nyerere

  1. Watanzania tusipomshukuru Nyerere kwa hili tutapata laana

    Habari zenu wana JF wenzangu. Ama baada ya salam, ningependa nielekee kwenye mada husika. Ndugu watanzania na wana JF wenzangu, katika pita pita yangu ya kutafuta ugali wangu, nimefanikiwa kukutana na watu mbali mbali waliotoka katika nchi mbali mbali za Africa na nje ya Africa. Hakika...
  2. J

    Rais Samia ni kama Nyerere kimataifa

    RAIS SAMIA ANAMUENZI NYERERE KUREJESHA NAFASI YA TANZANIA KIMATAIFA- KAFULILA ==== Mkuu wa Mkoa Simiyu , Mhe David Kafulila amesema kuwa ziara za Mhe. Rais duniani mbali ya faida lukuki za kiuchumi ni za kimkakati kurejesha nafasi ya Tanzania kwenye jukwaa la kimataifa. Mhe Kafulila amesema...
  3. Biography ya Julius Nyerere

    BIOGRAPHY YA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE Ndugu zangu nimepokea ujumbe huo hapo chini: "Jana nilihudhuria Seminar juu ya Biography ya Mwalimu Nyerere pale Council Chamber Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam. Jina lako limetajwa miongoni mwa waliotoa mchango mkubwa wakati wa...
  4. Habib Halahala: Mwandishi wa habari wa Rais Nyerere na Rais Mwinyi aliyefariki kifo kibaya

    Habib Halahala alichaguliwa kuwa mwandishi wa habari na mpiga picha wa Rais Nyerere mwishoni mwa utawala wa Rais Nyerere kwenye miaka ya 1980. Ilipofika mwaka 1985, Mwl Nyerere aling'atuka ofisini kama Rais wa kwanza wa Tanzania mara baada ya takribani miongo miwili na robo madarakani. Habib...
  5. Seyschelles coup: the day Nyerere outwitted Kenyatta

    Kenya's coup conspiracy Monday, May 24, 2004 — updated on June 21, 2020 Mancham, a regular visitor to the Kenya waves Kanu's one-finger salute as he departed from Nairobi in 1972 to the amusement of Attorney General Charles Njonjo; Left, how the Daily Nation reported the coup attempt. Every...
  6. R

    Kebehi dhidi ya Nyerere na Magufuli, ni ishara Watanzania wana uelewa mdogo. Viongozi hawa wajengewe kumbukizi

    Habari, Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao. Swali ni kwamba kuna vijana huwa wana ajiriwa kwa shughuli hii chafu? Mwalimu Nyerere na Magufuli ni...
  7. Kivuli cha Hayati Mwalimu Nyerere kinawatisha

    Shida ya watanzania kupewa Katiba Mpya ni hofu ya kuuvunja Muungano wa Nyerere ambao kimsingi Muungano huo haupo kila Rais ajaye anaogopa kivuli cha Nyerere. Na kwa sababu hiyo Tanzania inarudishwa nyuma. Sikutegemea kama aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba naye angeona kuwa si wakati...
  8. Historia ya Ali Msham, mwalimu na mama Maria Nyerere Magomeni Mapipa 1954

    Katika historia za wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika lakini wamesahaulika historia ya Ali Msham ina sehemu ya pekee moyoni kwangu. Tafadhali isikilize historia yake:
  9. Airport ya kwa Mwalimu Nyerere Musoma imeshaanza kujengwa?

    Watu wa Musoma na Mara waliahidiwa Airport na Raisi wao Samia, vipi imeshaanza kujengwa? Na maendeleo ya ujenzi yakoje?
  10. J

    Hayati Magufuli alisitisha ongezeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa Bwawa la Nyerere

    Tunakumbushana tu kwamba hayati Magufuli alisitisha ongexeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa kwenye ujenzi wa Bwawa la umeme la Stiglers gorge au Nyerere. Kwa sasa mradi uko mwishoni na fedha zinaelekezwa maeneo mengine. CCM ni sikivu, hongera Rais Samia.
  11. 64 Various Jobs at JVACEE, Julius Nyerere Hydro Power Project (JNHPP)

    J-V-A-C-E-E, Julius Nyerere Hydro Power Project (JNHPP) is Urgently Looking for the Following Candidates to fill the available below Positions :- Motor Grader Operator — 22 positions Excavator Operator — 26 Positions Soil Compactor Operator — 10 Positions Soil Reclaimer Operator — 06...
  12. President Nyerere in Britain - Colour - sound

  13. Kauli za Marais kuhusu fedha kutoka nje

    Magufuli: Sisi ni matajiri, tunaweza kuwasaidia hata Ulaya, misaada/mikopo yao masharti magumu Samia Suluhu: Nimeenda Ulaya, pesa za miradi zilikwama tumezikwamua. Nipo nazitafuta za kaka Jakaya..
  14. J

    Msekwa: Aliposaini hati ya muungano, Nyerere alipiga wine kwa furaha. Asema muungano ulitawaliwa na siri kubwa

    Mzee Msekwa amesema wakati muungano unaasisiwa yeye alikuwa ni Katibu wa bunge na ndiye aliyeupeleka Ikulu muswada huo baada ya kupitishwa na bunge ili ukasainiwe na iwe sheria. Mzee Msekwa anasema alipofika Ikulu na kumweleza Rais kuwa wabunge wote kwa kauli moja wamepitisha mswada wa muungano...
  15. Uonevu wa Traffic Barabara ya Nyerere

    Kuna tabia mpya Traffic wameanzisha barabara ya Nyerere baada ya Quality Center ikiwa unaelekea mjini wanaweka utepe kwenye uelekeo wa Service Road ilipo bank ya Absa karibu na Lifemate Furniture. Hata ikiwa dhamira yao ni kuzuia watu wanaeonda mjini wasichepuke, lakini haileti maana kwa sehemu...
  16. Steven Mangele (maarufu Steven Nyerere) kuna uhusiano gani wa bongo movie na CCM?

    Assalam wana jamvi! poleni na majukumu ya hapa na pale katika maisha! Moja kwa moja niende kwenye hoja! wakati mwingine ni kweli yamkini hainihusu, lakini hiki ndo kizazi chetu, ndo vijana wetu, na watoto wetu lakini pia ndo ndugu zetu! Muhusika niliemtaja kwa mtazamo wangu ni kama kwa sasa...
  17. P

    Mzee Warioba na hoja fikirishi ya Mwalimu Nyerere kutohutubia Kanisani

    Nilimsikiliza vyema Waziri Mkuu mstaafu Mzee Joseph Sinde Warioba pale alipopewa nafasi ya kuhutubia nyumbani kwa Mwalimu Nyerere pale Msasani kama sehemu ya sherehe ya kufikisha miaka 100 ya hayati Mwalimu. Aliongea kwa lugha nzuri kama mwanasheria na mtu muungwana. Akamuelezea Mwalimu Nyerere...
  18. Q

    Makongoro Nyerere: Mama Maria Nyerere yeye hana makuu

    Akiongea na East Africa Radio leo kuhusu maadhimisho ya Miaka 100 ya Nyerere, Makongoro Nyerere ametoa “kifumbo” ambacho wachambuzi wa mambo wanahusisha na kauli ya mama Salma Kikwete kuhusu mafao ya wenza wa marais. "Mama Maria Nyerere kama siku 14 zilizopita nilipata taarifa kutoka kwa...
  19. Utawala wa JPM ulitengeneza mabilionea wa kichina, Uturuki na waarabu, ,Nyerere, Mwinyi Mkapa na JK walitengeneza matajiri wazawa

    Mzalendo wetu JPM alitengeneza mabilionea wa kichina, tenda zote nchi nzima za ujenzi aliwapa wachina au Mayanga, aliwapa waturuki ujenzi wa reli, wamisri ujenzi wa bwawa la Stiglers. Wafanyabiashara wa kitanzania waliozea jela wakati wachina, waturuki wakitamba katika nchi yetu...
  20. K

    Wafahamu wezi waliopongezwa na mwalimu Nyerere

    Ilianza kama utani Shirika moja la enzi hizo za utawala wa mwalimu Nyerere lilokuwa na ukwasi wa kutosha enzi hizo lilipokea taarifa kutoka kwa wezi kuwa siku ya tarehe_ _ mwezi wa _ _ wangefika kufanya wizi wa fedha kidogo hapo kwenye jengo la shirika hilo Basi viongozi wa shirika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…