nyama

Nyoma is a village and headquarter of eponymous Subdivision and block in the Leh district of Ladakh in India. It is located in the Leh tehsil, on the bank of Indus River.
A small Buddhist monastery ("gompa") is located on the hill at the back of the village. Since 2010, foreign tourists with Inner Line Permits are permitted to visit Nyoma and its monastery.
Nyoma is also home to an Advanced Landing Ground of Indian Airforce, which was reactivated when an An-32 landed in this airfield on 18 September 2009.Nearby towns are Mahe and Rupshu, the town lies in the Leh - Loma - Hanle road. Nyoma is located 41 km southeast of Chumathang. It is 23 km (14 miles) from Mahe village and roughly the same distance from the Chinese border.

View More On Wikipedia.org
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania kwanini kitimoto kwa sasa haiuziki tena?Nimeshuhudia kwa macho yangu nyama ya kitimoto kwa sasa inabaki.

    Katika mifungo hii ya kwaresima na mwezi wa Ramadhani kitimoto hauziki wakuu. kuna sehemu moja hapa kitaa ilikuwa hailali wala kutoboa hadi saa7 usiku bado ipo labda kama wamechinja nguruwe mbili. Lakini kwa sasa kiti moto ndo hivyo tena hailiki ndg zetu wa upande wa pili tukisema ninyi ndo...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nilikutana na Mdada anayekula vichwa 10 kwa usiku mmoja, alisema nyama kwa nyama inauma sana.

    Si vibaya tukawa tunashare stori za hapa na pale. Zinatuwezesha kujifunza lakini pia kutupa Burudani. Mwezi uliopita nikiwa katika Mishe mishe zangu nza kusaka Maisha nikiwa nimebeba mafaili ya No Reform, Poor Election. Basi nikakutana na Dada Mzuri tu alikuwa kavaa Baibui, Mweupe Kiasi...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Makonda: Nyama tuliyochoma Arusha haina uhusiano wowote na mafundisho ya Dkt. Janabi

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ametania kuwa nyama choma ya Arusha haina uhusiano wowote na mafundisho ya Dkt. Janabi kuhusu masuala ya afya. "Mhe. Rais, sherehe zetu zilihitimishwa jana na ulaji wa nyama... Nyama ya Mkoa wa Arusha haina uhusiano na mafundisho ya Dkt. Janabi. Sisi...
  4. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania KWELI Samaki aina ya Papa (Shark), nyama yao ni hatari ina kemikali ya Zebaki (Mercury)

    HABARI WANA JAMII FORUM Nasikia kitaalamu samaki aina ya papa na jamii za samaki wa aina hii huwa wana kiwango kikubwa Cha kemikali ya madini ya mercury na ni hatari kwa afya ya mwanadam Je swala hili kitaalamu ni Kweli?
  5. Stroke

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaonunua nyama robo wanafungiwa kwenye gazeti?

    Hawa watu wa Buchani wanadharau sana. Yaani mtu akinunua nyama robo wanamfungia kwenye gazeti. Tena la michezo, au kwakuwa analeta mchezo na nyama??
  6. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuwa tajiri kirahisi, mtaji mdogo tu fanya biashara ya bucha la nyama ya ng'ombe

    Wazo: BUCHA La NyamaCapital: 4MBidhaa: Nyama ya Ng'ombeKwanza, Biashara hii ni Fursa nzuri sana ikiwa tu itaendeshwa kwa Ufanisi na kwa kutumia vifaa vya kisasa, kwasabb NYAMA inalika kila kona ya nchi. Nataka nikupe mchanganuo mzima kuanzia Mtaji hadi FAIDA inavyopatikana. GHARAMA: 1. Frame...
  7. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Sambusa za nyama na juice ya matunda

    Leo tujifunze hii kitu sambusa za nyama MAHITAJI Unga wa ngano Nyama Hoho Karoti Chumvi Mafuta Kwanza chemsha nyama yako kisha isage vizuri Then chukua ngano weka mafuta na chumvi anza kukanda mimi natengeneza za kula mwenyewe so nilitumia unga nusu Baada ya hapo ngano yako ulio...
  8. Logikos

    JamiiForums Tanzania Trump amechelewa Karne Kadhaa; Waliposhindwa kina Great Britain, waliofuata Walitumia Soft Imperialism: Simba mwenda Pole ndio mla Nyama

    Kama mmoja wa Taifa na Bara ambalo limekuwa marginalized kwa kutumia mabavu hapo kabla na mpaka sasa hivi kwa hila / ujanja na ulafi wa viongozi wetu ninafurahia kinachotokea.... Nina uhakika hata Trump anachofanya anaelewa detriment kwa taifa lake in long term ila hajali (ni populist na mpenda...
  9. Sir Kisesa

    JamiiForums Tanzania Tararibu zipi za kufuata ili kuweza kusafirisha nyama nje ya nchi

    Habari, Kwa wazoefu wa Wanao safirisha Nyama Nje ya Nchi, Nimepata soko tayari na nataka kusafirisha Nyama ya mbuzi nje, Kuna mifuko ya package, nime attached ktk post naomba kujua naipata wapi, na kwa wazoefu zaidi wanipe utaratibu wote Nishafatilia kibali board ya nyama, slaughter house...
  10. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Video: Inawezekana kuukamata Ushirikina kwa Video ikiwa kwa macho ya nyama huoni?

    Wataalamu watuambie hii ni artificial intelligence au ni kweli? Je cameras zinawezaka record wanga,misikule n.k ikiwa kwa macho ya nyama hawaonekani? Yaani mfano ukaamua uweke cctv camera nyumbani chumbani mwako. Inaweza mrecord mwanga? Je hii video ni halisi au AI?
  11. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizara ya Afya ifuatilie ubora wa nyama inayouzwa Mitaa ya Mpemba – Tunduma pia wauzaji hawazingatii usafi

    Kero yangu kubwa ni kwa mamlaka inayosimamia huduma za Afya katika Halmashauri ya Tunduma Mkoani Songwe, kumekuwa na tatizo la wauzaji wa Nyama kuuza nyama zenye mashaka ya ubora na baadhi wanauza zikiwa zimeharibika. Nimefuatilia na kubaini kuwa mara nyingi nyama hizo zimekuwa zikiweka kwenye...
  12. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kama unahisi bei ya nyama ipo juu basi waulize wakazi wa Switzerland USD 44 kwa kilogram 1.

    Choma nyama wakuu Tanzania bado tupo vizuri bei bado very friendly Tanzania shilling 10000 unapata kilo ya nyama sawa na us dollar 4 wakati Switzerland anatumia takribani dollar 44 kwa kilo sawa Tz shilling 100,000/= plus.
  13. Sir Kisesa

    JamiiForums Tanzania BUCHA YA NYAMA YA MBUZI

    Habari Naomba wazoefu mnisaidie , nikifingua Bucha yq Nyama ya Mbuzi itanilipa? Naona mabucha mengi ni Ng'ombe. Naomba wazoefu mnisaidie, je inalipa location ni Dar
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Afrika Mashariki imzuie Kagame kunywa damu ya wakongo, na kula nyama zao katika vita ya Mashariki mwa Kongo

    Sijaisikia jumuiya hii ikitoa kauli au kuitisha kikao cha dharura dhidi ya huyu mla nyama za watu na mnywa damu za binadamu. Wote ni wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki. N. B: for the first time simjui Mwenyekiti wa jumuiya hii wala katibu
  15. zoyler22

    JamiiForums Tanzania Je, kwa mtaji wa mil 1.5 naweza kufuga kuku wa mayai, wa nyama na chotara kwa wakati mmoja?

    Nilikua nataka kufaham km mil 1.5 inaweza ikatosha km mtaji wa kuanza kufuga broiler na chotara mana mi ndo kwnz nataka nianze hii biashara. Na je na kama haitoshi ni kiasi gani kinahitajika kiongezeke ili niweze kuanza kufuga
  16. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa nyama ya kenge wasababisha mauaji mkoani Mtwara

    UGOMVI WA NYAMA YA KENGE WASABABISHA MAUAJI MASASI MTWARA Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara limefanikiwa kuzuiya na kutanzua uhalifu kupitia operesheni na misako iliyoendeshwa kati ya tarehe 1 Desemba 2024 hadi 31 Desemba 2024. Katika operesheni hiyo, walikamata wahalifu wakiwemo watuhumiwa wa...
  17. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Kilo moja ya nyama kuuzwa 13,000 ni laana au ni nini?

    Kwa takwimu za kimataifa, katika bara la Africa, Tanzania ni nchi ya pili kwa wingi wa Ng'ombe (bila kujumuisha kondoo, mbuzi, na kuku) ikitanguliwa na Ethiopia. Sasa cha kujiuliza, kitu gani kinapelekea kupanda kwa bei ya nyama mpaka kilo 13,000?. Hivi mnajua maana ya 13,000? Kwa familia ya...
  18. monotheist

    JamiiForums Tanzania Leo nimepika Ndizi nyama msela mimi ni tamu mnoo

    Nilikua na hamu ya ndizi nyama hivyo kwa kua nalijua jiko nikapita zangu sokoni nikachukua mazaga kadhaa nikaingia jikoni😆 na nitawaelezea jinsi nilivyopika hatua kwa hatua MAHITAJI; Carry powder, paprika powder, black pepper, soya souce, tui la nazi (tui la 1 na tui la 2), ndizi mshale 8...
  19. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Jumbo aina ya Kware wa Nyama, tusha maliza Breeding tumeanza mass productions

    Niliwahi toaga humu post ya Kware wa Nyama, wagu walikuja juu mno. Jumbo. Nyama ya kware Jumbo. Hawa ni special oda tunawazalishia wateja wasio pungua 4 tu. Hawa ni special kwa nyama tu, ingawa pia wanataga.
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nyama ya bata tamu kuliko kuku ila adimu sana

    Kwa nini japo nyama ya bata ni tamu kuliko nyama ya kuku ila kuku ni maarufu na analiwa zaidi ya bata ? Ni vigumu sana kupata bata mgahawani au hotelini.
Back
Top Bottom