Nipo likizo Tanzania, Leo ilibidi namie nijiunge na wapenda haki wenzangu kwenye kesi ya mweshimiwa Lissu. Leo nilichokiona ni aibu ,aibu aibu ya mwaka
Mahakama ilimpelekea Lissu case bundle gerezani, kumbe Kwa uvivu, ujinga na kujisahau wakajikuta case bundle aliyopewa Lissu ni tofauti na...
Miaka zaidi ya themanini tangu utawala wa Adolf Hitler ulipoanzisha vita vya dunia na mauaji, kivuli cha historia ya Nazi kimeibuka tena, safari hii kutoka kwenye sehemu isiyotarajiwa, basement ya Mahakama Kuu nchini Argentina
Historia ya Nazi ilianza mapema miaka ya 1930, pale chama hicho...
Naangalia hapa Jamhuri wamepeleka maombi Mahakamani kuomba shauri la Lissu la uchochezi lisikilizwe kwa usiri yaaani Mashahidi ya Nyaraka visionekane kwa Wananchi.
Kama una akili vizuri unaweza fikiri kama kesi ya Uchochezi tu wanayomshtaki mtu kuongea maneno ya uchochezi ambayo yalitangazwa...
Ni kama serikali inakili zile documents zilizopakiwa Instagram ni za kweli, hali ambayo inaonesha nchi inapoteza pesa nyingi sana za walipa kodi.
Soma hapo chini inasomeka kama ifuatavyo: This is because we complied with a legal request from Tanzania Communication Regulatory Authority to...
Kama kunamtu atanilaumu kwa kuvujisha nyaraka za wahujumu basi na iwe kwani na yeye huenda ni sehemu ya wahujumu. Katika nchi makini mtu anayefichua hujuma husifiwa na kuzawadiwa badala ya kusakwa ili aadhibiwe.
John Mrema
Mkutano wa John Mrema wa Chadema na waandishi wa habari leo umefichua mengi kuhusu dhamira yake na wanaomtuma.
Anasema kuwa wao hawapingi msimamo rasmi wa chama kwa kuwa kwenye waraka rasmi wa Chadema alio nao maneno NO ELECTION hayamaanishi HAKUNA UCHAGUZI.
Anachomaanisha ni...
Jeshi la polisi Mkoani Manyara linawashikilia watumiwa 10 kwa makosa mbalimbali ikiwemo utapeli Kwa kutumia kampuni ya kitapeli ijulikanayo kama Manyara LBL Company Limited inayotoa huduma za kuwekeza na kukopesha fedha kinyume cha sheria na kanuni za Benki Kuu ya Tanzania huku mmoja wa...
Kuharibu nyaraka zinazohusiana na taarifa za kibinafsi, kama vile kiatambulisho cha NIDA, cheti cha kuzaliwa, taarifa za benki, taarifa za kadi ya mkopo, stahili za malipo, au risiti, ni muhimu ili kuhakikisha kuwa taarifa zako binafsi haziangukii mikononi mwa watu wasiostahili kuziona. Hii pia...
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha amewataka Viongozi wa Chama cha Msingi Kisuke katika Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama kusitisha utunzaji wa nyaraka za ofisi katika Jaba lililokuwa katika Ghala la kuhifadhia Zao la Pamba.
RC Macha ametoa agizo hilo leo wakati akiendelea na...
Wakuu,
CHADEMA mambo yamezidi kupamba moto.
Lissu akiwa anajibu swali aliloulizwa kuhusu tuhuma za Mbowe kwamba nyaraka za chama zilikuwa zinqvujishwa na Msigwa ambaye ni rafiki yake mkubwa.
Lissu akiwa anajibu swali hilo amesema kuwa hajawi kuvujisha nyaraka za chama na kuongeza kuwa...
Mmoja wa waandishi wa habari leo ndugu Marwa amesema amewahi kuona maazimo ya kamati kuu ya CHADEMA kama yalivyo yakiwa mezani kwa kada wa CCM Mchungaji Msigwa ili ku preempt hotuba za viongozi wa CHADEMA kuzungumza baadaye. Mbowe ameuliza waandishi habari Msigwa ni rafiki wa nani!
Habari,
Husika na mada tajwa kwenye heading. Ninahitaji hizi nyaraka
Nahitaji.
1. Circular Letters 1999 - 2020
2. Public Service Act & Regulations
3. Employment & Regulations act 2004.
Kwa ajili ya marejeo na maarifa zaidi.
Shukrani!!
Watu wamekua na Tamaa sana, na Roho ya utapeli, usimuone mtu kama ni Muislamu/Mkristo ukajua moyo wake ni safi na atakua mkweli kwa kila jambo.
Dunia ya sasa watu wamekua sio waaminifu na inatakiwa kila unachokifnya kiwe na documet ya ushahidi ili kuepuka matatizo ya yatakayojitokeza mara baada...
Mkiniambia GENTAMYCINE kuwa upande ambao mmetakiwa Kuachia Timu na ambao ndiyo mna Hela chafu na Utajiri mkubwa mmeamua kutumia Nguvu yenu ya Fedha na Propaganda kwa Kubebwa na Wakubwa walioko Serikalini na wenye Nguvu na Ushawishi kubadilisha huu Upepo na Kumsingizia Mzee Magoma na Wenzako kwa...
Kufuatia sakata la Viongozi wa Yanga kutakiwa kuachia madaraka baada ya baadhi ya Wazee wa Club hiyo kushinda kesi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Wakili wa Mahakama kuu Dedan Kapongo ametolea ufafanuzi wa kisheria kuhusu tuhuma zilizosemwa na Mkurugenzi wa sheria wa Yanga kwamba Wazee...
Mimi nadhani ni heshima kubwa na Uzalendo kwa mtu kuitwa kwa Utaifa wake, Sioni haja ya kuficha Utaifa wa mtu kwa sababu zozote zile.
Kwa nia njema kabisa naweka nyaraka za wazi za Uzanzibar wa Rais wetu Samia Suluhu Hassan
Hata kwa Sheria za Tanzania, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano...
Nyaraka za kufungulia na kujibu kesi Mahakamani (Pleadings) kama vile hati ya madai (plaint) na hati ya utetezi (WSD) zinatakiwa kusainiwa na mhusika (mdai au mdaiwa) pamoja na wakili wake (kama yupo) au mtu yeyote ambaye ameruhusiwa na mhusika.
Hata wakili peke yake anaweza kusaini kama tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.