Nijenge nyumba ya chini au ghorofa?

Nijenge nyumba ya chini au ghorofa?

bless on

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2026
Posts
697
Reaction score
1,624
Fundi kuniambia kama unataka kujenga
nyumba yenye vyumba vinne au zaidi ni bora ujenge ghorofa.

Kujenga nyumba ni jambo kubwa. Unapofikia hatua ya kuamua idadi ya vyumba vya kulala, swali muhimu linajitokeza. Nijenge nyumba ya chini au ghorofa ?

Fundi kashauri kama unataka nyumba yenye vyumba vinne au vitano vya kulala ni bora ukajenga ghorofa. Lakini Ikiwa vyumba havizidi vitatu basi Jenga nyumba ya chini.
Kama unajenga jengo la vyumba vitano au vinne gharama hazitofautiani sana kama unavyofikiria

Wengi hufikiri nyumba kubwa ya chini ni nafuu. Lakini ukilinganisha nyumba yenye vyumba vitano vya chini na ghorofa yenye vyumba vitano gharama ni kama zinakaribiana kuwa sawa .

Tofauti iyaweza kuwa kati ya asilimia 25 hadi 35 tu.Siyo mara mbili au tatu ya gharama kama watu wengi wanavyodhani.
Fundi kaendelea kunishauri kama nitaamua kujenga nyumba yenye vyumba vinne au zaidi ya chini, maana yake nyumba hiyo itagharimu zaidi kwenye
Paa kubwa , mabati mengi, mbao nyingi.
Utajenga kuta nyingi za kugawa vyumba hivyo matofali ni mengi zaidi.
Itamwagwa jamvi sehemu kubwa zaidi.
Dari litakuwa pana zaidi. Hivyo kuhitaji mbao zaidi, boards,na vifaa vingi vya finishing.
Huku ghorofa ya vyumba vitano inagharimu zaidi kwenye
msingi na kutengeneza slab.

Hivyo, pesa unayotumia kujenga jumba kubwa la chini ndiyo hiyo hiyo utaongezea kidogo na kupata jengo la ghorofa.

Je huyu fundi yupo sahihi???
 
Attachments

  • FB_IMG_1782073042300.jpg
    FB_IMG_1782073042300.jpg
    380 KB · Views: 15

Kuna majinga yanajiita polisiccm yatakufuata yakitonywa
 
SIkushauri,jenga nyumba ya chini naamini ndio umejipanga nayo. Maumivu utakayoyapata ndio yatakupa picha,"hivi ningejenga ghorofa ingekuaje?". Ghorofa jenga ukiwa tayari mwenyewe,na sio kwa ushawishi/utayari wa fundi,hilo sio kama tako kila mtu analo. Kila la heri,kama ushauri huu ukimaliza ujenzi utaona umekusaidia,tujuze.
 
Ghirofa nani kwa ajili ya biashara litakulinda. Halafu watu hutishana. Inategemea na ukubwa wa ghirofa. Pia wengi hawana mawazo ya kutumia ardhi kwenda juu wao wanawaza matumizi ya hapo hapo chini. Kama una kiwanja kidogo ghirofa ni nzuri si lazima ujenge ghorofa kubwa.
 
Wewe ni fundi?
 
Hayo maneno ya mwisho yana maana sana
 
Back
Top Bottom