Ubora na gharama za nyumba za TBA zilizopo Bunju

kamikaze

JF-Expert Member
Jan 25, 2011
422
610
Wana jamvi,

Naomba kuuliza kama kuna mtu amenunua nyuma zinazonyengwa na TBA na kuuzwa, je ni imara?

Zina value for money, maana kuna nyumba za vyumba vitatu nimeoneshwa picha hizi zimeezwekwa tu, milango wala
madirisha hayajawekwa ukiinunua unaimalizia mwenyewe bei ni milioni 58.

Naomba nipate ufahamu zaidi kwa mtu aliyenunua, au ambaye ana ufahamu zaidi kwenye hili, naona website yao haina details za kutosha,

Asante.
 
Jenga mwenyewe mkuu. Hakika utakuwa na uhahika wa thamani ya pesa yako.
 
Ni uchizi ulioje ninunue pagare la vyumba vitatu kwa 58mil.

Kama Ela unayo, Jenga MWENYEWE.
 
Wale wana charge na gharama ya consultancy ambapo viwango ni juu na ufundi viwango juu pia. Ukitaka kuamini we mchukue tu arctecture mpe aku designie jengo lako uone izo gharama zake yaan mikwara kibao mara atakwambia eti sijui landscape arctecture mara design fee yaan mwenyewe utatafuta namba ya fundi michael wa buza amalize kazi kwa Mil 3.
 
Hiyo garama ni sahihi usikimbie.
Tanzania maisha yetu ya ujenzi hayana sheria, usimamizi, ramani utalaam no, ukiwa na uwezo wa kujenga basi kila kitu unapanga mwenyewe na jamaa/fundi wako.

Na ndiyo maana baadaye serikali ikiwa kuanza na kugundua eneo mlipojenga ni kwa ajili ya kituo cha train wanaweza kero.

So hizo garama ni sawa sawa kabisa kabisa.
 
Wana jamvi,

Naomba kuuliza kama kuna mtu amenunua nyuma zinazonyengwa na TBA na kuuzwa, je ni imara?

Zina value for money, maana kuna nyumba za vyumba vitatu nimeoneshwa picha hizi zimeezwekwa tu, milango wala
madirisha hayajawekwa ukiinunua unaimalizia mwenyewe bei ni milioni 58.

Naomba nipate ufahamu zaidi kwa mtu aliyenunua, au ambaye ana ufahamu zaidi kwenye hili, naona website yao haina details za kutosha,

Asante.
M58 unapata kiwanja na kujenga nyumba ya size hivyo na kumaliza kila kitu
 
Back
Top Bottom