Fundi mzuri wa kupiga plasta nyumba ya gorofa

DKNY

Member
Nov 4, 2010
30
10
Wadau, natafuta fundi mzuri sana wa kiwango kwa ajili ya kupiga plasta. Site iko Kigamboni, Dar es Salaam. Please, weka namba hapa

Asanteni.
 
Hapo kwenye neno kama upo serious, sasa mtu mpaka kaanzisha uzi unamwambia kama upo serious, wewe ndiyo haupo serious
mkuu sisi ni wajenzi kuna mtu anaweza kuanzisha uzi kwa lengo la kujua tu gharama za ujenzi ili ajipange, mwingine ni dalali tu nk, ndio maana nikatumia neno kama yupo serious sio kwa ubaya.
Ni kama mtu anaingia kwenye duka la nguo kuuliza tu na muuzaji anaweza kumwambia kama unanunua tufanye biashara basi nitakuuzia bei hii au ile. hope umeelewa boss.

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Nimekuelewa boss wangu na hujakosea kuuliza bila shaka, sema pia yeye hapa ni kama anatangaza tender tu, wengi mtajitokeza yeye kazi yake kubwa ni kufanya evaluation yupi atamfaa,
 
Back
Top Bottom