nyeusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rambo nyeusi zimetoweka zimekuja rambo za blue 😌

    Wana JF , Ninaandika kwa wino wa masikitiko kuhusu hii mifuko ya nylon (plastick) kwa sasa inajulikana kama vifungashio . Baraza la Usimamizi wa Mazingira (NEMC)wamefeli kabisa kulinda mazingira kwa kuruhusu vifuko hivyo kuendelea kutumika kwa kiwango kile kile cha rambo nyeusi "vifuko laini"...
  2. Ngozi nyeusi akishapata pesa kinachofatia ni kutesa wenzake kwa zamu

  3. Ila jamani crown nyeusi ni bonge la gari, inavutia kweli

    CLASS AND ELEGANCE
  4. Kuna watu wana tabia nyeusi, akiwa jirani yako unatamani kuhama umpishe

    Kuna mtu kahamia jirani nyumba ya pili, ana wiki ya 3 tu tangu ahamie ila nishajutia ujio wake kwa tabia zake, sijui katoka wapi huyu mtu jamani natamani hata kuhama nimpishe maana kumhamisha siwezi. Ana tabia nyeusi sana, hata sijui niziitaje maana anaongea lugha ya matusi sijapa kuona huyu...
  5. Watu wenye fizi za rangi nyeusi wana roho mbaya

    Watu wa zamani walikuwa na uwezo wa kuusoma miwili wa mwanadamu kama walivyo weza kusoma hali ya hewa ya nchi na tabia nchi kwa ujumla. Mfano (hii nina uhakika mayo kwa asilimia mia kwa sababu nimei-experience) wanawake wanaotoka jasho kwenye pua huwa wana mapenzi na upendo wa ukweli ni...
  6. Ni wapi naweza kununua Dye ya kurudisha (refurbish) rangi za nguo?

    Dye ni unga au maji maji ambayo hutumika kubadili rangi, tuliyoizoea wengi ni ya nywele inaitwa picco, pia huwa kuna dye maalum kwajili ya nguo ambayo hutumika kurejesha rangi ya nguo hasa hizi jeans na cardets. Ni wapi naweza kuipata?
  7. W

    Kwanini kila mtu anaikimbia rangi nyeusi? Kuna siri gani?

    Leo nimesikia kuwa na Wamisri wamegomea movie inayomzungumzia Cleopatra kama mwanamke mweusi. Kuna mifano mingi tu ya kusema hapa ni jinsi gani weusi unachukiwa, tunachukiwa. Tatizo nini haswa? Kuna siri gani? Ni huu huu ukosefu wetu wa maarifa au kuna jingine?
  8. Simba SC izuieni upesi hiyo Alphard nyeusi inayokuja Kambini na Mdau wa Simba SC ina Watu wabaya Kwetu

    Uongozi wa Simba SC pitieni sana hapa Jamiiforums na muwe mnanisikiliza mno Mimi GENTAMYCINE sawa? Nawapambania kuliko hata hao Wanafiki baadhi walioko Kambini kwa sasa. Haya GENTAMYCINE naamuru haraka sana hiyo Gari aina ya Alphard Nyeusi iishie nje na isiingie Kambini ina Mtu Kirusi na...
  9. Mungu tupe akili sana sana sisi ngozi nyeusi

    Habari JF Wanadamu ni wanafiki sana tena pengine nahisi wengi tunafanya mambo hayo ya kipumbavu kwa mihemko na kufwata mkumbo kibaya zaidi kwa mfano una darasa lina wanafunzi 40 wachukue hao wanafunzi uwagawe katika makundi mawili kundi A na kundi B bila kujali dini zao wala kabila zao alafu...
  10. Drone ya Marekani yaaangushwa na ndege vita ya Urusi huko Bahari Nyeusi

    Jeshi la Marekani limethibitisha ndege yao isiyo na ruban (Drone) imeangushwa kwa kugongwa na ndege vita ya Urusi katika Bahari Nyeusi ambako Jeshi la Marekan wanasema drone yao ilikuwa katika eneo la kimataifa!. Ata hivo mjadala umeibuka kuwa drone ilienda kutafuta nini Bahari Nyeusi ambako...
  11. Dah leo imani imetoweka, hakika jezi nyeusi ilikuwa inaleta imani na kujiamini hadi kwetu mashabiki

    Mechi ya leo sina imani nayo kabisa, kila nikitafakari naona ni kipigo tu mbele. Kubadilisha rangi ya jezi yenye bahati kwa timu ya Yanga leo tutapata ujira wetu kwa mwarabu. Japo jezi hajichezi ila bahati kwenye mpira upo. Unaweza kucheza vizuri mno na ukakosa matokeo kwasababu bahati haipo...
  12. Eti tukitumia rangi tofauti na nyeupe au nyeusi tunakaziaje?

    Waswahili tuna kawaida ya kukazia maneno, hasa kwenye rangi kama ikiwa rangi moja Mfano Nyeupe... Pee!! Nyeusi... Tii!! Sasa je rangi kama Nyekundu???? Njano??? Blue nk. Tunakaziaje?
  13. Jumanne nyeusi kwa Rais Samia inakuja

    ANGUKO LA UCHUMI KWA TAIFA LA MAREKANI (1929~1933) Aliyeitwa Herbert hoover aliyekuwa na miezi nane tu kwenye uongozi wake kutokana na kutokujuwa vema nini maana ya urais wa marekani uchumi ukaanguka, siku ambayo wao waliyoitaja kama jumanne nyeusi hali ilikuwa mbaya zaidi 0.75 walipoteza...
  14. Ajenda za ufeminia, mapenzi ya jinsia moja, kulazimisha uwepo wa watu weusi, kumenipunguzia hamu ya kuangalia filamu/tamthilia za kisasa za Marekani

    Feminism – hawa feminists ajenda yao ni kutumia nguvu kubwa kuproove kwamba wanawake wapo sawa na wanaume na wanawake inabidi wapewe kipaumbele, huko Hollywood ndio wameona iwe sehemu ya kupush ajenda zao. Mfano kwenye muvi ya Wakanda kutoka Marvels iliyotuwakilisha vema waafrika wameona ndio...
  15. Jezi nyeusi ya Yanga ni tofauti na zile za Azam na Mbeya city

    Mbeya city walivaa jezi nyeusi dhidi ya prisons wakanyooshwa, na Azam walivaa jezi nyeusi dhidi ya Yanga wakanyukwa. Jezi nyeusi ya Yanga sio TU ni nyeusi bali Ina majina ya watu wao muhimu sana. Sio weusi unaofanyakazi bali zile signatures za watu muhimu, legends. Vinginevyo utapata mkosi kama...
  16. Hakika Yanga SC 'mmetuumbua' leo kwa vitendo tuliyojua jezi zenu nyeusi ndiyo zenye bahati kwenu

    Nilivyovigundua kwa Yanga SC na kunifanya leo nizike rasmi Imani ya kwanini Jezi Nyeusi zilikuwa zinatumika hadi Kuhisi labda .ni imani za Kiuswahili / Ushirikina ni vifuatavyo.... 1. Yanga SC inacheza Kiupambanaji hasa Spirit ambayo unaweza Kuitafuta kwa Tochi katika Vilabu Vingine. 2. Kocha...
  17. M

    Pamoja na kung'ang'ana kuvaa jezi nyeusi wakiamini ndio ushindi lamba lamba wamepasuka

    Kuna kaujinga fulani kanaenezwa na wajingawajinga fulani hivi kuwa yanga akivaa jezi nyeusi ndio anashinda na asipovaa basi ashindi. Azam leo wamekataa katakata kuvaa jezi zao za nyumbani wakavaa jezi za ugenini wakiamini yanga inapata magoli kupitia jezi nyeusi ni upuuzi wa hali ya juu kabisa...
  18. Yanga SC msipovaa jezi nyeusi Jumapili mnafungwa

    Hakuna kitu kibaya kama imani, yanga wamejiaminusha kuwa jezi nyeusi ndio yenye bahati kwao. Sasa kimbembe ni jumapili dhidi ya Azam fc, Azam wanasema watavaa jezi nyeusi, ikumbukwe mwenyeji wa mchezo yeye ndio huchagua atavaa jezi gani. Ngoja tuone hii vita ya jezi itaishia wapi, ila yanga...
  19. C

    Namungo FC: Tutavaa Jezi Nyeusi Jumatano Wageni wavae Njano au Kijani la sivyo watulipe Tsh Milioni 200 wavae zao Nyeusi

    Katika kuonyesha kuwa Klabu ya Namungo inaelewa Mchezo mzima wa Jezi Nyeusi za Timu Moja nayo imeweka wazi kuwa Jumatano itavaa Jezi zao Nyeusi na kama kuna Timu inataka Kuvaa Jezi Nyeusi za Mganga wao wa Kienyeji basi wawalipe Tsh Milioni 200. Hata hivyo mpaka Mleta Uzi anaenda Mitamboni bado...
  20. Tukiwatoa wasanii 10 wenye mafanikio kimziki, waliobaki wengi huishi kwa misaada ya familia, kupewa ofa, mashuga mami, kudanga na kupiga dili nyeusi

    Na huo ndio ukweli, tukiwatoa wasanii wale 10 wenye mafanikio ni wachache sana waliobaki kama kina shilole mwenye shishi food na young dee mwenye kibaa chake wanaweza kujitegemea kiuchumi. Wasanii wengi huishi kwa misaada ya familia, ofa, kulelewa na mashuga mami, kudanga mapedeshee na mishe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…