nyingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mrungula umepenyezwa Tena kwa wachezaji na viongozi wa Simba?

    Baada ya kumtimua kocha wao wa viwango kutoka Brazil na kumrejesha kocha bab kubwa kutoka Simba b bwana matola hatimaye Leo mrungula umepenyezwa Tena kwa wachezaji na viongozi na kupelekea kushona SARE isiyo ya razima wakati harusi imeahirishwa? Hali iyo inapelekea tuhuma kuwa nzito na...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza kutueleza kwa kifupi bunge limefikia maamuzi gani kuhusu Madudu ya yaliyoripotiwa na CAG? Ndio tuseme tunasubiri ripoti nyingine mwakani?

    Nimeona wabunge na mawaziri wamemaliza kujadili ripoti ya CAG. Kwa namna mambo yalivyokwenda ni kama spika amesimama na mawaziri kufunika kombe. Lakini wakati huo wabunge wakiamua kuungana na mawaziri dakika ya mwisho kwa kupiga makofi kama walivyopigiana wakati wakichangia. Cha msingi zaidi ni...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa wale wenye komputa za kawaida, pata games kali za mpira na nyingine nyingi

    TUNAWEKA GAMES PS4 PS3 PS2 PC XBOX GAMES 0710701361 FIFA14 PATCH 24 OFFICIAL KWA PC INAPATIKANA🔥🔥🔥 INAHITAJI RAM 4GB NA PROCESSOR KUANZIA 2...GHZ PES 17 PATCH 24 KWA AJILI YA PC INAPATIKANA 🔥🔥🔥 PC INATAKIWA KUWA NA 4GB RAM PROCESSOR ANGALAU YA 2...GHZ ,60GB STORAGE. PIA PES 24 YA PS4 ZA...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Dar es Salaam kunapambazuka mapema kuliko sehemu nyingine nchini? 05:35hours

    Nimetoka nje muda huu, anga ni jeupe sana. Juzi nilikuwa Dodoma kushuhudia uuzwaji wa bandari zetu. Saa kumi na mbili na nusu ni giza totoro.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Oktoba bado haujatoka, wafanyakazi tunalia njaa

    I swear to God, Mshahara ukichelewa even another single day Nafwa jamani. Ni shida kutegemea mshahara Ajitokeze jamani mtu uwiiiii mshaharaaa nafwaaa mimi. Mshaharaaa uwiii
  6. JamiiForums Tanzania Naenda Lusaka nawaachieni Mpoteze muda kujadili Kuwauzeni Kimkakati miaka 30 na Kumteua Makusudi Msiyompenda na nikirejea nafanya M Reshuffle nyingine

    Kikubwa nafanya Makusudi tu ili niwachanganyeni kwani mnajjfanya mnapenda Mijadala, Kunijadili, Kunidharau na Kutoniamini huku mkinisema kuwa nimeshikiwa Akili na Smile King Maker hivyo sasa mtakula Jeuri yenu.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere ashauri kumbukizi ya Hayati Mwl Nyerere isichanganywe na shughuli nyingine

    Moja wa watoto wa Mwl Nyerere aliyepo ktk siasa na utumishi wa umma, hafurahishi siku ya kumbukizi ya kifo Cha baba yake kuchanganywa na shughuli nyingine ya serikali. Makongoro ameyatoa ya Moyoni mbele ya Rais Samia aliyetumia siku hiyo kuuzima mwenge mjini Babati Manyara. RC Makongoro...
  8. JamiiForums Tanzania Marekani inafanya uharibifu mwingine Afghanistan na Iraq kwa faida ya nani?

    Kwa namna Marekani ilivyoonyesha upendeleo wa dhahiri, naweza kusema inatengeneza uharibifu mwingine sijui kwa faida gani! Je, hali hii inaiweka dunia kwenye wakati gani? Je, hii ni mbinu ya Marekani kuendelea kuzimiliki nchi za Mashariki ya Kati au kiburi tu? Je, Marekani inatawaliwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Hongera sana kwa mtazamo wa ushirikiano kibiashara na nchi nyingine duniani!

    Msimamo na vitendo vya mama Samia, Rais wa JMT, vinaongea zsidi kuliko maneno. Mama Samia kahudhuria kwa niaba ya nchi yetu kongamano za Kilimo, biashara na maendeleo kwa ujumla. Karibuni mama Samia alikuwa Doha kuendeleza ushirikiano katika kilimo na biashara, na sasa yuko India kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Wakuu hivi kuna nchi nyingine bora kuishi duniani kama Tanzania?

    Kwa uzoefu wangu mdogo, na nchi nyingi nimezijifunza kwa kusoma na kufuatilia maisha yao naona Tanzania licha ya madhaifu yetu ni sehemu bora sana. Unaweza kwenda popote ukapokelewa utadhani mlifahamiana miaka mingi iliyopita. Kama hauna ishu za kisiasa na ujanjaujanja maisha yako bomba sana...
  11. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kihenzile: Bandari Nyingine Kujengwa Mtwara

    NAIBU WAZIRI KIHENZILE: BANDARI NYINGINE KUJENGWA MTWARA Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile amesema pamoja na kuwa wizara hiyo ina mipango ya muda mfupi katika usimamizi na matumizi ya bandari ya Mtwara, Serikali inakwenda kujenga bandari nyingine mkoani humo katika eneo...
  12. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Ukraine wafaulu kwa mara nyingine kuingia Crimea na kushambulia

    Kama kawa.. vilianzia Crimea, vitaishia Crimea ======== Ukraine’s Defence Intelligence has stated that units of the Special Operations Forces landed on the territory of the occupied Crimean peninsula and attacked the Russians, and after completing the mission, they retreated. Ukraine’s...
  13. JamiiForums Tanzania Jewish na Ubaguzi dhidi ya Imani Nyingine

    Hii ni Israel angalia hawa watu walivo wabaguzi dhidi ya Imani nyingine mpaka wanafikia hali ya kuwatemea mate. Video show Jewish worshippers spitting towards Christians and Churches in occupied East Jerusalem.
  14. U

    JamiiForums Tanzania Je, Dkt. Wilbroad Slaa anajipenyeza CHADEMA kiaina kuimaliza kazi aliyopewa na CCM?

    Siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015 Dr Wilbroad Slaa wakati huo akiwa GS wa CHADEMA na akiwa mchezaji tegemeo ktk safu ya ushambuliaji aliwatosa wenzake dakika chache kabla ya mchezo kuanza... Kila mtu (nikiwemo mimi) alipigwa na butwaa na mioyo ya matumaini ya ushindi dhidi ya CCM...
  15. L

    JamiiForums Tanzania China yaendelea kupaza sauti kuhusu vikundi vya nchi kukwamisha maendeleo ya nchi nyingine

    Kwenye mkutano wa baraza kuu la 78 la umoja wa mataifa uliofanyika hivi karibuni mjini New York, Makamu wa Rais wa China Bw. Han Zheng, alirudia tena mwito ambao China imekuwa inautoa kwa muda mrefu, kwamba hatua za upande mmoja ni changamoto kubwa kwa maendeleo ya nchi nyingine duniani, na...
  16. JamiiForums Tanzania Huu Wimbo ni moja ya nyimbo zenye kitu. Na hizi nyingine zenye kujaa Roho ndani yake

    Sikumbuki jina la choir. Ila wanaimba "Mimi ni kitu gani Bwana uniokoe Ninapojitazama mimi sistahili Ninazo dhambi tele Shetani kanisonga Yesu uniokoe Unishike mkono bwana Ni moja ya choir za zamani sana. Kama sikoei ni kutokea Kilimanjaro au Arusha. Pia natafuta na choir ya Moravian...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Nani anamtuma Mchengerwa kazi ya kusimamisha watumishi kazi? Mbona huko wizara nyingine hakuwa anasimamisha watu kazi? Hizi tume zake anazilipaje?

    Waziri kusimamisha watumishi kazi siyo ishara ya ufanisi bali ni ishara ya kushindwa kuwa mbunifu. Mchengerwa anatoka wizarani kwenda kuwasimamisha kazi watumishi wakati huo wapo watumishi wanalipwa salary kwa ajili ya kusimamia miradi na matumizi ya fedha. Wakuu wa Wilaya mbona wapo ofisini...
  18. JamiiForums Tanzania Wapenzi wa ndizi: Namna nyingine ya kupika ndizi tamu za kukaanga na nyama ya kuku/ng'ombe

    Nafikiri mkopoa kabisa Naomba ku share na nyie recipe nzuri ya kupika ndizi mzuzu Kwa wale wasiopenda rost na wengine wanaopenda kula chakula Cha tofauti na hakichukui mda kuandaa Mahitaji Ndizi zilizokaangwa ambazo umekata shape ndogo size uipendayo na nyama iliyokaangwa unaweza tumia hata...
  19. JamiiForums Tanzania Kuvunja undugu na ndugu zako wa damu wanaokutakia mabaya ni kosa?

    Wasalam ndugu zangu wana JamiiForums, ni mara nyingine naleta kwenu mada nyingine. Vitabu vya dini vimekuwa vikituhusia sana tusivunje undugu kwa matatizo au changamoto za hapa na pale zinazotokea aidha kwenye jamii zetu au familia zetu, lakini kumekuwa na sababu nyingi zinazopelekea ndugu...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Waislamu hutumia muda mwingi kuponda Dini nyingine katika mawaidha?

    Mara nyingi uwa nakutana na post mbalimbali za mawaidha ya Dini ya kiislamu, mitandaoni. Na uwa nasikiliza kujua nini kinaubiriwa katika mawaidha hayo. Moja ya reference ni hii hapo chini. https://www.instagram.com/reel/Cxii_7IKFyR/?igshid=MzRlODBiNWFlZA== Lakini mara nyingi nimekuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…