nyota

Nyota is a given name. It means star in the African languages Swahili and Lingala.People, animals, companies and fictional characters with this name include:

Nyota Inyoka (1896–1971), French-Indian dancer and choreographer
Nyota Ndogo, Kenyan musician
Nyota (Bonobo), male Bonobo born at the Language Research Center at Georgia State University
Nyota Uhura, fictional Communications Officer in the original series of Star Trek
Nyota, wedding invitation and accessories manufacturer and exporter

View More On Wikipedia.org
  1. amarina

    JamiiForums Tanzania Naomba anayejua hotel ya nyota 10 Dar msaada

    Nina mgeni wangu ataingia jijini mwezi ujao msaada wenu hotel ya hadhi ya 10 star
  2. Magical power

    JamiiForums Tanzania Usomaji wa nyota yako kila siku

    USOMAJI NYOTA JUMAPILI 17/8/2025 MSHALE Mtu unayemjali atapata habari njema ambazo pia zitakunufaisha wewe. Mtu wako wa zamani atakufikia kwa njia isiyokuwa ya fujo. Utapata wakati utakaoufanya useme "maisha ni mazuri kwa kweli". MBUZI Utakuwa mahali fulani kwa wakati unaofaa ili kupata...
  3. Setfree

    JamiiForums Tanzania Wajue watu hawa watakaong’aa kama nyota milele na milele!

    Watu wengi katika dunia hii wanatamani 'kung’aa' kwa umaarufu, heshima, kusifiwa na kupongezwa na wanadamu. Wengine wanatumia pesa nyingi kutafuta urembo, mavazi ya bei ya juu, magari ya kifahari, elimu ya kiwango cha PhDs au hata nguvu ili waonekane juu kama nyota. Lakini ukweli ni kwamba, mtu...
  4. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania CCM jengeni Chuo kikuu Mwanza na Hospital kubwa yenye hadhi ya nyota tano muziite CCM MEDICAL UNIVERSITY and Teaching Hospitali

    Haya mabilioni ya shilingi zenu njoeni muwekeze Mwanza mjenge Hospital ya hadhi ya nyota tano hafu mjenge chuo kikuu kikubwa Sana
  5. U

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Shujaa NDUNA Songea Luwafu Mbano ALIYETIKISA HIMAYA YA WANGONI SONGEA

    NDUNA ALIYETIKISA HIMAYA YA WANGONI SONGEA Katika historia ya Songea mkoani Ruvuma kuna nyota moja iliyong’aa kupita zote Nduna Songea Luwafu Mbano aliyeuawa kikatili na wajerumani mwaka 1906 Huyu hakuwa tu kiongozi wa kijadi, bali alikuwa ngome ya ujasiri, Jemedari asiyeogopa risasi, na...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Simba SC wanamtaka Nyota wa sasa Uganda Cranes Allan Okello waniambie nimalizane nae hapa hapa Kampala kwani nammudu

    Na hata Timu yao ya Uganda Cranes ilipoweka Kambi yake si mbali na Kwangu na isitoshe Rafiki yake mkubwa wanayecheza nae Vipers FC Hillary Mukindane ni Mwanangu na alishanikutanisha nae miezi kadhaa. Na ndiyo Mchezaji huyu huyu hapa hapa JamiiForums niliwaambia Simba SC nimemwona na atatufaa...
  7. ufalmedigital

    JamiiForums Tanzania Je, Unaamini Kuhusu Nyota? 🌌🪐

    Katika maisha ya kila siku, tumekuwa tukisikia au kuona watu wakisema: Lakini swali linabaki: Je, tunaamini kweli kwamba tarehe uliyotokea inaweza kuamua tabia, mafanikio au changamoto zako kimaisha? 🌟 Nyota ni Nini? tembelea chuosmart.com kwa taarifa zaidi Hapa tunazungumzia nyota za Zodiac...
  8. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA Nyota wa Muziki Connie Francis aliyeimba "Pretty little baby" amefariki dunia

    Connie Francis, nyota wa muziki wa pop aliyejizolea umaarufu miaka ya 1950 na 1960 kwa nyimbo kama “Pretty Little Baby”, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87 Taarifa za kifo chake zimetolewa na rafiki yake pamoja na msemaji wake, Ron Roberts, ingawa hakutoa maelezo zaidi mara moja Francis...
  9. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kutembelea nyota ya mtu mwingine

    KUTEMBELEA NYOTA YA MTU MWINGINE! Fuatana nami Dr *MAGICAL POWER * Je, umewahi kusikia watu fulani fulani huko wakisema "fulani anatembelea nyota ya fulani?" Na je, nini ulikuwa mtazamo wako kuhusiana na kauli hiyo au kauli kama hiyo? Tumefundisha kwa miaka mingi kuhusiana na...
  10. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania *SCORPION - NGE* kama wewe ni nyota ya NGE au mtu wako ni Scorpion au mwanao basi, naomba usome kwa umakini

    NGE - SCORPION ♏ Uchambuzi zaidi wa nyota ya NGE Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ Ifahamu Nyota ya Ng’e: Wenye Nguvu ya Hisia na Walio na Msimamo Ifahamu Nyota ya Ng’e: Wenye Nguvu ya Hisia na Walio na Msimamo Watu waliozaliwa kati ya Oktoba 23 hadi Novemba 21 ni NYOTA YA NG’E - SCORPION ♏. Watu wa...
  11. Chuo Cha Tafakari

    JamiiForums Tanzania Binadamu na Nyota: Mwangaza Mfupi Kati ya Giza Mbili?

    Na: Mjumbe wa Nafsi za Watu Je, binadamu ana uhusiano wowote wa kweli na nyota? Je, tunaongozwa nao? Tumetokana nao? Au nyota ni mapambo tu ya anga, kama taa zisizo na maana zaidi ya kutufurahisha macho? Maswali haya si mapya. Yamechochea fikra za watawala, wanafalsafa, wachawi, manabii na...
  12. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Watu wa nyota ya CAPRICORN ♑ - MBUZI na nyota ya AQUARIUS ♒ NDOOJumamos ni siku yenu nzuri kiroho na kimaisha na mvuto

    Watu wa nyota ya CAPRICORN ♑ - MBUZI na nyota ya AQUARIUS ♒ NDOO Jumamos ni siku yenu nzuri kiroho na kimaisha na mvuto, Vaa rangi ya jumamos ambayo NYEUSI, Pia saa 12 ahsubuhi na saa saba mchana choma mafusho ya MIATUN-SAILA ili kuongezea nyota yako nguvu. HAPPY SATAN DAY By Dr DOGOLI...
  13. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Ijue zaidi nyota ya Simba

    Ifahamu Nyota ya Simba: Jasiri na Wenye Nguvu ya Uongozi Watu waliozaliwa kati ya Julai 23 hadi Agosti 22 ni Nyota ya Simba. Watu wa nyota hii wanajulikana kwa kuwa na haiba ya uongozi, ujasiri wa hali ya juu, na mvuto wa asili. Simba ni watu wanaojiamini na mara nyingi hujitokeza kuwa viongozi...
  14. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa nyota kila siku

    IJUE ZAIDI NYOTA YA SIMBA , Angalia zaidi uhusiano wa nyota ya SIMBA na nyota zingine Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ Ifahamu Nyota ya Simba: Jasiri na Wenye Nguvu ya Uongozi Watu waliozaliwa kati ya Julai 23 hadi Agosti 22 ni Nyota ya Simba. Watu wa nyota hii wanajulikana kwa kuwa na haiba ya...
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanachama wasaliti wa Chadema nyota zao hupotea jumla?

    GT Anayejua hili atuambie inakuwaje mtu anayetoka.chadema kwenda kwingine nyota yake hufifia mazima. Tofauti na anayetoka Chama kingine kuingia Chadema. What is going on? Au ndo mpango.wa mungu hatujui tu
  16. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Nyota yako leo jumanne Julai 01/2025

    NYOTA YAKO LEO JUMANNE JULAI 01/2025: UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE. ★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22) Jaribu sana kufanya utafiti katika...
  17. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania NYOTA YAKO LEO JUMAPILI JUNI 29/2025:

    NYOTA YAKO LEO JUMAPILI JUNI 29/2025: UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILREKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI. MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE. ★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22) jumapili hii unatakiwa uwe...
  18. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Kutembelea nyota ya mtu mwingine!

    KUTEMBELEA NYOTA YA MTU MWINGINE! Fuatana nami Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ Je, umewahi kusikia watu fulani fulani huko wakisema "fulani anatembelea nyota ya fulani?" Na je, nini ulikuwa mtazamo wako kuhusiana na kauli hiyo au kauli kama hiyo? Tumefundisha kwa miaka mingi kuhusiana na elimu ya...
  19. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Nyota yako leo Jumamosi Juni 28, 2025

    NYOTA YAKO LEO JUMAMOS JUNI 28/2025: ★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22) jumamos hii ni nzuri kwako ingawa una ahadi nyingi una ahidiwa ambazo hazitekelezeki nivyema ukatafuta njia au ufumbuzi kwakuwa nyota yako jumamos hii ni nzuri kwako hivyo usiwe unapenda kufuata upepo nivyema uwe unafanya...
  20. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Nyota yako leo Juni 27/2025

    NYOTA YAKO LEO IJUMAA JUNI 27/2025: UKIWA NA SHIDA YOYOTE YA KINYOTA NA TIBA, NIPO MOROGORO MJINI NAPATIKANA KILA SIKU OFISINI KWANGU FOREST KILEKA KUANZIA SAA 12 ASUBUHI MPAKA SAA 12 JIONI. MAALIM ANAPATIKANA MUDA WOTE ★KAA– CANCER 🦀 (Juni 21– Julai 22) Ili kukamilisha mipango yako ni...
Back
Top Bottom