nyota

Nyota is a given name. It means star in the African languages Swahili and Lingala.People, animals, companies and fictional characters with this name include:

Nyota Inyoka (1896–1971), French-Indian dancer and choreographer
Nyota Ndogo, Kenyan musician
Nyota (Bonobo), male Bonobo born at the Language Research Center at Georgia State University
Nyota Uhura, fictional Communications Officer in the original series of Star Trek
Nyota, wedding invitation and accessories manufacturer and exporter

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Michepuko inakuharibia maisha na kukuchafulia nyota ya kizazi chako

    MICHEPUKO INAKUHARIBIA MAISHA NA KUKUCHAFULIA NYOTA YA KIZAZI CHAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Usijesema hili nalo sikukwambia. Ikiwa umeoa, Mkeo anakusumbua Sana. Iwe anakunyima tendo la ndoa, au anakufanya uhisi unahitaji Mwanamke mwingine. Unanjia mbili za kufanya ili kukabiliana...
  2. Yoda

    Elimu ya kusoma nyota (unajimu) inaruhusiwa katika Ukristo?

    Ukisoma biblia mamajusi(wanajimu) watatu kutoka mashariki walisoma na kuifuata nyota kutoka mashariki iliyowaongoza kutoka mashariki walipokuwepo hadi Bethlehemu alipozaliwa mfalme wa Wayahudi(Yesu Kristo). Je ni sawa kwa mkristo kushiriki kwa namna yoyote katika usomaji nyota(unajimu)?
  3. Samia atosha tukutane2030

    Kipimo rahisi cha nyota yako

    Kila mwanadamu ana nyota , ndani yake kuna talanta, na hiyo talanta ndiyo Mungu hutaka mtu aitumie ili asiwe maskini na mhitaji. Lakini kama ilivyo ada duniani kuna wachawi ambao huchafua nyota za watu au kuibiwa. Ukiibiwa nyota utateseka mpaka kifo chako. Hakuna litakalostawi mikononi mwako...
  4. Abtali Mwerevu

    Kipimo Kujua Kama Nyota yako Inang'Ara, Imefifia au Imeporwa

    Watu wengi husafisha nyota ilhali nyota zao zinang’ara. Wengine hudhani nyota zao zimeporwa kumbe wanazo ila zimefifia tu. Kabla hujasafisha au kurejesha nyota, kwanza fanya kipimo. Faida za nyota yako kung'ara ni: - Kuondoa mikosi. - Kuongeza mvuto katika biashara na kazi. - Kuongeza mvuto...
  5. Forrest Gump

    Ujuaji mwingi wa Waafrika kuhusu mambo ya imani ndio unafanya wao kuwa watumwa kwa watu wengine

    Mbona hatujapata sasa suluhisho la haya yote. Maana ujuzi halisia wa kitu ina maana hauwezi tena kuwa mtumwa wa kitu hicho. Unaweza kuta mtu anaandika kwa uhakika kuwa sababu ya magumu yako ni nyota yako imeharibiwa au dhambi zako lakini unashangaa kuna tajiri mmoja yupo ana dhambi zaidi yako...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Kijana maskini unataka nyota yako ing'ae kisiasa na wakubwa wakuchague. Hivi ndivyo utakavyofanya

    KIJANA MASKINI UNATAKA NYOTA YAKO ING'AE KISIASA NA WAKUBWA WAKUCHAGUE. HIVI NDIVYO UTAKAVYOFANYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuna vijana maelfu kwa maelfu wapo kwenye siasa miaka na Miaka lakini hawatambuliki, hawajulikani, hawaonekani na zaidi wanaishia kuwa vibaraka vya wakubwa...
  7. M

    Yanga wamefuta nyota kwenye jezi za ligi ya mabingwa. CAF hawataki nyota hewa. Ni mabingwa tu ndio wana nyota

    Habari wadau Naona Yanga wametoa jezi mpya kwa kwa ajili ya total caf champions league.. Wamefuta nyota zao walizoweka juu ya logo yao kwenye jezi zao za msimu huu walizochezea hatua za awali za caf champions league na ligi kuu ya tanzania. Watu wengi walishangaa why jezi ya mamelodi iwe na...
  8. mike2k

    Proxima centauri : Nyota ya karibu kabisa yenye eneo linaloweza kussport uhai

    Proxima Centauri: The Closest Star with Potential for Life Natumai mnaendelea vizuri! Kila mmoja wetu anahitaji kusoma na kujifunza kuhusu ulimwengu tunaoishi. Kwa hivyo, ninawaahidi kuwa nitachapisha makala moja kila wiki kuhusu uchunguzi wa anga kwa kipindi cha mwaka mzima. Usisahau kusoma...
  9. LIKUD

    Sheikh Kishki yupo sahihi ila huyu Bwana Mdogo Shareef Firdaus ana nyota kubwa sana

    Kaka angu sheikh Kishki upo sahihi sana kuhusu sakata la huyu Bwana mdogo " Abdul Dunya" almaarufu " Shareef Firdaus". Dogo ana karama sana ana nyota sana na anakubalika sana. Bora umpotezee tu. Raia mitaani jijini Darusalama wanamkubali ile kinomanoma. Kwa Raia mitaani, Kishki vs Shareef...
  10. O

    Nyota kujipanga mstari angani

    Habari Wana JF, juzi usiku kwenye saa moja hivi niliona kitu Kama NYOTA zimejipanga mstari zikawa zinasogea alafu zikapotea, nikawa najiuliza maswali ni nini hiko bila majibu.
  11. X

    SWARAJ 744 Nyota moja

    natafuta trekta swaraj 744 nyota moja used.bei ni maelewano kulingana na mwonekano. kama una access ya kuipata ni pm,au nicheki kwenye namba yangu 0754688254
  12. ERTUGRUL BEY

    Giza linapoingia basi nyota huonekana

    Msemo huu upo hapa kukutia moyo katika maisha yako na jitahidi kuukumbuka mara kwa mara unapokuwa katika nyakati ngumu za maisha (when it gets dark the stars come out) Msemo mwengine ambao unashahabiana na huo ni "ukiona kiza kinazidi ujue kunapambazuka" huu ni ukweli ulio wazi kabisa pale...
  13. nipo online

    Nini maana ya nyota? (ni sawa na bahati?)

    Kiimani ni rahisi kuelewa mtu akikuambia una Baraka, ni kwa sababu anaona mafanikio fulani yanakupata, Lakini huku uswahilini, nimesikia kuna watu wanasema "huyu jamaa Ana nyota." wengine wakisema ni mfano wa bahati,. Sio hilo tu nimesikia pia kama hufanikwi kasafishe vyota. Au Kuna watu...
  14. chiembe

    Kwa sasa nchi nzima iko chini ya udhibiti wa dola, iwe baa ya nyota tano au kilabu cha komoni na chibuku, kijiwe cha boda,.gesti, wako kila kona

    Uwe mwangalifu, siafu wamesambaa kila kona, usimuamini jirani aliyekaa karibu na wewe. Jamaa wako kila uchochoro, wako kila mahali. Ile nchi ambayo walitaka iingie kazini sasa iko ndani kabisa ya kila mtaa, ndani kabisa ya maisha ya kila mtu. Now, we witness the state doing its job ambayo watu...
  15. JanguKamaJangu

    Nyota wa zamani wa Arsenal na Liverpool Alex Oxlade-Chamberlain mbioni kurejea katika Premier League

    Ex-Arsenal and Liverpool star Alex Oxlade-Chamberlain ‘in talks’ over shock transfer to return to Premier League ALEX OXLADE-CHAMBERLAIN is reportedly in talks over a shock Premier League return with Brentford. The former Arsenal and Liverpool midfielder spent the past year playing for...
  16. LIKUD

    Haka kadada kamarekani keusi nimekapenda. Videmu vya hivi vinakuwaga na nyota kali sana ukiwa nako

    Tazama video hii ukaone kadada kenyewe. Aisee nimekaelewa kinoma noma. Kwa sababu ndio aina ya mademu ninao tokaga nao. Unaposikia Likud kaenda sijui Lindi, Mtwara, wherever kutafuta mademu huwaga natafuta mademu kama hawa. Napenda hizo gestures zake. Siku nikipata nafasi nitakuja ku explain...
  17. DELETED ACCOUNT

    Karabaka, nyota wa Simba asiyeimbwa

    Katika mafanikio ya mchezaji, kuna kuujua mpira ila pia kuna bahati. Bahati inaweza kukufanya upendwe hata kama mchango wako kwenye timu ni wa kawaida, bahati inaweza kukufanya upendwe na kila kocha, bahati inaweza kukufanya uwe unafunga mara kwa mara tena katika mechi kubwa, bahati inaweza...
  18. Gang Chomba

    Nyota wa Soka walio anza kama Ball Boys…wangapi umewatambua?!

    Tuanze na Gerald na Arnold na Gerard na Kovacic…
  19. T

    Je, simu yangu imedukuliwa?

    Naomba wataalamu mnisaidie kuna namba nimeisave kwenye simu yangu lakini nikiandkia nyota kwenye sehemu ya kuingiza namba linatokea jina la hiyo nambna, shida ni nini au amenidukua?
  20. ELI COHEN

    Duh instagram imejaa matangazo ya waganga mara kuiba mume wa mtu, libwata na kurudisha nyota.

    Ukitaka kula pesa ya mwa afrika basi uijiingize ktk huduma za kiroho na ukitaka kujua roho chafu za watu basi mnunulie pombe mganga alewe alafu akuambie mambo anayoletewa kuyafanyia kazi. Ni mapicha unayaona tu mara mbuzi ameuliwa na amechorwa maumbo na alama tofauti. Alafu chini ya posts zao...
Back
Top Bottom