Wakuu kila nyumba ina harufu ambayo wakazi wameizoea na kuhisi kawaida, ila mgeni ukiingia ndio utaiskia kama ni nzuri au mbaya, iwe ya marashi au uvundo. Kuna nyumba zinanukia vizuri sana, harufu murua sana hutatamani kutoka ukiingia.
Kuna njia za Kiasili ambazo wengine hutumia kwenye nyumba...
GHOROFA INAUZWA
IPO KARIAKOO DARESSALAAM🇹🇿
Underground, floor 1 and 2
▶Maduka yako kama 60
▶Inaingiza million 600 na kitu kila mwaka
BEI NI BILLIONS 7.8,MAONGEZI YAPO
🇹🇿CALL/WhatsApp +255758844717
#viral #tanzaniantiktok🇹🇿 #daressalaam🇹🇿 #houseforsale #realestate
LUXURY HOUSE FOR SALE – BUNJU B
📍 Bunju B
📐 Plot Size: 1,568 SQM
💰 Price: TZS 1.3 Billion (Negotiable)
This beautiful luxury home comes with a spacious and modern design perfect for family living or investment.
🔹Brand New
🔹Good View & Fresh Air🍀
🔹 4 Bedrooms (3 Master Bedrooms)
🔹 Large Sitting...
Kama una miaka 40+ na bado unaishi nyumba ya kupanga ukiwa na familia, jiulize upya kuhusu mwelekeo wa maisha yako. Je, uko kwenye njia sahihi ya kujenga mustakabali wa familia yako, au umekwama katika hali ya kurudia kila mwaka bila maendeleo ya kweli?
Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.
Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua Arusha ingekua milion 200
Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.
Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua Arusha ingekua milion 200
Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.
Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua Arusha ingekua milion 200
Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.
Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua Arusha ingekua milion 200
Msanii wa Kitanzania ambaye alikuwa comedian na sasa ni kama content creator wa video fupi za kucheza mitandaoni ambaye ni Jaymond akiwa na Mpenzi wake Isabella kutoka huko Sweden wamefanikiwa kununua nyumba yao ya kuishi pamoja.
https://youtu.be/f4z3j5N8b8g
Lakini mimi binafsi naona kama...
Simanzi imeikumba familia moja wilayani Moshi Vijijini baada ya mtoto mwenye umri wa miaka mitatu, Francis David, kupoteza maisha kwa kuteketea ndani ya nyumba iliyoshika moto katika Kitongoji cha Mwitini, Kijiji cha Mwasi Kusini, Kata ya Uru Mashariki.
Tukio hilo limetokea Mei 26, 2026 majira...
Hizi mbinu za Kuficha Bunduki, zinaisaidia CCM au zinaiangamiza? Nani yupo nyumba ya huu mchezo mchafu?
Tuseme vyombo vya dola havijui hawa ni wakina nani? Mafwele matako yako
So kwa akili yao wanajua wanaichafua CHADEMA🤣🤣🤣
CCM chali kifo cha mende
Nakulilia Tanganyika.. Tumefika huku?! 😭😭😭😭...
Tafiti nyingi zinaonesha kwamba sehemu kubwa ya vijana wa kizazi cha Gen Z hawahudhurii nyumba za ibada (Msikitini&Kanisani) mara kwa mara kama vizazi vilivyopita, lakini si kwamba wote wameacha dini au ibada.
Kinachoonekana zaidi ni kwamba wengi wanajiita “spiritual” kuliko “religious”, baadhi...
Toa miguu hio uliyoweka kwenye kochi la shemeji yako ukisubiria tamthilia ya kobis.
Weka hio simu pembeni ambayo una like picha za sponsor wako huku ukiwa umekaa geto wenzako wako ground wanahangaika.
Alafu,
Uoneshe definition inayotambulika duniani ya nyumba inavyotakiwa kuwa.
Yani mwamba...
Astakafirurahi ndugu zanguni! Baada ya kusindikwa ambakati nzito na mke wangu, niliamua kuhama. Nimehamia nyumba ambayo inatia huruma sana
Yaani imejaa wadada wadogo wadogo, na wao wana watoto, sijawahi kuskia bezi la mwanaume likiyoyoma
Kinachotia hasira, mtu umeingia ndani kupumzisha fuvu...
Sisi Wananchi wa Kata ya Kigogo Fresh B, Mtaa wa Golani kwa Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam tunachangamoto ya umeme.
Mpaka leo nyumba takribani mia mbili hazijafungiwa nishati ya umeme na kuna mradi wa REA kutoka Kisarawe kila tukifuatilia tunaambiwa...
Muache ngonjera za kusema Aliruka na kutokomea akiwa na PINGU.
Ukimfunga Mtu Míkono kwa namna yoyote ile, UMEMUONDOLEA BALANCE YA KUKIMBIA , HIVO HAWEZ KUA NA UWEZO WA KUKIMBIA KWA KASI HATA KUWASHINDA MAASKARI
UHUNI MLOUFANYA KWA POLEPOLE, KWAKUA HAMNA AKILI, NDIO MNAURUDIA ULEULE
Nyumba Inauzwa Kimara.
Mahali: Kimara Temboni, Mtaa wa Mtakuja.
Sifa za Nyumba:
•Ipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro.
•Ina chumba chenye choo ndani, sebule na jiko.
•Ina mpangaji analipa kodi sh. 300,000 kwa Mwezi.
•Ina eneo kubwa mbele.
•Usafiri wa aina zote unafika mpaka kwenye nyumba...
Neno la Mungu linasema
Mathayo 21: 13 “akawaambia, Imeandikwa, Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala; bali ninyi mmeifanya kuwa PANGO LA WANYANG’ANYI”
Umewahi kujiuliza kwanini, kwanini Bwana alitumia huo usemi…. “bali ninyi mmeifanya kuwa PANGO LA WANYANG’ANYİ”. Umewahi kutafakari pango la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.