nyumba

  1. P

    JamiiForums Tanzania TRA na TANESCO wanajua kwamba Nyumba ni chache kuliko idadi ya mita za Luku?

    Mamlaka ya mapato Tanzania TRA kwa kushirikiana na shirika la umeme nchini Tanesco, kesho tarehe 20 wataanza kulipisha kodi za nyumba kwa mfumo wa luku Kwanza ninahakika, hili limekuja baada ya serikali kukosa namna ya kuwabana wamiliki wa majengo ili kuyalipia Na pia ninahakika, Sheria...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nyumba kwa bei rahisi

    Pata nyumba ya vyumba vitatu, public toilet kwenye eneo lenye ukubwa wa mita 10 kwa 10 kwa shilingi milioni 7 tu. Pia Kuna nyumba ya vyumba vitano kwenye uwanja wa mita 20 kwa 15 kwa shilingi milioni 10 tu. Nyumba zote zipo mbezi malamba eneo linaitwa mzalendo. Nauli kwa bajaji ni buku tu...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kodi ya majengo kuanza kukatwa kwenye Luku kuanzia Agosti 20, 2021. Je, Serikali imekosa Dira, mbinu zimewaishia?

    Naomba kuuliza maswali machache. Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa? Kwa hiyo kwanzia agost 20 kodi ya jengo inalipwa na mpangaji? Vipi kuhusu nyumba ambazo kila chumba kina mita yake? Vipi kususu mpangaji mmoja ambaye kapanga...
  4. G

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba Inapangishwa Shs 500,000

    Nyumba (apartment) nzuri sana inapangishwa. Nyumba iko maeneo ya Kimara Korogwe, umbali 2kms kutoka Morogoro road, na sifa zifuatazo: Vyumba 3 vya kulala (kimoja ni masterbedroom) Sebule kubwa Jiko lenye makabati (kitchen cabinets) Public toilet LUKU Maji (DAWASA) Parking ya kutosha Paving...
  5. JamiiForums Tanzania Nyumba za kujengewa huwa zina mazingaombwe ni bora ukapewa Pesa/Hundi Mbele ya Wanahabari na ukajenga mwenyewe

    Nimeyaona mengi Sana, Dkt. Slaa alijengewa nyumba na CHADEMA alipohama Chama hicho wakachukua nyumba yao huku walimpa bure, Tuntemeke Sanga wa Njombe alijengewa nyumba na Mwl. Nyerere alipoanza kumpinga akafukuzwa kwenye nyumba hiyo, mwaka 2004 nikiwa Dar es Salaam nilishuhudia Mkuu wa idara ya...
  6. JamiiForums Tanzania Mil.15 inatosha kujenga nyumba ya vyumba 4 Dodoma?

    Wandugu, Nimeamua kujenga kajumba ka kupangisha watumishi wa serikali hao wanaohamia Dodoma, kiwanja kipo, eneo flat, na mkononi ninazo mil.15, je? kwa ujenzi wa nyumba Dodoma naweza kuifikisha katika level gani? wataalamu naomba mchanganuo tafadhali. Asante.
  7. JamiiForums Tanzania Mpango wa kujenga nyumba kwa kuhifadhi mahitaji kwanza

    Ndugu nina wazo la kujenga ila kuweka pesa yoote kwa pamoja siwez kwa maana pesa yangu muda wote inazunguka Likanijia wazo la kuwa nnanunua vitu vya ujenzi kama cement na vinginevyo kidogo kidogo na kuvihifadhi stoo Naomba kwa wale wenye uzoefu tusaidiane mawazo yafuatayo; 1. Vitu gan...
  8. JamiiForums Tanzania Mabwepande: Raia wacharuka baada ya nyumba zao kubomolewa

    NYUMBA zaidi 11 katika mitaa ya Mabwepande na Mjimpya Kata ya Mabwepande Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam zimebomolewa na kusababisha hasara ya mamilioni ya fedha, huku wamiliki na familia zao wakilalala nje kwa siku mbili. Ijumaa saa 10:00 jioni, waliotekeleza ubomoaji huo baada ya...
  9. JamiiForums Tanzania Ipe bajeti nyumba ya ndoto yangu

  10. JamiiForums Tanzania Ukiitegemea biashara yako mpya ikulishe, ikulipie kodi ya nyumba na kadhalika, jiandae kuanguka

    Habari wakuu, Ukosefu wa ajira serikalini, taasisi mbali mbali, viwandani n.k imekuwa ndio chanzo cha vijana wengi mpaka wazee kukimbilia kwenye biashara, Wengi tunapoanza biashara huwa hatuna uelewa wa kutosha, maarifa tunayoyapata kwa kuulizia ulizia kwa watu, mtandaoni au kwa ndugu na...
  11. JamiiForums Tanzania SoC01 Miradi ya nyumba nafuu za kiutamaduni na kiasilia itaimarisha utalii na pato kwa shirika la nyumba na real estates companies na Taifa kwa ujumla.

    Sio siri kuwa miradi mingi ya nyumba za makazi na biashara hushindwa kuliteka soko kwa Watanzania wengi hasa wa kipato cha chini na badala yake nyumba nyingi zimebaki tupu bila wapangaji ama wamiliki ( wanunuzi) kwani miradi hio hukosa uhalisia wa maisha ya watu wa chini. Makampuni hudhani kuwa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa kuhusu mfumo wa gesi ya kupikia katika nyumba/jiko

    Nawasalimu wakuu. Naomba kwa wanaofahamu wanieleweshe kuhusu kuweka system ya gas ya kupikia katika jiko. Katika pitapita zangu nikawasikia jamaa wanaongelea kuwa kuna mfumo ambao mtungi wa gas unawekwa nje kabisa mbali na kijoni, halafu wamepitisha bomba za kupeleka gas ndani/jikoni. Hii...
  13. JamiiForums Tanzania Nyumba (Muundo wa L) ya vyumba 2 na sebule inaweza kugharimu kiasi gani?

    Ndugu zangu Mimi nataka kujenga nyumba ya vyumba viwili na sebule vyenye meter 4 lakini choo Cha public ni Cha nje. Muundo wa nyumba ni wa(L) Inaweza kugalimu shingapi mpaka kuamia. Msaada please.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Nani anajua aina hii ya nyumba (jina lake) na kuzijenga

    Kuna mtu anajua gharama ya kujenga aina hiyo hapa ?
  15. P

    JamiiForums Tanzania Huduma ya ufundi wa bomba katika nyumba

    Habari wanajamvi, Kwa yeyote anayehitaji au atakayehitaji huduma inayohusu uwekaji mfumo wa maji safi na majitaka katika jengo, hata ushauri tuwasiliane kupitia namba ya simu : 0754341362 au Email: hafidhi07@gmail.com
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kutumia mchango wa harusi kujenga nyumba

    Wadau ebu naomba ushauri wenu nitarajia kuchukua jiko sasa michango imefika 42 millin na point kadhaa na watu bado wanatoa Imenijia wazo hizi hela nifanye jambo lingine nina kiwanja Bunju nikajenge nyumba fasta ya japo 35m nipate kustirika kikao cha mwisho sitokei natuma mjumbe mjomba...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kupaka rangi nyumba kunahitaji kibali. Nani wanatunga Sheria hizi?

    Sheria zilizotungwa zinatuumiza. Nilikuwa napiga rangi nyumba yangu nikakamatwa sina kibali cha ujenzi. Hivi hata kupiga rangi tu kibali? Na kuna sheria ya ku-park gari pembeni ya barabara umewasha hazard unakamatwa hata kama imeharibika. Watunga sheria hizi ni kina nani?
  18. JamiiForums Tanzania Mbezi Beach, Dar: Mwanamke achoma nyumba ya mpenziwe wa zamani

    Mwanamke wa kikurya amechoma nyumba ya aliyekuwa mwanaume wake mkazi wa mbezi Beach kwa komba kwa sababu ya wivu wa kimapenzi. Tukio hili lilitekelezwa wakati mwanaume huyo alipokuwa ameenda kazini. Wananchi alofanikiwa kumkamata mtuhumiwa na hivi ninavyoandika mtuhumiwa huyu amefikishwa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ya rangi za nyumba, kwa mtaji wa mil. 30

    Habari wadau, Kwa mtaji wa Mil.30 mtu anaweza kufanya biashara ya Kuuza rangi za Nyumba akiwa Mkoani(Mwanza)? Je, Hii ni moja kati ya Biashara nzuri kuifanya? (It pays, ina Mzunguko mzuri?) Je, kwa huo Mtaji unaweza kuuza jumla jumla? Je, ipi njia sahihi ya kufanya biashara ya Rangi? Kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania Maliwato si lazima yachukue nafasi kubwa kwenye nyumba

    Ni mpangilio tu lakini maliwato yanaweza kuchukua nafasi ndogo yenye mpangilio mzuri. Hii ni sehemu ya faragha hivyo watu wawili au watatu kukutana ni wakati wa kumhudumia mgonjwa. Swahiba mmoja aliweka ceiling fan maliwato, hata kama kuna joto si unaoga maji ya baridi!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…