Kitchener
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 13,833
- 27,750
Wandugu,
Nimeamua kujenga kajumba ka kupangisha watumishi wa serikali hao wanaohamia Dodoma,
Kiwanja kipo eneo flat, na mkononi ninazo Milioni 15,
Je, kwa ujenzi wa nyumba Dodoma naweza kuifikisha katika level gani? Wataalamu naomba mchanganuo tafadhali.
Asante