Tumia mfumo ule ule uliojenga jambo hilo kwao kulipinga kama uko kinyume nao

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
3,551
Reaction score
5,249
Mambo ya IMANI yapinge Kwa IMANI

Mambo ya SAYANSI Kwa SAYANSI

Falsafa Kwa falsafa.

Kinyume na hapo hakuna kinachofanyavkazi unabaki na mtazamo wako na wao mtazamo wao.

Ukipingana kwa falsafa au fact za kisayansi, Kwa WATU WA Imani, mara nyingi watu wa imani hawatakubali kwa sababu msingi wao si “ushahidi wa maabara” bali ni:

Maandiko
Mapokeo
Mafundisho ya kidini na
Uzoefu wa kiroho vile Wana experience.

Mfano: Kama unajadili mafundisho ya Biblia, ni rahisi kushawishi waumini kwa kutumia vifungu vingine vya Biblia kuliko kutumia nadharia ya Aristotle au tafiti za kisayansi.

Aya naenda kunywa chai nilale.
 
Hakuna anae pinga hilo , shida inakuja pale watu wa imani wanapodai imani zao ndio ukweli na uhakika wa mambo, hakuna mtu anamzuia mtu kuamini mambo yake .

Ndio maama hakuna anaekwenda huko makanisani kwenu kuwapinga kwa chochote, ila ukiweka humu lazima uombwe uthibitisho wa madai yako.
 
Imani ni changa la macho hapo utaambiwa anaeomba Mungu kamjibu kwa atheist kutengeneza Raft( tenge)
20260228_063505.jpg
 
Seran jibu hili hapa katoa jamaa.
Wewe ukiamini mambo Yako mwenyewe amini tu kama alivyo Lax,
Ila ukileta hapa na kusema Imani Yako ni sahihi ndiyo akina Kiranga wanatia timu kuomba uthibitishe
 
Imani ni changa la macho hapo utaambiwa anaeomba Mungu kamjibu kwa atheist kutengeneza Raft( tenge)
View attachment 3549762
Fallacy of generalization/hast

Picha inasema Atheist anafanya kazi, mwenye imani anaomba tu.

Huu ni uongo usio na mantili.

1.wapo atheist wavivu wasiofanya kazi wanashinda vijiweni na wapo waofajyakazi.

Wapo wenye Imani wavivu wanashinda kanisani au misikitini hawafanyi kazi na wapo wanaofanya kazi Kwa bidii.

Na baadhi ya Imani mfano ya kikorosto inasistiza kupitia vitabu vyake na kwamba asiyefanyakazi na asile.

Tola uumbaji inasema mwanaume atakula Kwa jasho.

Sasa hiyo picha YAKO ina make sense?
 
Unajaribu kuzungumzia nini ? Nenda moja kwa moja kwenye point yako
 
Seran jibu hili hapa katoa jamaa.
Wewe ukiamini mambo Yako mwenyewe amini tu kama alivyo Lax,
Ila ukileta hapa na kusema Imani Yako ni sahihi ndiyo akina Kiranga wanatia timu kuomba uthibitishe
Yeah kila mtu ana haki ya kuamini anavyotaka , ila ukitaka wengine waamini unavyo amini wewe lazima uhojiwe kwa kina
 
Back
Top Bottom