nyerere

  1. Ujasusi wa kiuchumi na Yeriko Nyerere is real!

    Angalia mfano huu than connect dots, kwa kuangalia kitu kinachoitwa ujasusi wa kiuchumi. 1. Mimi ni Dubai ninataka kucontrol usafirishaji majini kwa Africa, 2. meli nyingi zinazotoka china kuja africa huwa zinapitia bandari yangu, 3. kuna uwezekano meli nyingi toka china zikapita bila...
  2. Tanzania inamhitaji ‘Nyerere’ sasa kuliko wakati wowote

    Mchana, Oktoba 14, 1999, wimbo wa Taifa unasikika redioni na runingani. Kila mtu wima kwenye redio na televisheni. Miaka 24 imepita, sijasahau tangazo. Rais aliyekuwa madarakani, Benjamin Mkapa, mkono wake wa kulia aliketi Makamu wa Rais, Dk Omar Ali Juma na kushoto Waziri Mkuu, Fredrick...
  3. Ujenzi Bwawa La Nyerere wafikia asilimia 90, uzalishaji kuanza mwezi Juni 2024

    WAZIRI wa Nishati, January Makamba ameeleza kuwa Ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere (JNHPP) umefikia asimilia 90 huku shughuli ya kufunga mitambo ya kufua umeme pamoja na nyumba yake ikiwa imefikia asilimia 70 Akizungumza wakati akiongoza viongozi wa Baraza la Jumuiya ya...
  4. Tanzania inamhitaji ‘Nyerere’ sasa kuliko wakati wowote

    Mchana, Oktoba 14, 1999, wimbo wa Taifa unasikika redioni na runingani. Kila mtu wima kwenye redio na televisheni. Miaka 24 imepita, sijasahau tangazo. Rais aliyekuwa madarakani, Benjamin Mkapa, mkono wake wa kulia aliketi Makamu wa Rais, Dk Omar Ali Juma na kushoto Waziri Mkuu, Fredrick...
  5. Mzee Butiku aigeuza Mwalimu Nyerere Foundation kutoka kuwa taasisi kubwa ya kimataifa mpaka level ya kikao Cha ukoo wa Nyerere. Ikabidhiwe UDSM

    Mwalimu Nyerere Foundation wakati inaanzishwa, ilikuwa na malengo makubwa sana. Ilivutia wafadhili, ilivutia serikali kuweka fedha. Na Kila mtu alitarajia kwamba itakuwa ndio kisima Cha mawazo ya kisiasa, kiuchumi, kijamii, kidiplomasia kwa Kila namna. Mwanzoni ilianza vizuri, kabla haijawekwa...
  6. Viongozi wa Dini Wakoshwa na Bwawa la Nyerere

    Wakati mradi wa kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) ukifikia asilimia 90 ya ujenzi wake, viongozi wa dini wamesema watakwenda kuwaelezea waumini wao umuhimu wa kutunza mazingira ili mradi huo uwe endelevu. Viongozi hao kutoka Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) na Baraza la Maaskofu...
  7. Rais Samia, Hayati Mwl. Nyerere na Hayati Mzee Karume Watunukiwa Tuzo za Heshima Katika Maadhimisho Miaka 60 ya JKT

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu Dk. Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa tuzo maalum ya heshima katika katika kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT). Tuzo Maalum pia zimetolewa kwa waasisi wa Taifa letu ambao pia ni waasisi wa Jeshi...
  8. M

    Tusipokuwa Makini, Kauli ya Nyerere ya Wabara na wale Wazanzibar inaanza kidogo kidogo

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapaswa Sasa kuchukua hatua Kali sana dhidi ya Makundi ya watu mbalimbali ambayo hivi Karibuni yamekuwa yakisambaza sumu ya chuki, ubaguzi na mgawanyiko juu Kwa Watanzania. Kumekuwa na kauli za kumsema Rais wetu mpendwa kuwa ameuza Bandari za...
  9. R

    Steve Nyerere Dubai, muendelezo wa Chawa wa Mama kujipanga kutetea DP World?

    Steve Nyerere ameshea katika ukarasa wake wa mtandao wa Kijamii matukio mbalimbali, akiwa Dubai, na nyingine akiandika kuwa "Tunarudi uwanja wa vita." Ndio kumaanisha wanarudi kuendeleza mapigano ya kutuaminisha Mkataba na DP World mambo mazuri, tufunge midomo?
  10. K

    Watanzania walikataa vyama vingi kwa 80% Nyerere akaona mbali akaruhusu!! Samia kaona mbali pia, DP world twende kazi

    Mama Samia kanyaga twende! Wtz hawakujua maana ya vyama vingi wakavikataa lakini Nyerere kwa uzoefu wake akasema vyama vingi ni muhimu na matunda yake tunayaona, kwahiyo akina Mbowe wajue kwamba hata wapige kelele kiasi gani kama Rais kaona DP world ni muarobaini basi acha afanye kazi matunda...
  11. M

    Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

    Wapiganaji wa Wagner waelekea Moscow kuuondoa utawala wa kijeshi unaoongozwa na SERGEI SHOIGRU. Kiongozi wa Wagner anadai kwamba majeshi ya urusi yamekuwa yakishambulia kambi zao nchini UKRAINE. Huu Uzi nitatoa update ya kila kinachoendelea. ===== Update: Maafisa wa Ukraine wasema watatumia...
  12. SoC03 Ni jinsi gani Viongozi wa sasa wanaweza kurejesha Tanzania ya Viwanda ya Mwalimu Nyerere?

    Utangulizi: Tanzania ni nchi iliyojaaliwa rasilimali nyingi sana zinazofanya ionekane ni nchi yenye fursa nyingi za uwekezaji, masoko ya ndani na nje, na nguvu kazi yenye uwezo. Kwa kutumia rasilimali hizi, kuunganisha nguvu na kuchukua hatua madhubuti, Tanzania inaweza kurejesha hadhi yake...
  13. SoC03 Julius Nyerere: “Maandishi ni chombo cha kueneza elimu na kuleta mabadiliko”

    JULIUS NYERERE: “MAANDISHI NI CHOMBO CHA KUENEZA ELIMU NA KULETA MABADILIKO” Imeandikwa na: MwlRCT Utangulizi Maandishi ni chombo muhimu sana katika kueneza elimu na kuleta mabadiliko katika jamii. Kupitia maandishi, watu wanaweza kushiriki maarifa na ujuzi wao na wengine, na hivyo kuchangia...
  14. Je, ni kweli Idd Amini alikuwa shujaa wa Afrika, Nyerere alitumiwa na wazungu kumchafua?

    Weekend Kareem wapenzi wa JamiiForums popote mlipo. Naamini mu wazima wa siha muruwa kabisa huku mkifanya tathmini ya kile mlichokifanya kwa juma zima hili. Leo nimeleta kwenu swali juu ya Idd Amini, sipendi kumwita Nduli ila tumuombe tu Mwenyezi Mungu aendelee kuipumzisha roho yake. Idd Amini...
  15. S

    Hii ni aibu kwa Wizara ya Utalii kwa kinachoendelea Hifadhi ya Taifa ya Nyerere

    Kwako Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa (Mb), Hatua za haraka zinahitajika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere/Selous. Mgogoro mkubwa unaanza kuibuka kati ya waendesha utalii (tour operator) na watalii wanaoenda kwenye hifadhi hii. Kitendo cha Maaskari wa Mbuga kuwatoa kwa nguvu...
  16. Nyerere na Magufuli wanatoa machozi baada ya azimio la bunge kuibinafsisha bandari za Tanzania kwa nchi ya Dubai

    Hayati Rais Magufuli alinunua mitambo miwili kwa ajili ya bandari ya Dar es Salaam, ambayo ni World first class yenye thamani ya trillion 3.2 na imefungwa juzi tu wakati ameshafariki,ajabu katika maelezo ya mkataba uliopitishwa na bunge,wanasema Dp World wataleta mitambo na kuendeleza bandari...
  17. K

    Nyumba inauzwa Mabibo Hostel, Nyerere road.

    Nyumba inauzwa Frem 4 Nyumba 3, Ndani Bei: 750milioni Document: Mirathi Sqm: 818 Mtaa: Kibangu Kata: Makuburi Manispaa: Ubungo kwa sasa! Eneo linafaa kwa matumizi yote. Main road: mita 8 Piga simu 0712347749 Tufanye biashara....
  18. Je, Bwawa la Nyerere likikamilika, sheria inaruhusu kulikodisha bila kikomo ili kuongeza ufanisi katika uendeshaji wake?

    Tuchukulie kwa mfano Bwawa la Nyerere limeshakamilika na linazalisha hizo megawatt 2,115. Je, inawezekana kisera na kikatiba kulikodisha kwa mfano miaka 100 ili kuongeza ufanisi katika uzalishaji umeme? Hii inaruhusuwa kisheria?
  19. Ester Bulaya: Mkandarasi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere anataka kushtaki alipwe nyongeza wakati mradi haujakamilika

    Mbunge Ester Bulaya amesema “Mkataba wa ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere unaeleza mkandarasi akichelewa kukamilisha mradi anatakiwa kutozwa tozo, mradi ulitakiw akukamilika 2022 na taarifa zilizopi hautakamilika mwaka huu. Amesema hayo Bungeni na kuhoji kwanini TANESCO hawajamtoza...
  20. Nyerere, Mwinyi na Mkapa walipewa udaktari wa heshima lakini hawakutumia kunani hawa wanaoutumia?

    Ni kawaida kwa marais wa Kiafrika kupewa udaktari wa heshima japo ni nadra kwa marais wa nchi za magharibi. ingawa rais Barak Obama anaweza kuvunja rekodi ya kuzipokea lakini asijiite dokta hata mara moja. Je, ni kwanini? Je ni ile hali ya kutaka sifa, kutojiamini, kupenda ujiko bila kuusotea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…