nyumba

  1. D

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Utalii ya nyumba za malazi kwenye GN 823 ya 2.10.2020 ina mapungufu

    Serikali kwa kupitia Wizara ya Utalii na Maliasili iltoa orodha ya mahoteli yanayopswa kulipia vitanda siku nchi nzima na kumkabidhi Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Mhede kuifanyia kazi. Orodha hiyo ya mahoteli na nyumba za kulala wageni imo kwenye GN No 823 ya tarehe 2.10.2020. Orodha hiyo inapaswa...
  2. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Tegeta wazo hill eneo la uwanja wa panga (ulipo mnada mpya wa Tegeta Nyuki)

    NYUMBA NA ENEO LAKE LAUZWA... TSh25,000,000 Dar es Salaam Nyumba inapatikana TEGETA WAZO ENEO LA UWANJA WA PANGA... Zipo nyumba mbili katika eneo moja... Kubwa ni ya familia vyumba 3 na sebule, Ndogo ni vyumba viwili. Eneo ni takriban 20 kwa 20. Eneo kama linavyoonekana kwenye picha halipo...
  3. H

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Kigamboni

    Nyumba inapangishwa kigamboni kwa sh. 300,000 karibu na petrosheni eneo la kwa msomali. Ina vyumba viwili vyote self contained, sebule, dinning room, choo Cha nje, jiko, umeme, maji, fensi pamoja na eneo la parking. Nyuma haijaisha hivyo nategemea hela ya pango niweze kumalizia ujenzi...
  4. JamiiForums Tanzania Mke aweka rehani nyumba ya mumewe benki achukue pesa na kumpa mchepuko

    Kuna watu ukisikia wameua unaweza kudhani wana roho mbaya sana kumbe ni situation imetokea tu. Leo nilikuwa nachat na jamaa yangu, katika mazungumzo nikamuuliza hivi flani yuko wapi nina muda mrefu sijawasiliana naye kama miaka mitatu hivi. Jamaa akanijibu hata hajulikani alipo kakimbia mwezi...
  5. JamiiForums Tanzania Je, ninaweza kujenga nyumba kwa milioni 25?

    Habari, Me kijana wa miaka 21 naomba kuuliza nikiwa na Million 25 naweza kujenga nyumba au kijumba cha ukubwa gani? Msaada please Ahsanteni.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Watu 19 waliokimbia majumbani mwao kwenda kupanga Wataweza kuishi huru na baba mwenye nyumba?

    Binadamu aliyekamilika anahitaji amani ya nafsi ili aweze kusherekea matumizi mazuri ya kipato alichonacho. Upo Uhuru mkubwa unapoishi kwako kuliko unapokuwa nyumba za kupanga hasa hizi ambazo mwenye nyumba ni mtu mweusi mwenye ila na wivu juu ya mafanikio yako. Hakuna binadamu mwenye akili...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga Kimara

    Nawasalimu katika jina la bwana, nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Kimara, Mbezi Ubungo. iwe na vyumba viwil vya kulala iwe inajitegemea maji na umeme umbali kutoka main road isiwe above 3km. Budget yangu ni 100k -140
  8. JamiiForums Tanzania Nyumba za kupanga na adha zake

    Wakuu walahi mtu unaweza tamani upate walau pesa ya shortcut ili uweze kununua au kujenga banda lako mwenyewe ka kujiegesha ili kuepukana na changamoto za nyumba za kupanga Mafano Mimi nimepanga nyumba moja hivi, gharama yake kwa mwezi sio kubwa ni kawaida. Nikaamua niwe muungwana nikamwambia...
  9. JamiiForums Tanzania Waumini wa FGBF wampa zawadi ya nyumba Askofu Kakobe na Mkewe

    MAASKOFU, WACHUNGAJI NA WASHIRIKA WA MAKANISA YA FGBF KOTE NCHINI TANZANIA WAMPA ASKOFU MKUU ZACHARY KAKOBE ZAWADI YA NYUMBA WALIYOMJENGEA Nyumba ya kawaida inayoonekana katika PICHA MBILI ZA KWANZA, ni nyumba binafsi ya pekee, ya Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF)...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga (Kimara/Mbezi ya Africana)

    Iwe na vyumba vitatu vya kulala, jiko, sebule, dinning room, choo, bafu, umeme wa kujitegemea, maji na usalama pia. Sihitaji dalali, na ninahitaji mkataba wa miezi mitatu (3) kwanza. Nyumba isiwe mbali sana na main roads/kituo cha daladala Tuwasiliane: +255676095799
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na bei za Saruji, bei ya kupata Kibali cha ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu huko Halmashauri ya Kigamboni ni Tshs 250,000

    Wakati tukiendelea kumtafta mchawi aliyepandisha Cement! Shida kubwa ya halmashauri nyingi ni kugeuza sheria kuwa vyanzo vya mapato. Tutafakali gharama zifuatazo za kibali cha ujenzi huko halmashauri ya Kigamboni. Bei hizi zinasimamiwa na ofisi ya Mkurugenzi kwa ajili ya kutunisha mfuko wa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania House4Sale Kubadilishana nyumba / kiwanja kwa Gari

    Sold
  13. T

    JamiiForums Tanzania House4Rent Vyumba vinapangishwa

    Mahali: Kifuru mwanzo mgum jirani na stend mpya ya Mbezi Luis Vyumba bado Vipya ko havina kipengele Vyumba ni viwili yani sebule na chumba Self container kwa kila mpangaji Umeme kila mpangaji mita yake poa Maji kila mpangaji mita yake Umbali kutoka barabara ya lami inayoenda Mbezi Luis/...
  14. JamiiForums Tanzania Investing/ A growing Dodoma: I think President JPM hajaeleweka kuhusu mapato ya ardhi na nyumba

    Greetings! Nia ya President JPM ya kuifanya Dodoma kuwa capital city kwa vitendo was great. Ninaomba afanikiwe. Jiji la Dodoma ni kubwa geographically na ni zuri ki-usalama na kwa serikali kukaa hapo tofauti na a notable commercial city like Dar. My intention is to advise the CiC kuhusu...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akutana na aliyekuwa baba mwenye nyumba aliyokuwa amepanga wakati akiishi mkoani Singida

    Baba mwenye nyumba huyo anaenda kwa Jina la Mzee Andrew na mkazi wa Singida Mzee Kikwete na familia yake waliamua kumtembelea Mzee huyo ili kumjuliana hali na kukumbushana ya miaka mingi! Ikumbukwe kuwa Mhesh Kikwete pia ni Mwenyekiti Mstaafu Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kabla ya...
  16. JamiiForums Tanzania Fundi umeme wa nyumba na mashine za umeme (electrical techinician) naomba kazi

    Habari ndg zangu wana JF, NAMSHUKURU MUNGU kwa kunipa wazo hili la kuleta ombi la kazi hapa jukwaani,,,mimi ni fundi wa umeme mwenye uzoefu mkubwa. Nimejiajiri mimi mwenyewe, kutokana na hali ilivyo kwa kwa sasa, kwa kifupi sina kazi! Au by the way kazi ni...
  17. JamiiForums Tanzania Habari Mbaya: Mkurugenzi wa Meatu achomewa nyumba yake, yote yateketea

    Mkurugenzi wa Meatu mkoani Simiyu amechomewa nyumba yake usiku wa kuamkia leo. Nyumba yote imechomwa na vitu vyote vilivyomo ndani. RPC wa Simiyu, ACP Richard Abwao amesema kwenye nyumba alikuwepo mdogo wake na Mkurugenzi Fabian Manonza ndiye aliona moshi ndani na kibaya zaidi gesi nayo...
  18. JamiiForums Tanzania Uchimbaji na ujenzi wa shimo la choo la kisasa kwa bei rafiki

    Hello, Watanzania habari? BYRA TOILET CONSTRUCTORS Tunachimba na kujenga shimo la choo kwa mfumo wa kisasa usiojaa maji taka wala kutoa harufu kwa mda mrefu sana..kwa gharama zifuatazo: 1,200,000/= kwa mkoa wa Daresalaam 1,500,000/= kwa mikoa mingine Note: KWA BEI HIYO KILA KITU NI JUU YETU...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa ni wewe ungenunua nyumba hii kwa kiasi gani (zungumzia mazingira ya Tanzania)?

    Nyumba ya Kobe Bryant Yapigwa Mnada Nyumba aliyokalia aliyekuwa gwiji wa mpira wa Kikapu, marehemu Kobe Bryant imepigwa mnada na kuuzwa kwa kiasi cha ($810,000) sawa na TZS. Bilioni 1.8. Kwa mujibu wa TMZ Sports, nyumba hiyo iliyopo mjini Pennsylvania iliwekwa sokoni mwezi Septemba kwa dau...
  20. JamiiForums Tanzania House4Sale Mradi wa nyumba Simple, Miliki Nyumba Kwa Milioni 12 tu

    Drone Online Ads tumekuwa kwa muda mrefu tukiwasaidia watanzania mbinu tofauti na ushauri bure wa namna ya kujenga nyumba bora kwa kutumia gharama nafuu. Hii inatokana na uzofu wetu katika ujenzi, timu ya wataalam wa kutosha wanaoshirikiana sambamba na uwezo wa kupata materials ya ujenzi kutoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…