nyimbo

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini huwa Sichoki Kusikiliza Nyimbo hizi Tamu mbili za Wenge Musica BCBG yake JB Mpiana?

    1. Liberation 2. Serge Palmi Kama Wewe ni Mpenzi wa Miziki ya Congo DR hasa Bendi yangu pendwa na tukuka ya Wenge Musica BCBG yake JB Mpiana na hujazisikiliza hizi Nyimbo Mbili Tamu katika Album ya TITANIC basi una bahati mbaya na hupaswi kuwa Mdau wa Congolese Music. Na Utamu zaidi wa hizi...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za kupinga kuuzwa bandari katika mabasi

    Mwana JF hapo ulipo na familia yako mnaweza kuitikia huo wimbo. Hata kama ni bar mnakula bata ambia DJ apige song
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za Burna Boy hazina Mvuto lakini eti ndio anafunika Afrika nzima

    Najiulizi huyu mwamba ana trend Africa nzima na nje ya Africa anapagawisha sana watu, mimi nimejaribu kusikiliza nyimbo zake naona hata hazina mvuto kabisa lakini amepanda kuwa ndiye Giant kuliko wote. Nikiangalia nyimbo za Bugati - let me see ololo , who is ur guy na ile ya I wanna see with...
  4. Dr Restart

    JamiiForums Tanzania Injili: Nyimbo za Papii Clever, Dorcas pamoja na Merci Pianist zinanibariki sana

    Amani iwe juu yenu wana wa Mungu. Nina miezi kama mitatu sasa, nyimbo za wahusika zimekuwa zikijirudia katika orodha ya nyimbo ninazosikiliza mara nyingi. Papi Clever na Dorcas ni wanandoa, Merci Pianist ni mtaalam wa kupiga kinanda kwa kiwango kikubwa sana. Mimi ni muumini wa nyimbo za...
  5. Ma mbwa

    JamiiForums Tanzania Naombeni nyimbo za worship za live iwe ya Tanzania,south africa na nigeria

    Wakuu naombeni nyimbo za kuabudu za live ziwe za Tanzania, south africa, nigeria na congo kwa mbaali mfano hawa Neema gospel choir na wimbo wao wa wema umenivutia kidgo kutazama.
  6. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania Toka Bongo Fleva ianzishwe hakuna mwanamziki wa kike mwenye sauti ya kuvutia, kipaji cha kutunga na kuimba kwa hisia kama Lady Jaydee

    Binafsi nimekuwa mfuatiliaji wa nyimbo za bongo fleva haswa kwa upande wa R&B, na nimejiridhisha kwamba toka uanzishwaji wake ulipoanzia miaka zaidi ya 25 iliyopita, hadi leo hii hakuna msanii wa kike mwenye kipaji cha uimbaji, utungaji na ufikishaji ujumbe maridhawa wa nyimbo zake kama Lady...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nani Ameanza kumwandikia nyimbo Alikiba hivi karibuni?

    Ningependa kufahamu anaye mwandikia Ali mashairi siku hizi. Kwani Toka Ngoma ya UTU to the latest songs ie mahaba and on fire it seems mwandishi ni mmoja kabisa. Kusema kweli mashairi ya kwenye hizi nyimbo yamepangiliwa na kupangika kwelikweli. Ndiyo maana nyimbo zake hizi latest vijana...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nina Milioni moja: Shindano Nyimbo za Hamasa Katiba Mpya kwa wasanii chipukizi na Kongwe

    Mimi kama Mtanzania Mzalendo ninayependa Nchi yangu hii inayoongozwa na Mh Dr Rais Samia kwa sasa najitolea 1M cash kama mkulima tu wa mahindi hapa Dumila. Nawiwa kufanya hivyo ili kuvuta attention na hamasa kwa wananchi kuhusu ujio wa Katiba Mpya. Kwa kutambua umuhimu wa jambo lenyewe madai...
  9. JF Member

    JamiiForums Tanzania Nasikiliza Nyimbo za Harmonize na Zuchu (Wakiimba kazi za Magufuli)

    Nimesikiliza hizi za Harmonize (Kwangalu ya Magufuli) na Zuchu (Tanzania ya Sasa Mama) ni nyimbo za karne. Naamini kabisa vizazi vijavyo vitamuenzi sana Magufuli kuliko hata sasa. Mwamba anatikisa Dunia sasa hata baada ya kufariki.
  10. O

    JamiiForums Tanzania Rayvanny Anazidi Kutisha Na Nyimbo Yake Mpya inayoitwa Mtamu

    Raymond Shaban Mwakyusa, anayetambulika kwa jina la kisanii Rayvanny , ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, na msanii wa kurekodi mahiri kutoka Tanzania. Akiwa msanii, amepata mafanikio na kutambulika chini ya lebo maarufu ya WCB Wasafi. Hivi majuzi, Rayvanny alitoa video ya muziki ya kuvutia ya...
  11. Gentlemen_

    JamiiForums Tanzania Usanii na Akili nyingi aliyotumia Prof Jay katika Wimbo wa Bongo Dar es Salaam

    Huu wimbo uliachiliwa Mwaka 2001, katika albam yake ya Machozi, Jasho na Damu. Nitachambua na kuunganisha na Matukio ya sasa ambayo enzi hizo yalikuwepo ila baadhi ya watu wanayafanya kama ni mambo mapya... na uzuri huyu PROFESA Alichimba ndani sana.. 1- Ushoga 2- Umalaya na Kuuza Miili 3-...
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu Manzi kila nikikutana naye Guest ananiwekea Nyimbo za kwaya na Injili. Nimechoka sasa!

    Hii sijui niiteje au Ndio Wokovu unanifata fata kila niendako. Je nikubali mwito wa wokovu au nikaze fuvu? Huyu manzi mama nilivyosema nikifika naye tu ndani kwa ajili ya mnyanduano basi utasikia ameweka kwenye simu yake nyimbo za Injili mara kwaya. Na mimi najifanya kama sisikiii naendelea...
  13. Superbug

    JamiiForums Tanzania Uzi wa nyimbo zilizotuvutia majeshini na kwenye scouts wakati wa mafunzo

    Nyimbo tulizojufunza majeshini mafunzoni na kwenye mchakamchaka. 1. Baku babakubaba siitikii. 2. Inkalankala inka. 3. Nasoro unantafuta. 4. Impiizaaa. Ongezea nyingine
  14. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je, ni halali sehemu za starehe Ma DJs kupiga nyimbo za hovy na mbaya watakavyo kisa wameweka ratiba mziki wenye vybez upigwe saa7;usiku na kuendelea?

    Tanzania ni nchi pekee ambayo mtoa huduma ni boss kwa mteja, na maboss wamiliki hawajali chochote kuhusu wateja. Arusha wako vizuri hapa hawasiki nawakubali 🙏🙏🙏 Mimi mpambanaji, mjasiliamali, niliejipambanua kutafuta pesa Kama kipaumbele changu kwa mawanda mapama kwa sekta mseyo, ambaye...
  15. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Naomba nyimbo yako bora kutoka kwa huyu mwamba msomi, legendary

    Mwamba huyo ni koffi olomide. Yoyote moja itutulize na sisi great thinkers
  16. W

    JamiiForums Tanzania Sitaki kuwa mnafiki, kabla ya kuisikia hii 'Mahaba' ya AliKiba nilijua mziki mzuri umeisha

    Kijana ni fundi, nimeacha ubishi......case closed! Nikisema tofauti nafsi yangu itanisuta. 'Asili ya jambo lile, kama chakula lazima nile'....ujumbe umefikishwa kikubwa kabisa hapa, watoto hata wakiwa macho haina shida kwani hawawezi kuelewa chochote kile. Alichokera ni ufupi wa wimbo tu, kwa...
  17. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Nyimbo zako bora ni zipi za Kwaresma?

    Morng Africa. Mimi ninyimbo zangu bora kabisa ni hizi 1) Moyo wangu umekuambia 2) Nalisema nitayakili maasi yangu kwa bwana 3) Fahari yetu ni msalaba 4) Ikatoka damu ikatoka maji pia 5) Mama pale msalabani 6) Utambi mchafu wa moshi mzito 7) Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu Je, wewe zako zipi
  18. B

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za Tanzania zatumika kuhamasisha maandamano Kenya

    Hii ni katika maandamano yaliyopigwa marufuku na serikali ya Ruto leo. Katikati ya Nyomi hilo Kibra Nairobi, ni Raila Amolo Odinga (Baba) akiwa kazini. Kwa hakika hakuna mwingine kama yeye: Nyuma ya shughuli ni goma zito kutokea Tanzania, "hakuna kama yeye." Kweli kwenye miti hakuna wajenzi...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Kati ya Harmonize na Diamond nani ana nyimbo nyingi in total?

    Kupima ukubwa wa mtu ni lazma kujua ana nyimbo ngapi ametoa Toka ameanza Kuimba muziki, msaniii harmonize amerelease nyimbo 127 Toka ameanza Kuimba, na hii idadi amemuacha diamond mbali sana ambaye hata nyimbo 100 hafikishi, pia harmonize amefanya kolabo nyingi zaidi ya diamond, na pia ana album...
  20. mtetezi wa MAGU

    JamiiForums Tanzania Wimbo huu wa kumuenzi Magufuli unapaswa kupewa TUZO

    Katika kuadhimisha miaka miwili ya kifo chake vijana wapo wanaokumbuka mazuri yake lakini pia wapo wanaokumbuka mabaya yake, nyimbo hii ni moja ya nyimbo inayokumbusha mmoja wa upande wake.Chukua mda wako kutazama.
Back
Top Bottom