Nyumba za MC Pilipili Dodoma zazua gumzo

Nyumba za MC Pilipili Dodoma zazua gumzo

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,304
Reaction score
39,846
Nyumba 4 kwenye compound moja huko Dodoma Mali ya mwendazake MC Pilipili zimetia fora kwa nakshi na mazingira zilipo (Swaswa). Kazi na utu

images (65).jpeg
 
Nyumba 4 kwenye compound moja huko Dodoma Mali ya mwendazake MC Pilipili zimetia fora kwa nakshi na mazingira zilipo (Swaswa). Kazi na utu

Uonevu wa kutisha. Siku hizi siyo Mungu tena anapanga vifo, ni Samia na Haji Omary Kheri na Janjaweed wake, na polisi wasio na uweledi kwenye kazi zao (Wanachojua na kufanya ni kukamata, kupiga watu, kutesa, kubaka, kulawiti, kuua na kuficha maiti)
 
Nyumba 4 kwenye compound moja huko Dodoma Mali ya mwendazake MC Pilipili zimetia fora kwa nakshi na mazingira zilipo (Swaswa). Kazi na utu

Mwamba hakuwahi kuwa na kiwanja wala nyumba hapo Dodoma wala Dar. Ni masikitiko kwa kweli. Sijui ilikuaje yule mhaya akakubali aibu hii. Angeoa mchaga lazima angekua kashajenga. Wakina Manka hawanaga mbambamba
 
Back
Top Bottom