Wala usiumize akili, tembelea nyota

King Loto

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,573
1,344
Wakuu habarini!

Mi nasemaga kitu kimoja kama wewe ni boss mwenye kampuni ya toyota nitajishika na wewe boss ukipanda na mi napanda, ukitoa new fashion nami napita nayo nyuma yako, wabongo tunashindwaga hata kutembelea nyota.

Wewe kila fashion mpya pita nayo mbona watu wengi wanafanya hivo mimi saivi naparamia fashion tu sina la kuwaza nishachelewa mahali.

Simu mpya ninayo
Gari mpya ninalo
Jeans, kadeti, kiatu kipya ninacho
Bati mpya ninazo.
Sitaki habari za zamani.

Ukiweza kwenda na fashion kwenye biashara yako umeua. Fashion wanazo maboss waige na wewe uwe boss uigwe.

Hii ni siri nimewaibia mahali kwenye kichwa changu na siri hii amna tajiri atakuja kukuambia ishi kwa hulka ya fashion.

Ahsanteni sana na Alamsiki.
 
"Trend is your friend until it bends at the end"
" Go with the flow"
Tupo pamoja mkuu hizi ni funguo au password za biashara na buznezz ni pesa if you are not making money then you're making none sense.
 
Hapo kwenye bati jipya hapo mmmmh yani ni ngoe msauzi hata mwaka hauna kisa kuna bati jipya limekuja
 
Hiii mambo ya "trend is your friend" ndio tulipigwa nayo kule kwenye forex
Doooh pole tajiri sio kila king'acho ni dhahabu mengine mawe ya chumvi 😅😅😅 ila utakuwa umejifunza iyo inaitwa karibu mjini.

Eti foreks is not for everyone. 😂 Yaani wanga'ata na kupuliza ukija kushutuka MT4 hazipandi. Hii ni sawa na kumpa demu lift anashutuka yuko ghetto anaona kama ndoto alifikaje? Kushutuka ashalowa.
 
Hapo kwenye bati jipya hapo mmmmh yani ni ngoe msauzi hata mwaka hauna kisa kuna bati jipya limekuja
Unajenga nyingine kaka sema bati huwa fashion yake ni miaka kumi au saba yaani ni bidhaa zinazo kaa sokoni muda mrefu
 
Doooh pole tajiri sio kila king'acho ni dhahabu mengine mawe ya chumvi ila utakuwa umejifunza iyo inaitwa karibu mjini.
Eti foreks is not for everyone. Yaani wanga'ata na kupuliza ukija kushutuka MT4 hazipandi. Hii ni sawa na kumpa demu lift anashutuka yuko ghetto anaona kama ndoto alifikaje? Kushutuka ashalowa.
Tuliambiwa trend is your friend go with it lakin wapi uki buy ni mseleleko tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom