Badala ya nyumba kubomolewa je haiwezekani kuhamishwa?

man dunga

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
3,216
5,566
Tumeshuhudia nyumba zenye thamani zikibomolewa kutokana na sababu mbalimbali.

Je huko dunia ya kwanza na wao huwa wanabomoa nyumba wanapokuwa wanahitaji eneo ambalo nyumba imejengwa?
 
Wazo fikirishi, ila ni kitu kinachowezekana, its just a matter of time. Zamani zile nyumba za tembe ilikua rahisi zaidi
 
Back
Top Bottom