Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,773
- 3,878
Vipi kuhusu faida zake za kiafya ukiachilia hizi za kwenye google.
Mzoefu wa nyama ya bata please funguka
Mzoefu wa nyama ya bata please funguka
Vipi una uzoefu nayo?Nyama nyeupe
Uzoefu wa vipi?Vipi una uzoefu nayo?
Umeamua kunisema mkuu?? 🤔Bata ni nyama ya kipumbavu sana mtu anasema anaenda kula bata mpaka kuku wanashangaa🤔
Nyeupe faida zake ni kama za kuku tuVipi kuhusu faida zake za kiafya ukiachilia hizi za kwenye google.
Mzoefu wa nyama ya bata please funguka
Hapo Germany mnakula pombe au ni Der winter 🤔Umeamua kunisema mkuu?? 🤔
Nyoka Wa MakengezaNdege wengi ni nyama nyeupe
kuhusu faida yakee hana faida yoyote ni kama nyoka tu!
Nyoka ana makengeza aina gani huyo?!Nyoka Wa Makengeza
😂 Haha Sasa ni Summer (zom-mer) time mkuu beer zinanywika balaaa winter sana ni Gin 🥃 kwa hapa München tunakunywa sana Augustiner Helles hii ni typical Bavarian beer 🍻, watu wa Bavaria wanapenda sana vya kwao na hujiona bora kuliko wajerumani wengine wote, Wana Ego na pride kubwa sana.Hapo Germany mnakula pombe au ni Der winter 🤔
Ni kweli nyama ya bundi ni nono na ni tamu sana😋😋😎😎Nilikula bundi bila kujua ,wakuu ni tamu zaidi ya kuku.
Safi sana master najua nina mwenyeji hapo nikija cheki football😂 Haha Sasa ni Sommer (zom-mer) time mkuu beer zinanywika balaaa kwa hapa München tunakunywa sana Augustiner Helles hii ni typical Bavarian beer 🍻, watu wa Bavaria wanapenda sana vya kwao na hujiona bora kuliko wajerumani wengine wote, Wana Ego na pride kubwa sana.