Usiku huu mwanangu amekuja ananipanga na uongo ambao na mimi niliutumia ujanani, akanikumbusha enzi za chuo. Sisi tulioishi nyumbani, wazazi walijitahidi kutulinda, ila wavulana wa enzi zetu waliwazidi kete.
Sijui uongo gani sijasema kwenda kupewa utamu :uwotWater::uwotWater::uwotWater: na...