The dumb Professor
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 1,001
- 2,360
Wakuu,
Kwa mil 20 naweza kujenga iyo nyumba nikisimamia mwenyewe?
Kwa mil 20 naweza kujenga iyo nyumba nikisimamia mwenyewe?
ChanikaDar sehemu gani? Chanika au Mbweni?
UnajengaChanika
Kila kitu mpk finishing?Unajenga
Hapo kwenye finishing si rahisi labda ya kimtindo tu, ila nyumba tu ya kuishi unaishiKila kitu mpk finishing?
Hahahahahaaaa... Chumba kimoja si kibanda hikoKama kiwanja unacho unajenga kabisa sehemu yeyote Dar.maana inategemea unajenga nyumba ya aina gani.kuna nyumba ya chumba kimoja na kuendelea
Kwani material atakayotumia kujenga Chanika hayaruhusiwi kujenga Mbweni?Unajenga
Kama tayari kiwanja unacho unajengaWakuu,
Kwa mil 20 naweza kujenga iyo nyumba nikisimamia mwenyewe?
Finishing inategemea na tamanio lakoKila kitu mpk finishing?