial benefits na potential for growth... NB.Zote nimepewa probation period ya miezi sita
  18. JamiiForums Tanzania Moja ya Apps nzuri kuwa nazo kwenye simu.

    Hii apps ipo playstore ni moja ya apps nzuri sana. Apps hii ni kama Insta naweza sema au tiktok ila inakupa task za kufanya na ukiweza kufanya kwa wakati wanakulipa japo kidogo. Pia ukiweza tengeneza video fupi ya sec 90 yenye content nzuri ikapendwa na watu namaanisha likes nyingi unapata pia...
  19. K

    JamiiForums Tanzania BEI NZURI YA MISE

    Habari za kwenu wadau. Naomba mnisaidie kujua ni sehemu gani naweza nikapta mafuta ya Mise kwa bei nafuu Nawakilisha kwenu. Mimi nipo Dar es salaam.
  20. JamiiForums Tanzania Nahitaji printer ya epson yenye hali nzuri. Nipo moshi

    Mwenye anauza printer ya Epson used yenye hali nzuri , na ikiwa na warranty itapendeza zaidi ...anicheki nipo moshi Kilimanjaro Njoo na ofa yako Mawasiliano. 0672701329
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…