Kwa sasa meli zinazopita red sea ni zile zinazotoka bahari nyeusi kwa warusi na zinazoelekea Iran pekee

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,736
12,059
Njia mashuhuri ya meli za kibiashara ya Suez Canal kutokea red sea ni kama kwamba imefungwa kutokana na mashambulio ya Houth.

Meli peke zinazopita bila wasi wasi ni zile zinazotoka ama kuelekea Iran.Nyengine ni zile zinazotoka ama kwenda bahari nyeusi ambako ndiko ziliko bandari kubwa za kusafirisha nafaka za Urusi.

Msafirishaji mmoja wa nafaka ameweka wazi kuwa mmiliki yeyote anayependa kupitisha meli zako hapo hajakatazwa na akipenda anapangiwa njia hiyo.Hata hivyo akasema wengi wao wameamua kupita njia ya mbali na ya gharama kuizunguka Afrika.

Msafirishaji huyo akaongeza kwa kusema mashambulizi ya nchi washirika hayajaweza kuwazuia wanamgambo wa Houth kuzifurusha meli na vile vile hakuna ulinzi wa kuaminika unaowapa matumanini wenye meli kupita eneo hilo.

Only grain ships from Black Sea and for Iran still crossing Red Sea, analysts say

USA anadhani nguvu za kijeshi ndo kila kitu

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Ubabe bila akili hauna faida yoyote
Kumbe kombora moja la Houth linagharimu dola elfu mbili (2,000) tu.Marekani inatumia kombora la dola milioni mbili (2,000,000) kudondosha vikombora hivyo vya bei nafuu.
Ndio maana Marekani imekuwa kimya kidogo huku wakijitathmini.
 
hv USA akiamua anashindwa ivuruga hiyo YEMEN kwa siku 5 tu ?
 
Nia yake ndio hiyo hiyo lakini hajafanikiwa.
Amepiga sana lakini asubuhi ikiingia Houth hao...
Kombora moja la Marekani lina thamani ya dola milioni 2 linatumika kuangusha kikombora cha Houth chenye thamani ya dola 2000 tu.
 
hv USA akiamua anashindwa ivuruga hiyo YEMEN kwa siku 5 tu ?
Na lengo hasa ni kumuingiza kwenye hiyo Vita. Hata Kama atashinda lakini na yeye tayari atakuwa ana ngeo.
Na yeye kashtuka kwamba watu wanatamani aingie vitani ili mpinzani wake apewe silaha
 
Back
Top Bottom