nyerere

  1. U

    The Mwalimu Nyerere Memorial College kina ubora gani wandugu?

    Ndugu wanajamvi salam kwenu nyote. Jamani nina kijana wangu wa kike amemaliza four mwaka jana na kupata div 4. Katika kihangaika kutafuta pahala pa kumpeka kuna jamaa yangu kanielekeza hapo Nyerere memorial. Kweli nimeperuzi nikaona anazo sifa za kupata cource pale na nimependa aanze na basic...
  2. Nyerere alivyojibu maswali ya Eleanor Roosevelt (First lady) wa Marekani mwaka 1959

    Sikiliza mzee wa nondo alivyokuwa akizimwaga mbele kujibu mashambulizi kutoka pande nne. Ikumbukwe kuwa Eleanor Roosevelkt ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya umoja wa mataifa iliyodraft na kupitisha azimio la haki za binadamu. Katika maongezi hayo ameongelea pia maoni yake kuhusu swala la...
  3. Viwanja vya maonyesho ya biashara sabasaba vya Mwalimu Nyerere, visiwekewe sanamu la Magufuli, ni kuchanganya Magufuli na Nyerere

    Viwanja vinaitwa vya mwalimu Nyerere, kwa nini unaweka sanamu Magufuli. Magufuli atafutiwe viwanja vingine huko Nanenane Mbeya au Dodoma. Hivyo viwanja vya sabasaba vibaki kwa jina la Kambarage. Viwanja hivyo ni vya wafanyabiashara, hawa watu wameumizwa sana na Magufuli , sanamu hili kuwekwa...
  4. Kusema hatujawahi kuwa na Rais mwenye msimamo tangu enzi za Mwalimu Nyerere, ni kudhalilisha viongozi

    Rais anashauriwa vibaya. Tumekuwa tukiwatetea Marais wetu wapendwa kwa kauli hii. Unajiuliza yeye Rais hana akili? Yaaani leo hii nije kukushauri ukajisaidie hadharani itaonesha kuwa wewe ni mtu wa watu huchagui au huna majidai. Nawe unaenda? Wewe si huna akili sasa? Hii kauli ilishika kasi...
  5. N

    Nani anastahili kujengewa sanamu ya kumbukumbu kati ya Mzee Nyerere na Magufuli?

    Nyerere aliongoza mapambano ya kudai Uhuru toka kwa wakoloni. Kama ingelikuwa ni ujenzi wa ghorofa nasi Uhuru ni sawa msingi (foundation) Alijenga umoja wa kitaifa. "Reli ya Tazara" "Mabwawa ya Kidatu na Mtera, nk." Marais wote waliofuata baada ya Hayati Nyerere walijenga nchi juu ya msingi...
  6. Marais Wastaafu, Mawaziri Wakuu wastaafu watembelea Bwawa la Nyerere la mto Rufiji

    Kwa kutambua umuhimu wa mradi wa kufua umeme wa Mto rufiji Marais wastaafu na mawaziri wakuu wastaafu wametembelea bwawa la kuzalisha umeme la NYERERE Hii ni hatua kubwa za kuenzi legacy ya JPM Ndio maana tunasema JPM rest in power === Viongozi wakuu wastaafu Rais Ali Hassan Mwinyi na Jakaya...
  7. Wakati Nyerere na Familia yake (Mke na Watoto wakishiriki vita ya Kagera miaka hiyo) Marais waliofuata wanashirikiana na familia zao kutufisadi

    Nimewaza sana. Katika marais waliofuata nani angeruhusu mkewe au mtoto wake ashiriki kwenye vita kwa njia moja au nyingine? Hamna. Wanashirikiana mke na watoto/ mtoto na baba yao kutuibia mali zetu Watanzania. Kuanzisha Makampuni na kutuingiza mikataba ya Kichifu Mangungo wa Msovero. Wananchi...
  8. P

    Mwl Nyerere aliambiwa kwanini wananchi wanamsukuma Mrema na gari yake Dar hadi Kibaha

    Enzi hizo watu walidhani Mwl Nyerere ataamuru majeshi. Akawambia waacheni wasukume gari la Mrema, wakichoka wataacha wenyewe. Hivyo upinzani muwaache waongee kwenye mikutano, wananchi watawachoka au watawaelewa. Hakuna haja yakutumia nguvu bila sababu, hata hiyo mikutano itakuwa ya Amani zaidi...
  9. Ukimuacha Nyerere, makosa ya Marais wetu ni ya makusudi kwa manufaa ya familia zao

    Watu hawa tumewadekeza sana na wanazidi kuwa wezi na mafisadi siku hadi siku. Mwinyi alikuwa na matatizo ya kuuza Loliondo bila aibu na maeneo ya wazi Dar yakachukuliwa. Mkapa akauza viwanda hovyo hovyo na kujiuzia yeye mwenyewe pia, akagawa Tanesco kwa Netgroup solutions ya SA, akagawa ATC kwa...
  10. Magufuli alifariki miezi 3 iliyopita lakini unaweza kudhani alifariki kabla ya Nyerere

    Juzi nilikuwa nimekaa sehemu kimya, nikakumbuka kifo cha Magufuli. Nikajiuliza hivi kafa lini? Nikagundua ni miezi 3 tu iliyopita. Nikashtuka, ashaanza kupotea kwenye kumbukumbu zangu zaidi hata ya Nyerere aliyefariki miaka 22 iliyopita.
  11. N

    Mtangazaji Juma Lokole amuombea Steve Nyerere cheo

    Anaitwa Juma lokole ni mtangazaji mwenye elimu ya darala la saba kwa wanaoojua tangu akianza michezo michafu akiwa mdogo sana huko sinza hawashangai sana issues zake, kijana huyo alikuwa analelelewa na bibi yake ambaye alipiga hadi akachoka ikabidi amuachie tu kijana aendelee na starehe yake...
  12. Nyumba ya Ahmed Adam Adam aliyofikia Nyerere, Mikindani 1956 kukarabatiwa

    NYUMBA YA AHMED ADAM ALIYOFIKIA JULIUS NYERERE MIKINDANI MWAKA WA 1956 WAKATI WA KUPIGANIA UHURU KUKARABATIWA NA SERIKALI Historia ya nyumba hii nimeileza katika kitabu cha Abdul Sykes. Naweka hapa yale niliyoandika kuhusu nyumba hii: "Julius Nyerere, Ali Mwinyi Tambwe na Rajabu Diwani...
  13. S

    Yericko Nyerere, tweet yako inaweza kukuletea shida kwanini ina tuhuma nzito kwa muhusika

    Nimeona umeandika ujumbe katika mtandao wa twitter huku ukimshushia tuhuma nzito yule RC wa zamani mwenye kashifa nyingi pengine kuliko wote. Wasiwasi wangu ni wahusika kukuhitaji wakitaka utoe ushahidi wa tuhuma ulizotoa ingawa si mpya kwani ni wengi wanamtuhumu ila wewe umekwenda mbali kwa...
  14. Kwanini Marais Nyerere, Mwinyi na Mkapa walikuwa hawakohoi Wakihutubia, kama ilivyo kwa Marais Kikwete, Magufuli na Samia?

    Wenye Dawa ya Kunisaidia GENTAMYCINE niache Kudadisi sana mambo Magumu, Mazito na ya Siri ( ndani kabisa ) nipeni tafadhali. Nimeangalia Hotuba za Marais Nyerere, Mwinyi na Mkapa sijawahi kuona popote walipokuwa ' Wakihutubia ' walipatwa na Changamoto ya ' Kukohoa ' hata kidogo tu. Nimeangalia...
  15. B

    Bhoke Nyerere ni mtoto wa nani kwenye familia ya Hayati Baba wa Taifa?

    Mjukuu anayeambatana na Mama wa Taifa kwenda kutoa pole kwa Mama Janeth Magufulu yamkini ni mjukuu mwenye malezi na makuzi Kama ya mama wa Taifa. Namzungumzia Bhoke Nyerere aliyeambatana na Mama Maria Nyerere kwenda kwenye familia ya Mama Janeth Magufuli kumkabidhi zawaidi ya kitenge lakini pia...
  16. M

    Makongoro Nyerere jifunze kutoka kwa Chalamila, punguza Masihara

    Brother Mako Najua wewe ni mtu wa masihara na utani utani mwiiingi. Utani hoye! Najua wewe ndivyo ulivyo toka long time kitambo. Ila nataka nikueleze kitu, Kuwa makini sana na utani wako usifikie hatua ya kuharibu haiba na taswira ya taasisi ya Urais au rais mwenyewe!. Namaanisha ukimtaja...
  17. Je, CCM aliyoiacha mwlimu Nyerere itarudi tena?

    Ni swali gumu sana kwa kipindi hiki kupata majibu. Wakati wa Mwalimu Ccm ilikuwa ni chama ya watu. Wapenda binadamu wenzao. Wenye uchungu na taifa lao. Hawakubagua watanzania kwa elimu, ukabila au umaarufu. Ccm ya mwalimu ilikuwa makini maana ilijua wazi kiongozi ni mtu mwenye madaraka katika...
  18. T

    Kwanini kumbukizi ni Hayati Sokoine, Nyerere na Karume tu?

    Ni swali limenijia kuhusu haya matukio ya kumbukizi ya viongozi wetu waliotangulia mbele za haki. Ni vigezo gani hutumika kufanya kiongozi afanyiwe kumbukizi annually? Je, ni Sokoine, Nerere na Karume pekee wenye hivyo vigezo? Na iwapo viongozi wengi watakidhi hivyo vigezo si tutakuwa na...
  19. Kwa 'Uchawi' unaofanyika ambao ni wa 'Kufuru' Wajukuu wa Hayati Mandela watajuta kuwafahamu Wajukuu wa Hayati Nyerere kwa Mkapa Kesho

    Kuna Watu niliambiwa kuwa wakilitaka lao wanajua kulipata kwa 'Kuroga' vibaya tena kwa 'Kufuru' kabisa nikawa siamini, ila kwa nilichokiona na Kukisikia kuna Mtu aliwacheka Watu Kidharau akiwa ' Benchini ' huenda Kesho akanuna na hata Kulia hadi Kuzimia na hata Kufa pia. Wewe zitengwe Milioni...
  20. N

    Kwanini RC wa Manyara, Makongoro Nyerere alimpigia saluti ya kijeshi Rais wakati wa kiapo?

    Wakuu, naomba kuuliza kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Je ni mwanajeshi mstaafu ama mwandamizi? Nadhani wengi wetu hatufahamu. Makongoro Nyerere anakubalika sana na wananchi. Sisi wananchi tumefurahi Sana Mh. Rais wetu kuikumbuka familia ya baba wa Taifa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…