nyerere

  1. Je, wakulima wamejipanga vipi kunufaika na kilimo cha umwagiliaji baada ya bwawa la Nyerere kukamilika?

    Katika siku za usoni, chakula kitakuja kuwa ndio nyenzo muhimu ya nguvu la taifa husika, taifa lenye chakula cha kutosha na cha uhakika ndilo litakuwa na sauti nguvu ya maamuzi. Kwamba atakaeleta ubishi basi ananyimwa chakula, na hapo hapo anarudi kwenye mstari. Sasa basi, kwakuwa changamoto...
  2. Kuna wanaomlinganisha Magufuli na Mwalimu Nyerere?

  3. J

    Visa alivyo kutana navyo mwalimu Nyerere Part 2

    Tunaendelea wanajamvi! Basi, Mwaka mmoja Nyerere alikuwa anatoka India aliko kwenda kikazi kuzungumza na aliye kuwa Waziri mkuu wa Nchi hiyo na Mwenyekiti wa non aligned countries.wakati anarudi alitua kwa muda Jomo Kenyatta international airport. Waandishi wa Habari walipo fahamishwa kuwa...
  4. J

    Mwalimu Nyerere na visa alivyokutana navyo

    Morning friends! Basi, mwaka mmoja Mwalimu alifanya ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Mtwara. Jioni ya siku ya kwanza baada ya shughuli za mchana kutwa akarudi kupumzika pale Shangani, Ikulu ndogo. Akiwa chumbani kwake akashangaa kuona binti maridadi sana anapanga panga vitu. Mara arekebishe...
  5. Kwakuwa Nyerere hatunaye nawaomba Wazee waliobaki akina Mwinyi, Mkapa na Kikwete wanisaidie kunijibu hapa!

    Je, na Wao nyakati zao Majirani zetu Wapendwa walikuwa wakiwachoka au labda wakiwaona hawaeleweki au wakionekana ni Wabishi, Viburi, Jeuri, wenye Dharau na Wakorofi kiasi kwamba labda na Wao kuna muda walijukuta wanafungiwa mipaka na hata wakitengwa katika Mambo ya Ustawi na Maendeleo? Sina...
  6. Sanamu ya Mwl. Nyerere kujengwa katika Makao makuu ya Umoja wa Afrika, Ethiopia

    Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inaratibu ujenzi wa Sanamu ya Mwalimu Julius Kamabarage Nyerere katika viwanja vya jengo la Amani na Ulinzi la Julius Nyerere lililopo katika Makao Makuu ya Umoja wa...
  7. B

    Nyerere, Magufuli hata vikwazo walivyopitia vimeshabihiana

    KATIKA awamu ya kwanza ya uongozi wa Rais Dk. John Magufuli, kuna mambo mengi yamejiri ikiwamo dhana kwamba kiongozi huyo anafanana na Rais wa awamu ya kwanza, Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere. Mfanano unaoaminika kujikita kwenye uwajibikaji wao kwa lengo la kuliletea taifa...
  8. Nyerere ndiye anayepaswa kubebeshwa mzigo wa lawama juu ya mfumo mbovu hapa nchini

    Nyerere aliyeitawala Tanzania miaka hishirini na ushehe. Wananchi wa wakati wake walikuwa na uelewa mdogo wa mambo mbalimbali ikapelekea kumkubali sana huyu mtu. Alikuwa na uwezo wa kubadili katiba ya nchi hii na kutupatia katiba yenye kuyapa majimbo, mikoa au wilaya mamlaka kamili. Mfano...
  9. Kwanini ujenzi wa bwawa la umeme la Nyerere ni muhimu?

    KWANINI MRADI WA UZALISHAJI UMEME WA MAJI BWAWA LA NYERERE MTO RUFIJI NI MUHIMU? Mradi huu unatarajia kuzalisha megawati 2,115 za umeme hatua ambayo inaelezwa kwamba itasaidia kupunguza tatizo la nishati hiyo muhimu kiuchumi na kijamii hapa nchini. Wasomi wanaeleza kukamilika kwa mradi huu...
  10. Nyerere angetuvusha kipindi kama hiki bila shida

    Najua ukweli unauma lakini lazima tuseme hata kama inauma mwaka 1978 kulitokea vita ambayo ilileta madhara makubwa kwa taifa kipindi hicho baada ya vita kulitokea hali mbaya sana kiuchumi na njaa kali ila mwalimu hakukimbia, hakukata tamaa alikuwa mtu wa watu hakuona aibu alienda nje na kuomba...
  11. Kwanini Mwalimu Nyerere hakujenga hospitali ya mkoa wa Mara? Ujenzi ulisimama kwa miaka 40 na sasa kukamilika mwaka huu!

    Kuna mambo ambayo serikali imekuwa ikiyafanya nchi hii yanashangaza sana. Mchoro wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mara ya kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere yaani Kwangwa ulibuniwa mwaka 1975 na baadae mwaka 1977 ujenzi ulianza. Baadae mwaka huo wa 77 ujenzi wa hospitali hii iliyoko Musoma...
  12. Serikali ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete hazikupika takwimu za uongo za viwanda

    Wachumi na wanahistoria naomba mnisaidie Serikali za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Jakaya hazikufanya udanganyifu wa takwimu za uwepo wa viwanda vipya Tanzania. Naamini hata Serikali ya awamu ya tano haiwezi fanya kosa Kama Hilo la kupika data za kiuchumi. Hivyo wanavyosema ndani ya miaka minne...
  13. Kwanini Mwl. Nyerere alishindwa kuhamia Dodoma?

    Wazo la kuhamahamishia serikali Dodoma lilikuwa la Mwl. Nyerere wakati ya awamu ya kwanza. Lakini hata baada ya kuliongoza taifa kwa muda mrefu alishindwa kuitekeleza mdoto yake ya kuhamia Dodoma. Ndoto ya kuhamia Dodoma pia haikutimia kwenye awamu zingine 3 (miaka 30) zilizofuata na...
  14. J

    Furaha ya kutoka jela: Nyerere alimpokelea Nelson Mandela Ikulu wakati akiwa ameshastaafu na Rais Mwinyi akiwa safarini

    Najikumbusha tu namna watu mbalimbali wanavyowapokea wapendwa wao wanapotoka jela. Nelson Mandela alipotoka jela alipozuru Tanzania alipokelewa kwa furaha na Rais mstaafu mwalimu Nyerere pale Ikulu ya Magogoni. Na ninakumbuka Rais wa wakati huo mzee wetu Mwinyi alikuwa safarini. Furaha ya...
  15. S

    Viongozi wa Chadema msikate tamaa; hata Nyerere, Mandela nk walihukumiwa kwenda jela na serikali zilizokuwa madarakani - na leo tunajua haikuwa halali

    Historia ina mambo ya ajabu sana. Binafsi huwezi kunishawishi hata chembe kwamba kweli viongozi wa Chadema walifanya makosa, na hata kama kuna chembe ya makosa katika mambo waliyoshitakiwa, walistahili adhabu walizopewa. Ninaamini kwa dhati kwamba adhabu walizopewa, kama hazina maagizo kutoka...
  16. A

    Julius K. Nyerere: Ikulu ni pahali patakatifu, sio pango la wanyang'anyi

    "Mimi sikuchaguliwa na watanzania ili niifanye Ikulu kuwa Pango la wanyanganyi" Pili naomba tujadili hali ya ikulu yetu, je ni pango la wanyanganyi au ni mahali patakatifu?
  17. N

    Steve Nyerere kasema kwa sasa CCM Hainunui TENA wapinzani

    Kada marufu n ategemeo tena genius ndani ya ccm bwana steve mengele katoa kali ya mwaka,soma mwenyewe uone,eti sasa hivi hawanunui tena wapinzani ina maana mashinji hajapewa hata ka sh kumi?madalali kina mzee kijana watakubali kweli?maana mradi mnono ule ati? Yaani hata madiwani wa mbeye...
  18. Kufukuzwa Membe CCM: Hakika siasa ni Mchezo kama ilivyo Karata na Draft

    Wanabodi Salaam. Ikiwa taarifa za kufukuzwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu. Bernard Camilius Membe zikiwa bado zinatikisa mimbari ya siasa Tanzania, nimejikuta ninakumbuka matukio machache kabla ya uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2015. Ikumbukwe wakati ule mgombea aliekuwa anapewa nafasi...
  19. Diamond alivyo tumia mbinu za Yericko Nyerere kuiua " Hujanikomoa " ya Konde Boy

    Kitabu cha Ujajusi wa Kiuchumi na Kidola cha Yericko Nyerere hakiyahusu mataifa Tu . Hata watu binafsi, makampuni etc wanaweza kutumia mbinu hizo. Moja Kati ya mbinu anazo zielezea Bwana Yericko kwenye kitabu chake ni pamoja na namna ya kupambana na kumdhoofisha mshindani wako kibiashara...
  20. J

    Nyerere alisema upinzani wa kweli utatoka CCM. Mrema, Sumaye na Lowassa wameshindwa. Je, kuna mwingine?

    Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa Upinzani wa kweli na mpinzani wa kweli atatoka ndani ya CCM na kwamba bila CCM madhubuti nchi yetu itayumba. Alikuwepo Lyatonga Mrema, akaja Lowassa na Sumaye lakini upinzani bado ni shaghala bagala yaani tia maji tia maji. Hivi hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…