Nyumba nzuri saana.
Nyumba nzuri ya Kisasa Inauzwa milioni 190 maongezi yapo.
IPO GOBA MAJENGO - Dar es salaam - Tanzania
Ina Vyumba Vinne vya Kulala Vyumba viwili ni self Conteinard
Stady room
Master Bedroom
Sitting room
Dining room
Kitchen
Store
Public toilet
Ukubwa wa kiwanja: sqmt 844...
Familia ya Mzee wa Mila afahamikae kwa jina la Chacha Wasinyo Changu (90), Mkazi wa Kitongoji cha Mirimisi, kijiji cha Mrito, Wilaya ya Tarime, inalazimika kulala nje kwa siku ya 5 mfululizo baada ya makazi yao kubomolewa.
Tukio hilo linadaiwa kufanywa na Samweli Ngocho, Mkazi wa Kijiji cha...
Zilikuwa ni pete, bangili, hereni na cheni.
Watu walikuwa wajia mara nyingi kumuulizia mama wakiwa wameshika bahasha zenye nyaraka.
Kuna siku mama alichukua vito vyake vya dhahabu, sikuwahi kuviona tena na tuliishi bila usumbufu kwa miezi sita.
Baada ya hapo wale watu wanaobebea nyaraka...
Wakuu wa Jukwaa, leo na mimi nina swali ambalo linakua linanitatiza sana kichwani kwangu kwa muda kidogo sasa.
Nimekua napitia hali ya kujiuliza maswali mengi sana juu ya kiumbe hiki kinachoitwa BUNDI. Bundi ni ndege mwenye sifa kede wa kede. Sitaki kuzungumzia sifa za ndege huyu, leo nimeona...
Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam.
Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta.
Sifa za Nyumba:
*Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio.
*Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master.
*Huduma zote za kijamii zipo.
Ukubwa wa Eneo: SQM 1833.
Nyaraka: Ina Hatimiliki.
Bei: Tzs Milioni 900...
Salama wakuu.
Naombeni idea ya rangi nzuri ya kupaka ndani ya nyumba.
Nimejaribu kuperuzi rangi nyingi mbali mbali nimeshindwa kufika muafaka.
Ni rangi gani nzuri ikipakwa ndani panakaa murua.
Nategemea kutumia kampuni ya plascon.
Wakazi wa Majichumvi Mtaa wa Tembomgwaza-Kimanga, wilayani Ilala jijini Dar wamefunua vinywa vyao kulalamikia uchimbaji haramu wa mchanga pembeni ya Mto Luhanga unaofanywa na vijana, hivyo kusababisha mmomonyoko unaohatarisha kuanguka kwa nyumba zao.
Kwa mujibu wa baadhi ya wakazi wa eneo hilo...
Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam.
Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule.
Sifa za Nyumba:
*Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji.
*Iko mita chache kutoka barabara ya Goba.
*Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
Dar es salaam ukifika huko mbezi juu kuna mahali mtu kajenga nyumba tena zingine za gharama lakini hawezi kuingia nyumbani kwake na gari .
Wengine ni pabaya mno hata pikipiki haiingii.
Sasa unajiuliza huyu mtu kichwani zipo timamu kweli?
Huko Keko nako nimekaa aisee asubuhi mpaka jioni ni kunusa...
Soma pia: Bukoba: Zaidi ya nyumba 300 zazingirwa na maji baada ya mvua kubwa kunyesha
Mvua yabomoa, kuezua mabati kwenye nyumba tano huko Makambako mkoani NjombeNyumba tano zilizopo Mtaa wa Idofi, Kata ya Mlowa mjini Makambako mkoani Njombe zimeharibiwa baada ya mvua kubwa iliyoambatana na...
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine, amesema kuwa nyumba yake imewekwa chini ya udhibiti wa kijeshi huku Mkuu wa Majeshi ya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, akimtishia kumuua na kutoa agizo la saa 48 ajisalimishe.
Bobi Wine amesema wanajeshi bado wamepiga kambi ndani ya nyumba...
Mzee wasira alikua na mdomo aswaaa, kwenye kampeini alikuwa anaongea Kwa dharau, kebehi na majivuno.
Mungu si Abdul Wala Mchengerwa kwenye MO29, vijana walipiga kiberiti nyumba ya Wasirra.
Hii habari nilileta humu watu wakabisha Leo Mzee Butiku amedhibitisha kuwa nyumba ya Wassira ilipigwa...
POLISI WAKANUSHA TAARIFA YA KUCHOMWA KWA NYUMBA YA ASKARI ARUSHA.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limekanusha taarifa inayosambaa katika mtandao wa kijamii ikieleza kuwa nyumba ya kiongozi wa Polisi Mkoani humo imechomwa moto.
Akitoa taarifa hiyo leo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Kamishna...
Hamjambo!
1. Kuna nyumba hapa mwaka mpya na Christmas hawakusherehekea.
2. Hawakupika chakula cha maana.
3. Lakini Kila wakisikia taarifa msiba ya kiongozi wa kiserikali wanafanya tafrija. Wananunua pombe, wanapika chakula kizuri, wanachinia kuku.
4. Wanaweka Muziki. Katafrija kadogo kwa...
Mimi ni mkazi wa Bunju Dogodogo Centre, kero yangu ni malori ya mchanga kuchimba mchanga bondeni karibu na makazi ya watu.
Hali hiyo imekuwa ikihatarisha nyumba za Wakazi kubomoka kwa kupitiwa na bonde linaloendelea kujitokeza.
Serikali ya Mtaa imejaribu kila njia lakini bila mafanikio...
Miaka ile meneja wa Yamoto Ndugu Saidi Fela, kuna nyumba aliwajengea/aliwanunulia vijana wake wa Yamoto bendi.
Hivi zile nyumba walipewa jumla au zilikuwa geresha tu za Bwana Fela!?
Naomba kuuliza wataalamu wa ujenzi hizi nyumba za hivi (kama zinavyoonekana sio kubwa) zinaweza kufikia gharama za ujenzi na finishing kali kiasi gani? nataka nikiwa na pesa kamili au inayokaribia kumaliza nyumba ndo nijenge, vyumba viwili au vitatu vidogo na bati llitolee maji nyuma hiyo...
Natafuta kazi za kuangalia Nyumba kama vile usafi nakutuzia Nyumba mpaka pale utakapokuja ikiwa na mtu wa kuangalia, pia kama una chochote kile kulinda hapo Nyumba hapo pia nitakilinda ,
Miaka mpaka kumi nakaa kuangalia ulinzi na kazi zingine nafanya pia, pia wenye hotel naangalia mazingira...
Leo majira ya saa 5:30 asubuhi, Uongozi wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, umefanikiwa kuwatia mbaroni raia wa kigeni wenye asili ya Kichina wakiwa na kiasi cha takriban Tsh. Bilioni 6 taslimu. Fedha hizo zilikutwa zimefichwa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.