nyumba

  1. F

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Mkuranga Mjini

    Ipo mkuranga mjini km moja toka barabara kuu ina vyumba vitatu kimoja master bedroom ina umeme maji mawasiliano 0655204110 na 0699492380.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Sisimizi wekundu Ndani ya Nyumba

    Imekua kero sasa, maana hawa wadudu wanasumbua sana. Je, nitumie dawa gani, kuondoa uwepo wao au kuwaangamiza.
  3. JamiiForums Tanzania Tunatengeneza urembo safi wa nyumba kama inavyoonekana katika hizi picha

    Ni mtaalam wa finishing ya urembo wa nyumba tunapatikana kote Tanzania na Kenya. Njoo WhatsApp kwa namba hizi +254759792752 au+255719999526
  4. JamiiForums Tanzania Dar: Nyumba 16 zasombwa na maji baada ya mto kutanuka

    Baadhi ya wakazi wa Kimara Kibo, Dar es Salaam wanaoishi kando ya mto Gide wamelazimika kuhama baada ya mto huo kutanuka na kusomba nyumba 16. Waathirika wa tukio hilo wameomba msaada kwa wakati huu ambao baadhi yao wanahifadhiwa kwa majirani huku wengine wakisemekana kufariki kwa mshtuko...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna gari imesimama nje ya nyumba yangu getini naogopa kutoka nje

    Ni Land cruiser yenye vioo tinted imesimama nje ya geti toka saa nne usiku na imeondoka alfajiri ya saa kumi Namba zake ni t 456 ... Iliwekwa kiubavu. Dirisha lilifungulikwa kidogo.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kuunganishiwa separate mita ya umeme nyumba za kupanga

    Heri ya mwaka mpya wapendwa. Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu, kuna uwezekano wa kuwekewa mita tofauti na ya Tanesco ambayo naweza nikatumia peke angu iwe kwenye frame ya biashara au nyumba ya kupanga?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo zuri kwajili ya hospital, yard, shule etc. Linauzwa

    Tsh. 180 MILLION NEG, KIFURU HALI YA HEWA, NJIA YA KUELEKEA MBEZI LOUS SUITABLE FOR, school, hospital, yard 🎁2 Acre SIZE🗞️Surveyed Area with beacon☎️0767264754/0739441351
  8. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba ipo Mbagala- Chamanzi inauzwa Million Tisini (90 )

    NYUMBA INAUZWA MILLION TISINI (90) NYUMBA IPO MBAGALA_CHAMANZI. KWA MAELEZO ZAIDI PIGA NAMBA HII: 0769160000 Nyumba ina vyumba vinne chumba kimoja master ina sittingroom diningroom jiko store na choo cha publick ina tiles nyumba nzima ina fence nyumba nzima ina parking kubwa yakukaa gari...
  9. JamiiForums Tanzania Ni kwanini unajenga nyumba ya ghorofa?

    Wazungu walijenga nyumba za ghorofa kutokana na uhaba wa ardhi kwao. Nimekutana na Wafrika Magharibi pia mawazo yao ni ya kujenga ma ghorofa. Nikipowauliza sababu waliniambia kwao ardhi ni ghali sana. Kupata kiwanja cha kujenga nyumba inakulazimu uwe na kuanzia milioni 20 kwa pesa ya...
  10. JamiiForums Tanzania Maoni:Kwa nyumba hii gharama zipoje?

    Mambo vipi wakuu! Kulingana na hali ya sasa naomba mchanganuo wa ujenzi wa nyumba hii.Chumba cha kulala kiwe kimoja na sitting room basi na ukubwa ni 6*8.Ukiondoa tofali zipo tayar karibuni
  11. JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupanga inahitajika (Goba/ Mbezi)

    Habari za leo wanaJF, Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Goba ama Mbezi Africana/Luis yenye vyumba viwili/vitatu vya kulala, choo, sebule, jiko na dining. Umeme uwe wa kujitegemea, maji, pamoja na ulinzi salama. Bajeti yangu mwisho ni 200k TZS, na ninahitaji ya mkataba wa kuanzia kwa miezi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nimelitathimini jengo la Makao Makuu ya CHADEMA pale Ufipa na nimeridhika chama hicho hakijali Maendeleo ya Vitu

    Mara kadhaa viongozi wa CHADEMA wamesikika wakinadi maendeleo ya watu badala ya vitu. Na wakati mwingine wameibeza CCM kwa kujikita kwenye maendeleo ya vitu ( miundombinu) Ndiposa leo nikapata bahati ya kufika mtaa wa Ufipa hadi pale makao makuu ya chama hiki kikuu cha upinzani. Kimsingi...
  13. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Kigamboni

    Nyumba inauzwa Ipo kibada kigamboni 135 milion.. Negotiable to serious buyers Call 0744033555 Nyumba ina vyumba vitatu Master bedroom Choo public Maji + umeme guaranteed miaka mia Full fence ulinzi uhakika hakuna uswahili Parking space ya kutosha range rover 3 zina fit Hati za umiliki...
  14. JamiiForums Tanzania Ni sababu ipi hupelekea watu kujenga bila ramani au kwa ramani za kukopi kutoka kwa watu wengine?

    Habarini wakuu. Hivi ni kwanini watu hujenga kwa ramani za kufikirika tu zisizokuwa na mpangilio wa kitaalamu. Yaani umejibana kukusanya milioni zako flani, unamtafuta fundi na kumtajia idadi ya vyumba tu ajenge au unampa mfano wa ramani uliyoipata kwenye mtandao. Hebu fikiria umetumia milioni...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Urgent: Natafuta nyumba ya kupanga, Bajeti 200,000 (Kinyerezi, Kimara, mbezi Africana ingependeza zaidi)

    Wakuu kwema? Wakuu natafuta nyumba ya kupanga, mkataba nakokaa umeisha. Hali ya uchumi imeyumba hivyo nimeona sitaweza kulipa pesa nayolipa hapa, hivyo natafuta nyumba ya nusu bei ya hapa. Iwe na vyumba viwili vya kulala, jiko, sebule, dinning room, choo, bafu, umeme wa kujitegemea, maji na...
  16. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila asimamia ubomoaji wa nyumba ya Mwananchi

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila, amesimamia zoezi la kubomoa nyumba ya Atony Lyuba mkazi wa Kata ya Inyala, Halmshauri ya Wilaya ya Mbeya, baada ya kukaidi agizo la kubomoa kwa hiari nyumba yake. Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila. Uamuzi wa RC Chalamila, ulitokana na Lyuba...
  17. JamiiForums Tanzania Ukiwa na gari, pesa na nyumba nzuri basi umemaliza. Mwanamke gani hapendi hivyo vitu?

    Kwa sasa mwenye kisu kikali ndio mla nyama mana maneno mengi ni sawa na miluzi mingi hupoteza mbwaa. Ni kweli pesa sabuni ya roho ingaawa ugonja wa moyo ni mapenzi. Vijana ongezeni nguvu ya kutafuta pesa kuliko kujichubua na kuvaa vizuri mkijua mtapendwa, mwanamke gani asie penda kukaa pazuri...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Zitto ataka wanaoikosoa ACT-Wazalendo waanzishe chama chao

    Nimeshangazwa na majibu ya mkuu wa chama cha ACT Wazalendo ndugu Zitto Kabwe aliyoyatoa kwenye mtandao wa twitter. Zitto alikuwa akimjibu mwananchi mmoja aliyekuwa akionyesha frustrations zake juu ya uamuzi wa chama cha ACT kujiunga na Serikali ya CCM huko Zanzibar katika kile kinachoitwa...
  19. JamiiForums Tanzania Semeni ukweli, kwa pisi hii, wewe ndo ungekuwa waziri wa ujenzi kipindi cha Mkapa usingemgawia nyumba ya serikali?

    Tiririkeni ya kutoka moyoni
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabunge wa Kenya watakiwa kurudisha fedha zote walizojilipa kama posho ya nyumba kinyume na Katiba

    The High Court in Kenya has ordered the country's 416 lawmakers pay back 1.2bn shillings ($10m; £7.5m) after ruling that the money had been unlawfully given to them as housing allowances, local media report. The Parliamentary Service Commission (PSC) had encroached on the mandate of the...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…