nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Ni websites au app gani nzuri za kuangalia historia ya ajali, matemgenezo na service za magari kutoka Japan?

    Ni websites au app gani nzuri za kuangalia historia ya ajali, matemgenezo na service za magari kutoka Japan? Msaada kwa hizo websites tafadhali
  2. A

    KERO Kitengo cha Mapokezi Hospitali ya Rufaa Mbeya hakina huduma nzuri, kuna mtumishi anaongea sana na simu, hajali wagonjwa

    Watu wa Mapokezi ya Wagonjwa katika Hospitali ya Rufaa Mbeya hawana huduma nzuri kabisa kwa Wananchi wanaofika kituoni hapo. Mfano kuna mtumishi mmoja anaongea na simu muda mwingi bila kujali wagonjwa walio mbele yake, amekuwa na kawaida ya kufanya hivyo na hajali wanaohitaji kuhudumiwa. Mbali...
  3. C

    Claude ni chat bot nzuri kuliko ChatGpt, ni swala la muda tu

    Leo nilimshirikisha Chatgpt kwenye issues fulani anipatie ushauri, kisha nika copy prompt niliyomuandikia Chatgpt nikaenda ku paste mwa Claude kama ilivyo, Ushauri wa Claude umenyooka sana na haipo upande wa kukupamba na kutaka ikufurahishe sana kwa kukubaliana na idea zako bali inakupa ushauri...
  4. S

    Website nzuri ya kuverify ubora wa magari used japan kwa kutumia chassis au vin number

    Habari wanaJF kwa mwenye uzoefu aliyewahi verify ubora wa gari used japan wakati anaagiza kwa kutumia chassis au vin number naomba anijuze website aliyotumia. Najua Chatgpt inaweza toa majibu kwa kiasi fulani but napenda nipate uzoefu direct wa mwanaJF maana naamini kuna mengi ya kunisaidia...
  5. McLaren

    Madeleka: Katiba tuliyonayo na inayotetewa kwamba ni nzuri ilitengenezwa na watu 20 ndani ya wiki 2

    Wakuu, Akizungumza jana kwenye kipindi cha Jambo Asubuhi cha Jambo TV Peter Madeleka alisema kwamba Katiba inayotumika sasa ilitegnenezwa ndani ya wiki 2 tu na ilitengenezwa na watu 20 pekee "Upatikanaji wa Kataiba tunayotumia leo haikupaatikana kwa michakato hii ambayo tunaambiwa leo ni...
  6. A

    Ashwagandha by Himalaya inapatikana hapa kwa bei nzuri

    Ashwagandha ni tiba asili ya kihindi iliyojizolea umaarufu mkubwa kutibu changamoto nyingi za kiafya. Mmea huu unazalishwa zaidi Mashariki ya kati, Asia na hata Africa ya magharibi. Faida za Ashwagandha ni pamoja na 1. Kuboost memory na uwezo wa kufikiri 2. Kuboost hormone ya kiume 3...
  7. JITU BANDIA

    Msaada: Dawa ipi ni nzuri ya hospitali ya kukausha uvimbe wa mguu baada ya kuparuliwa na paka? Chanjo ameshachoma.

    Wasalaam aleykum, Twende kwenye mada, Nina mdogo wangu aliparuliwa na paka wiki mbili zilizopita, baada ya hapo tukamchoma chanjo zote za za kuzuia athari ya kung'atwa na wanyama pale hospital... Lakini hadi sasa ameendelea kutumia antibiotics mbali mbali, mguu haupungui uvimbe! Uvimbe...
  8. U

    Mwenye uzoefu na friji za Tmall naomba anambie kuhusu ubora wake au ni friji ipi nzuri kwa bajeti isiyozidi laki tano

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada kwenye hilo Mwenye uzoefu na friji za Tmall naomba anambie kuhusu ubora wake au ni friji ipi nzuri kwa bajeti isiyozidi laki tano
  9. Sacsosanct

    Plot nzuri inauzwa Kiluvya madukani

    Urgent wakuu!, plot inauzwa, SQM 400, imejengwa msingi na kisima kipo. IPO 2km from main road, Kiluvya Madukani maeneo ya kwa mhindi-tondoroni. Ni nzuri sana! Njoo inbox kwa details zaidi. Mil. 8 tu! Docs zote zipo za kisheria na kitaalamu!
  10. Sacsosanct

    Plot inauzwa, SQM 400, imejengwa msingi na kisima kipo

    Urgent wakuu!, plot inauzwa, SQM 400, imejengwa msingi na kisima kipo. IPO 2km from main road, Kiluvya Madukani maeneo ya kwa mhindi-tondoroni. Ni nzuri sana! Njoo inbox kwa details zaidi. Mil. 8 tu! Docs zote zipo za kisheria na kitaalamu!
  11. M

    rangi na material ipi nzuri kushonea seat cover za gari kwa mazingira na hali ya hewa ya Dar ?

    Nimeipenda rangi nyeusi ila kuna sehemu nimeambiwa huwa inanyonya sana joto Je nichukue rangi ipi au mchanganyiko wa rangi gani. material ipi nzuri kwa bei isiyozidi laki 3, gari ina siti tano
  12. Royal Son

    BLIND SPOT MIRROR – Ulinzi wa Ziada Barabarani

    🚗🏍️✨ BLIND SPOT MIRROR – Ulinzi wa Ziada Barabarani! ✨🏍️🚗 Epuka ajali kwa kuongeza uoni mpana zaidi wakati wa kuendesha! ✅ Inafaa kwenye Pikipiki 🏍️ ✅ Inafaa kwenye Bajaj 🚕 ✅ Inafaa kwenye Magari aina zote 🚗 ✅ Rahisi kufunga – bandika tu kwenye kioo ✅ Inaongeza usalama wakati wa kubadilisha lane...
  13. O

    Tumia mfumo ule ule uliojenga jambo hilo kwao kulipinga kama uko kinyume nao

    Mambo ya IMANI yapinge Kwa IMANI Mambo ya SAYANSI Kwa SAYANSI Falsafa Kwa falsafa. Kinyume na hapo hakuna kinachofanyavkazi unabaki na mtazamo wako na wao mtazamo wao. Ukipingana kwa falsafa au fact za kisayansi, Kwa WATU WA Imani, mara nyingi watu wa imani hawatakubali kwa sababu msingi wao...
  14. Mi mi

    Uzi wa nyimbo zilizo tumia AI

    Afichaye dhambi zake
  15. kali linux

    Je ni wapi naweza pata huduma nzuri ya corporate food catering kwa hapa dar?

    Hello bosses and roses... Je ni wapi au nani anatoa huduma nzuri ya corporate/office food catering kwa hapa dar? Location around Ubungo, Kimara na Tabata. Pia hata kama una hoteli yako na upo maeneo hayo pia unatengeneza chakula grade nzuri unaweza nicheki tuka-negotiate
  16. M

    Ni ipi kozi nzuri kwa mtoto wakike itakayomwezesha kujiajiri na kuajiriwa serikalini

    Kuna Binti amemaliza form four 2025 lakini matokeo yake ni division four Sasa anataka kujiunga na VETA lakini hajui ni kozi gani yakwenda kusoma Ndg wadau naomba msaada wamawazo
  17. secretarybird

    Ipi ni njia nzuri kwako kujilinda kati ya deterrence (ulinzi wa kutisha) na concealment/ low-profile defense (ulinzi wa siri)

    Je, unaonesha nguvu kama kinga yaani unafanya deterrence/intimidation strategy ili watu wasikusogelee, ama unafanya concealment/low profile defense ili adui akija kichwa kichwa umfanyie kitu kibaya? Wanajeshi wa JWTZ hupendelea intimidation strategy. Wamepasua sana tofauli kwa nyundo kwenye...
  18. H

    Katiba mpya ni nzuri lakini je hata kama ikiandikwa katiba mpya itaheshimika na kufuatwa?

    Mjadala wa katiba mpya umekuwa ukijirudia mara kwa mara, huku wengi wakiamini kuwa suluhisho la changamoto za kisiasa na kijamii ni kuandika katiba mpya. Ni kweli kwamba katiba mpya inaweza kuwa fursa ya kurekebisha mapungufu yaliyopo, kuimarisha uwajibikaji, na kuweka misingi mipya ya utawala...
  19. jamaikatz

    Njia gani ni nzuri ya kuachana na Mpenzi au Rafiki?

    Unatumia njia gani kuachana na mpenzi wako au rafiki yako kama imefikia hatua unaona hamuendani au unaona kabisa huyo mtu huwezi kutoboa naye mbele ya safari?
  20. Wakili wa shetani

    Kusema ukweli nchi ya Rwanda ni nzuri sana

    Nimekuwa nafuatilia video za nchi ya Rwanda, hata za huko vijijini. Kwa kweli hii ni nchi nzuri sana. Baada ya miaka kumi ikiendelea hivi itakuwa muonekano wa nchi za Ulaya hata kuzidi. Kila kitu unaona kimepangwa na wapangaji wanaojali watu wao. Mambo yote yanaonyesha kuwa kuna order...
Back
Top Bottom