Tatizo nyota au? Ni wiki sasa Jealous ya Alikiba haijashika namba 1 trending licha ya views nyingi

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,032
Mmakonde kaamua kumkata matumaini kabisa

1628360158924.png

Binafsi nashangaa kuona hii ni video ya pili mfululizo ya kiba haijafika kilele cha trending, Nahisi ni sababu Ali kiba kaanza kulipia matangazo ya kulipia fb na insta ya sponsored (kama la kwenye picha ya chini), haya matangazo unaweza kuchagya yafikie nchi flani, jiji gani, watu wa jinsia flan, rika, n.k sasa huenda haya matangazo yanatumika kuongeza views na sio kufikia mashabiki, mfano ukilenga tangazo lifike nchi kama pakistani na india ni bei rahisi na pia utapata views maana kuna wahindi wengi na wapakistani wanashindaga mitandaoni na ndio wale wanaotusumbuaga facebook na insta, kwao internet ni sawa na bure tu na wakiona tangazo la msanii huwa wanaicheki na inahesabika kama view, na hapo ndo unakuta ana views kijiji ila hawi mfalme kwenye trending ya Tanzania wala Kenya.

Tangazo linakuwa na muundo kama huu, hili nililiona hapa bongo ila endapo kuna mengine ni kwajili ya pakistani na india na sio bongo, huwezi kuyaona ukiwa bongo, ni wahindi na wapakistani pekee wataliona, na hapo tangazo likiminywa unapelekwa youtube na views zinaongezeka.

Screenshot_20210809_193605.jpg
 
Hilo limetolewa ufafanuzi na wenzio unless unatafuta au unataka kusambaza chuki kama nikki mbishi..
 
Kiba hachukiwi,alikuwa anapendwa sana na ana timu yake humu,tatizo lilianza aliposhindwa kwenda na matarajio ya mashabiki wake,mashabiki walikuwa mbele kimtazamo kuliko kiba anavyopambana so wakakata tamaa wengi wamebaki kumbeza.

Kiba anapendwa hata leo
 
Ukiona wimbo una views nyingi alafu kwenye trending unazidiwa na wimbo wenye views wachache ujue wimbo huo upo sponsored
mwongo!!! yaani limekutoka tu jibu puuuuuu

Nyie ndo huwa mnakana mpaka mama zenu

usiandike ujinga public hata kama unatumia jina la uongo ni aibu

Trending ni kitu cha nchi fulani na nchi fulani

wimbo wa kiba unaangaliwa na watu wengi wa nje pia kwenye nchi zao, na ni kwa sababu ya collabo na huyo mnigeria.....

Diamond wimbo wake unaangaliwa na wengi wa ndani, akifuatiwa na ali kiba.. .

kuna watu huko chini wana view 48m ila sio watazamaji wa ndani......Trendjng ni idadi ya watazamaji wa mahali husika wanaangalia kwa wingi kiasi gani kwenye video??

usikurupuke kutoa majibu bila utafiti ni uchawi pia
 
mwongo!!! yaani limekutoka tu jibu puuuuuu

Nyie ndo huwa mnakana mpaka mama zenu

usiandike ujinga public hata kama unatumia jina la uongo ni aibu
Acha ubishi, alichosema jamaa ni moja ya sababu...

Kiba.png

Trending ni kitu cha nchi fulani na nchi fulani

wimbo wa kiba unaangaliwa na watu wengi wa nje pia kwenye nchi zao, na ni kwa sababu ya collabo na huyo mnigeria.....
Ina maana hao wengi wa nje wameibuka kwenye wimbo wa Jealous?! nataka kusema from nowhere Kiba ameanza kuwa na watazamaji wengi nje kuliko ndani? By the way, Salute haiku-trend?
Diamond wimbo wake unaangaliwa na wengi wa ndani, akifuatiwa na ali kiba.. .

kuna watu huko chini wana view 48m ila sio watazamaji wa ndani......Trendjng ni idadi ya watazamaji wa mahali husika wanaangalia kwa wingi kiasi gani kwenye video??

usikurupuke kutoa majibu bila utafiti ni uchawi pia
Listen, watu tunamhifadhi tu Kiba lakini ukweli ni kwamba, hata huko NIgeria ha-trend!! Kumbuka kwamba, Bongo ndo wana vurugu sana na kukimbilia YouTube kuliko Nigeria, na ndo maana records nyingi za 1M huwa zinatokea Tanzania na sio Nigeria!!!

Na mfano halisi kabisa, Naira Marley na Zinoleesky ndio ina-trend namba 1 Nigeria na ipo hewani kwa Saa 17 lakini haijafikisha hata Views 200K!!

Sarkodie na Rollies and Cigars yake ndo inakimbilia 270K hivi sasa na ipo YouTube tangu August 05!!!

Mayorkun mwenyewe huwa anapata views wa kutosha pale tu video zake zinapokuwa posted kwenye Channel ya Label yake (Davido Music World); sasa ndo awe na ubavu wa kupandisha Views za Kiba?!!!

Kwa jinsi Views wa Kiba walivyokuwa wengi within 24 Hours LAZIMA angeingia Trending #1 Nigeria... LAZIMA, lakini hata kwenye Top 10 HAKUGUSA!!

Na hadi ninapoandika, hayupo hata kwenye Top 25!!!

Narudia, tunamtunzia heshima tu kiba lakini ukweli ni kwamba, hata hiyo Top 25 niliyotaja, nimefanya hivyo kwa kumtunzia heshima tu lakini ningetaja namba halisi....!!!
 
Kaka tupe elimu wana jukwa.. sponsoring proposal inaandaliwa vp? Madhara yake huwa makubwa sana

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app

mwongo!!! yaani limekutoka tu jibu puuuuuu

Nyie ndo huwa mnakana mpaka mama zenu

usiandike ujinga public hata kama unatumia jina la uongo ni aibu

Trending ni kitu cha nchi fulani na nchi fulani

wimbo wa kiba unaangaliwa na watu wengi wa nje pia kwenye nchi zao, na ni kwa sababu ya collabo na huyo mnigeria.....

Diamond wimbo wake unaangaliwa na wengi wa ndani, akifuatiwa na ali kiba.. .

kuna watu huko chini wana view 48m ila sio watazamaji wa ndani......Trendjng ni idadi ya watazamaji wa mahali husika wanaangalia kwa wingi kiasi gani kwenye video??

usikurupuke kutoa majibu bila utafiti ni uchawi pia
Sponsored product ads should get the best palace in the store, which means for search result pages- the first result.

The advertisers pay to give their products more visibility, and there is no better palace for getting that premium visibility than the top of the page before anything else.

Nb: mondi ana fanbase kubwa zaidi nje kuliko Kiba hivyo hoja yako haina mashiko, ka unabisha Google alafu ulete data hapa kama kuna nchi yeyote jealous imeangaliwa zaidi kuliko iyo
 
Timu hawakosi cha kujishindanisha

Kama kiba angekuwa namba moja on trending halafu viewers wachache huu uzi ungekuwa na kichwa cha habari kinacho hoji viewers huku namba moja on trending why....…!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom