Nilianza mwezi WA kwanza 2023 na nilimaliza mwakan2024 mwezi wa9.
Nilikuwa nimeplan sitajenga Kwa PESA ya biashara nitajenge Kwa kubeti.
Safari ilikuwa ngumu ila nilimaanisha, nilichikua 500k nikaanza kuzungusha na na kuweka material kidogo kidogo , nikiliwa navuta mwezi natupia tena 500k...
Hii ni stori ya kweli kabisa ilikuwa miaka ya 2010 kipindi hicho ningali bado kijana nilikuwa na mpenzi wangu mmoja nilikuwa nampenda sana lakini alikuwa msumbufu hajatulia
Basi kuna nyumba moja ilikuwa na mabinti warembo wengi tulikuwa tunatizamana yaani ilikuwa n'gambo ya pili si unajua...
Wakuu habari za majukumu,
Kama title ilivyo, naomba mnisaidie kujua makadirio yote kwa ujumla maana nimesikia ukiachana na tiles, mchanga, maji na cement, kuna kitu inaitwa grout, skating,
Ukubwa wa vyumba ni kama ifuatavyo:
Sitting Room: 525*630
Master Bedroom: 524*385
Bedroom 1: 280*410...
Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam, Jumanne Muliro ameeleza kuwa wameanza ukaguzi wa kushtukiza kwa madereva wa magari wenye dalili za kutaka kusababisha ajali.
Pia ameeleza kuwa wamejipanga kushirikiana na nyumba za ibada ibada ili kutanzua uhalifu...
Achana na maneno ya watu wanaoponda kuhusu biashara ya nyumba za kupangisha. Wengi wanaoponda hawafanyi biashara hio. Kama unaweza jenga mdogo wangu. Fanya Kama unasevu hela utakuja kunishukuru baadae. Ukiwa na units zako Kama 10 hivi habari ya January ngumu sijui ada utasikia kwa watu tu. Mwezi...
Habari za leo wana JF 👋
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kujua makadirio ya gharama za kujenga nyumba yenye vyumba 3 (Vyote master), sebule, dining, jiko, store, pamoja na choo cha wageni (public toilet).
Nimeona post inayoonesha tangazo la TCRA linalohamasisha kuwa na nyumba zenye namba kwani ni msingi wa mpangilio wa taifa
Lakini picha za nyumba walizotumia mbona kama ni nyumba za mambele wakuu.
Ina maana wameshindwa kutafuta nyumba za wananchi wao na kuzitumia kama sample mpaka wachukue picha...
" ukifuatilia sana hili sakata la wasanii na wananchi kwanza huwezi kugombana na mwenye nyumba, wewe msanii ni mpangaji na mwananchi ni mwenye nyumba. Alafu hata sisi watu wazima tunakuambia unaanza kulamaba uzi ndo upitishe kwenye tundu haulambi tundu ndo upitishe kwenye uzi na kuna muda hata...
Katika ulimwengu huu kosa vyote ila kamwe usikose akili.
Katika ulimwengu huu kubali kukosa vyote ila sio kukosa utashi wa kukataa udhalimu na kusimamia kutetea haki na ukweli.
Wakati Wananchi wanapambana kutaka mfumo bora wa uchaguzi ili wapatikane Viongozi sahihi, wenye akili wanaowajibika...
Habari maboss
Nyumba ya Zamani inauzwa msasani mwisho. Nyumba inatazama barabara ya mtaa.
Mtaa wa pili kutoka BAHARINI
Sqm 425
Document offer ya Kazi
BIlion 1
KWA hitaji la kuona eneo
Nipigie simu nikupeleke ukazungumze na wahusika wakuu.
0754693556
Habari wakuu,
nawaletea Ramani hii hapa ya Vyumba viwili (Kimoja ni Master)
Sebule,
Jiko,
Na choo Cha public.
Ni ramani simple lakini ya Kisasa.
Ramani hii itachukua
Tofali 1,600
Saruji 30
Nondo 20
Mchanga mende 1
Kokoto gari 1
n.k
n.k
Ramani hii inakaa kwenye Eneo la Mita 12x10.
Karibu...
Kuelekea D9, siyo tu watu wameamua kuhifadhi vyakula majumbani mwao, ila pia wengi wamehifadhi pia madumu ya petrol kwa ajili ya bodaboda, bajaji na magari yao.
Natumai mmejiandaa yale yaliyotokea London mwaka 1666 yasijekutokea Dar es Salaam.
Habari maboss
Nyumba inauzwa Msasani karibu na kituo cha standi ya daladala.
Kituo kinautwa macho bila Shaka ni standi maarufu sana msasani.
Nyumba inaangalia barabara ya Lami.
Kiwanja cha nyumba ni skwata.
Hakuna mgogoro wowote
Bei ni milion 500
Kwa maongezi ya Bei utaongea na wenye...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Ni maono hayo niliyaona leo usiku
Ni huzuni sana
Niliona nyumba moja nzuri sana inayofanana na Tanzania inayomilikiwa na mwanamke ikianguka chini na kushika moto mkali sana
SAYUNI BOY
NYUMBA INAUZWA 10M – BAGAMOYO ZINGA, MTAA WA KISHUA BAGAMOYO ROAD UPANDE WA BAHARINI
Nyumba 2 bedrooms, (no doors, windows, flooring), plot 21×19 (≈400 sqm) Bagamoyo – Zinga. Karibu na barabara umbali wa kutembea mtaa una MAJI, UMEME NA NEIGHBORHOOD NZURI, plot 21×19, hati tayari
Bei: 10M cash...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.