House4Rent Nyumba inapangishwa Tegeta Masaiti

Susan85

Member
May 23, 2017
86
19
Nyumba inapangishwa Tegeta Masaiti 1km kutokea Kibo complex na pia 1km kutokea nyuki sokoni.

Nyumba ina vyumba 2, sebule, dining, choo na bafu. Nje ina servant house ya vyumba viwili na mabanda ya kuku mawili yenye uwezo wa kufuga kuku broiler, kienyeji/

bata au sungura.

Eneo zima linakodishwa kwa laki 4.

Whatssap 0754840408/ 0756661761

2097423_15613820432295985252637983636216.jpg
nyumba4.png
nyumba3.png
 
Back
Top Bottom