Nyoma is a village and headquarter of eponymous Subdivision and block in the Leh district of Ladakh in India. It is located in the Leh tehsil, on the bank of Indus River.
A small Buddhist monastery ("gompa") is located on the hill at the back of the village. Since 2010, foreign tourists with Inner Line Permits are permitted to visit Nyoma and its monastery.
Nyoma is also home to an Advanced Landing Ground of Indian Airforce, which was reactivated when an An-32 landed in this airfield on 18 September 2009.Nearby towns are Mahe and Rupshu, the town lies in the Leh - Loma - Hanle road. Nyoma is located 41 km southeast of Chumathang. It is 23 km (14 miles) from Mahe village and roughly the same distance from the Chinese border.
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, Julai 28, 2025 amewasimamisha viongozi wa chama cha wafanyabiashara wa nyama mkoani Katavi kwa tuhuma za ukiukwaji wa sheria, taratibu na miongozo ya uendeshaji wa biashara, ikiwa ni pamoja na kupandisha bei ya nyama bila kushirikisha mamlaka husika...
Habari wana JF,
Mimi ni kijana wa miaka 26 nimekuja kwenu wana JF ili niweze kupata elimu na kunifungua akili juu ya wazo nililo nalo na wapi pa kuanzia
Nimejipanga kuanza shughuli za ufugaji wa mbuzi wa nyama ni kitu ambacho sijawahi kufanya hapo kabla hivo nahitaji msaada wa mawazo...
Siku zinazo kuja itakuwa hata ukitaka kupata ganja halisi, itakubidi upande Dar Express au Kilimanjaro Express ukachukue mwenyewe Arusha.
Kila kitu kimemuwa fake. Hata hawa wanao itwa Kuku wa kienyeji wana uzwa kwenye mabar wengi ni " Chotara"ambao nao pia watakuwa na madhara kama wa kizungu...
Hali ilivyo Kenya inasikitisha sana, ustaarabu hawana, utu hawana na wala sio waungwana.
Mshana Jr alinusurika kuliwa na wala nyama za watu akiwa Uganda.
01.Ingia jikoni,angalia kushoto na kulia Kama Kuna mtu anakuja
02.Angalia mkao wa mwiko / kijiko umekaaje ili mda wakuondoka uache vile vile usigeuze, usifanye kosa kizembe
03. Fungua hot pot pole pole ,usiache mfuniko upige kelele au uanguke(utashtukiwa)
04.Hesabu vipande vya nyama hakikisha...
Habari za wakati huu wakuu.
Naomba ushauri kutoka kwa wenye uzoefu na biashara ya nyama choma hapa jijini Dar es Salaam.
Nina mpango wa kuanzisha biashara ya nyama choma, lakini sitaki kabisa kuifanya sehemu ya baa. Nia yangu ni kuifikisha huduma hii kwa watu wa kawaida – wale wanaotafuta...
Hello
Najua mesoma sana thread za siasa now mnatakiwa kutuliza akili ikae sawa kidogo
Tuanze mtindo uhu ni raisi na hauli mda wako kabisa
Kwanza menya ndizi zako kisha kata style unayopenda mimi nilichanganya na viazi baada ya hapo kaanga zio ndizi na zisikauke sana
Baada ya hapo chukua...
Hellow mmesema nimetelekeza jukwaa haya twendee sasa na hii
Andaa nyama yako na kata vipande vipande size unayotaka kata na kitunguu pia tangawizi na kitunguu swaum mimi sipendi kitunguu swaum kisha weka kwenye foil
Baada ya hapo ifunge vzr kabisa zungua foil ya kutosha kisha weka jikoni...
Imagine naenda Coco Beach nawaambia wanifungie Mihogo na Mishkaki,Mnanibabatiza na Mihogo Michelema na nyama mnaweka nyingine pingili moja?
Kweli Dogoli wa kufanywa Fala kwenye Jiji langu niliozaliwa tena Osterbay???😭😭😭😭😭
Bro ulioniuzia njoo DM kabla ya Kumtuma Jini langu Subiani Bin Sina Sudi...
Kwa hapa Dar, wapi naweza kupata nyama ya porini...
Natamani kula nyama ya porini this weekend, kama nitapata nyama ya Swala au Kiboko, itakuwa safi sana.
Ma butcher yapo wapi kwa dar ?
Hapa majuzi ilikuwa siku ya Eid El Adhaa almaarufu kama Eid ya kuchinja
Hii siku maalum ya kuchinja ni siku ya kishetani,
Kuchinja wanyama wengi hivi ni ibada chafu, tukio la kuchinja ni kumwaga damu na kunuia maneno ambayo walaji wa hizo nyama hawajui
Kuchinja kiroho ni jambo gumu, na zito...
Aisee
Leo nimeamka na hangover sio poa,mwenyeji wangu akaniambia usiwaze twende tukapige diko somewhere, nikamuuliza saa 11 ile msosi tunatoa wapi.
Jamaa akaniambia Acha wenge nifuate,tukaingia huko uyole ndani ndani tukaibuka kwa jamaa anaitwa j4,tukakuta nyomi ya raia ya kutosha,tukapiga nguna...
Wenzetu nchi kubwa kama unataka bucha za nyama za vibudu zipo.
Kama unataka za dini zako zipo.
Kama unataka za wahadizabe zipo yani wanyama pori.
Hapa nacho sema bucha nyingi za tanzania zijataka kufanya biashara zipo kwa faida.
Ni mabucha machache kuona kama unataka nyama fulani yani kama...
Mchungaji wa Kanisa la Huduma ya Kristo lililopo Mtaa wa FFU, Kata ya Murieti, Steven Jacob Gumbo (35) ambaye iliripotiwa ametekwa na ‘Watu Wasiojulikana’ Mei 16, 2025 amezungumza na Wanahabri na kueleza kuwa Watu waliomchukua walijitambulisha kuwa ni Askari Polisi na wanamhitaji kwa ajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.