nyimbo

  1. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku nyimbo za ovyo kwenye magari ya shule

    Wizara ya Elimu imepiga marufuku kuwekwa kwa miziki, nyimbo ama picha za video zinazokwenda kinyume na maadili, mila, desturi na tamaduni katika mabasi yanayotumika kusafirisha watoto kuwapeleka shule, badala yake ziwekwe nyimbo au video zenye kujenga maadili na uzalendo kwa wanafunzi. Kauli...
  2. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Nyimbo/album hizi kama zingetoka leo zingeleta utajiri kwa waimbaji

    Hizi ni orodha ya Nyimbo za zamani ambazo kama ZINGETOKA Leo, Zingewatajirisha sana Wasanii au waimbaji. Na pengine zingebadili upepo wa Sanaa ya bongo. 1. Maria Salome -Saida Karoli. 2. Starehe & Kamanda- Ferouz. 3. Uwe macho & Jipange sawa sawa -Rose Muhando...
  3. Faana

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada Namna ya Kudownload Nyimbo Boomplay

    Mwenye ufahamu wa namna ya kudownload nyimbo toka boomplay anisaidie, natanguliza shukurani
  4. Superbug

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kuchambua na kutambua nyimbo nzuri za chekechea

    Wimbo wangu bora wa nursery ni POP GOES THE WEASEL. Wako ni upi? Kama ulisomea kayumba huu uzi haukuhusu!
  5. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Huwa unakumbuka nini ukisikia au kusikiliza nyimbo za Judy Boucher

    Can't Be With You Tonight You Caught My Eye That Night We Met Dreaming of a Little Island Turn Back the Time Hizo hapo juu ni baadhi ya nyimbo za Judy Boucher zikipigwa nakumbuka Christmas 🎄 Moja udogoni udogoni baada ya kula pilau na kunywa soda Inachukuliwa Redio cassettes then zinawekwa...
  6. Agrey998

    JamiiForums Tanzania Ma dj wanazingua kupiga nyimbo za dini kwenye disco na night clubs

    Nimekuwa Muhudhuriaji wa Night clubs mbalimbali hapa kwenye jiji la makala Na Jiji moja kule kaskazini mwa Tanzania. Imeibuka Tabia ya Madj wetu wanaoburudisha mioyo yetu kupiga nyimbo za Dini katika night clubs hizo na zinagusa imani za wengi mule na zikipigwa huwa narudi kukaa naendelea...
  7. aka2030

    JamiiForums Tanzania Zuwena nyimbo nzuri japo amesample

    Nyimbo nzuri video yake ni kama short movie Changamoto ni melody ya nyimbo amesample kutoka kwenye nyimbo ya zilipendwa ya wasafi
  8. Pettymagambo

    JamiiForums Tanzania Kuna nyimbo unaisikiliza na huikinai siku zote?

    Salaam kwenu wana MUNGU, Kuna hii nyimbo ya gospel inaitwa maneno mazuri yakwake japhet wa zabron singers ft Ambwene Mwasongwe, hainichoshi jamani. Naisikiliza tena na tena, tena na tena, nyimbo inaujumbe mahsusi hii.
  9. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nyimbo mbili bora za muda wote zinazopendwa kwenye baa za Tanzania

    Nimekuwa nikijiuliza sana kwanini muziki nikiusikilizia Bar huwa ni mtamu zaidi ya kusikilizia nyumbani? Nyumbani nina Home Theatre nzuri ya Sony niliyonunua Dirham 1200 kule Deira, Dubai lakini huwa naona haitoi muziki mtamu kama ule wa Bar. Hata kinywaji cha Bar nadhani huwa ni kitamu kuliko...
  10. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Padre: Muwe mnasikiliza nyimbo za misiba majumbani

    Unaweza hisi anatania ukweli unauma. Padre mmoja leo amekumbusha watu. Mmekuwa waguumu kuimba misibani, najua hizi nyimbo hatuimbi mara kwa mara, kwakuwa ziko vitabuni na mnazijua muwe mnajikumbusha kuimba na familia mkija msianze kuangaliana. Msisubiri ufikwe na msiba, hapa watu 2kagunaa...
  11. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa nyimbo tatu kali za Bongo Fleva tulizofunga nazo mwaka

    1 : kontawa - champion 2: Dulla makabila - Pita huku 3: Mbosso - Shetani
  12. Chura

    JamiiForums Tanzania Nyimbo zilizobamba Afrika 2022

    Nazungumzia magoma yaliyolitingisha bibaya sana bara la Africa kwa mwaka 2022, dude sio lazima liwe limeshuka 2022 lakini kwenye iwe harusi, Kipaimara, birthday hata club hukosi kulisikia masikioni mwako. Zangu ni hizi; 1. Patoraking alongside Dimond- Kolokolo 2. Oh Ma lay- Godly 3. Asake -...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wakristo tujirekebishe katika hizi nyimbo za maombolezo

    Hainiingii akilini kwa nini wakristo wanaoamini kwamba Yesu ameshinda mauti lakini ikitokea mmoja wetu amefikia mwisho wa uhai wake tunakisujudia kifo badala ya kutangaza ushindi juu ya kifo. Nimekulia kwenye kanisa Katoliki na hizi nyimbo za maombolezo zinanitia kisirani kabisa. Fikiri wimbo...
  14. Poker

    JamiiForums Tanzania Weka playlist yako ya top 10 l, nyimbo zako bora zilizofanya poa huu mwaka!

    1- taylor swift anti hero 2- mbosso huyu hapa 3- SZA nobody gets me 4- kizz daniel cough 5- Drake ft 21savage Rich flex 6- The weekend die for you 7- rema ft sele gomez calm down 8- the kid laroy ft Justin stay 9- c-kay love nwantiti 10- Ruger Dior
  15. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Wimbo ya Dullah Makabila

    Unjani sabuwona, Kiukweli nimependa Ubunifu wa dulla makabila! Nyimbo imekamilika kila idara kila kitu alichoongea makabila kina uhalisia kabisa Nimependa idea ya dulla makabila kumtumia mchungaji pale ndipo aliponivutia! Kiukweli hawa wachungaji ni jibu kabisa hususani wachungaji tokea bara...
  16. Forest Hill

    JamiiForums Tanzania Wakongwe wa Rap Bongo anayekumbuka nyimbo hii inaitwaje anisaidie jina niitafute

    Habari zenu wakuu, Kuna nyimbo nakumbuka mistari yake na kisa chake, sauti ya Saigon pia IPO kwenye hiyo ngoma,kisa cha nyimbo ni washikaji maisha magumu hawana pesa za mavazi wala maradhi, wanapanga wakavamie nyumbani kwa muhindi tajiri wachukue pesa wamalize shida zao,,katika mpango wao...
  17. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Hizi nyimbo za Rhumba huwa zinanikumbusha mbali sana

    Hizi nyimbo za rhumba huwaga zinakumbusha mbali sana Mayaula mayoni- Mbongou Diblo Dibala- Machete Papa Wemba yolele Extra music- Shalai Extra music- Losambo General defao- Famile kikute Kanda bongoman- Elisabeth
  18. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Mika Mwamba alitendea haki beat kwenye hizi nyimbo

    Niko na JBL nasikiliza hizi nyimbo mbili ya kwanza ni dknob elimu mitaani aliitoa mwaka 2003 na hardman tamala ya mwaka 2004, hata baada ya miaka 100 hizi beat haziwez chuja, nyimbo hizi mbili zimenikumbusha mbali sana aisee asikuambie mtu Music is medicine na ukizingatia na huu ukimya wa usiku...
  19. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Nyimbo zote za Franco Lwambo & T.P.O.K jazz

    Inasemekana nguli wa muziki wa Rhumba Francois Lwambo Makiadi aliachia zaidi ya nyimbo 1000 akishirikiana na bend Yake ya Tout Puisant Ochestra Kinshasha ( T.P.O.K). Kusema ukweli wengi wengi tunazifahamu nyimbo chache sana kutoka kwa Franco na ndiyo maana nimeufungua huu uzi ili tusaidiane...
  20. Pettymagambo

    JamiiForums Tanzania Nisaidie nyimbo kutoka Album ya mwaka 1995 ya Captain Komba na bendi yake

    Salaam wazee wa kambi. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, japo nilikua mdogo ila baadhi ya maneno katika nyimbo hizo nayakumbuka. 1. Muongo mbeya anauaa 2. Nyumba ya jirani yetu inateketea moto twende tukazime 3. Shime shime jaman, shimeshime kuomba tukazanee kuomba 4. Nakazi halina aibuu...
Back
Top Bottom