nunua

  1. Kipenzi Changu

    Mchengerwa anamjibu Mamba Dudubaya kuhusu mashine ya MRI

    https://www.youtube.com/live/46Sy9QdFj7Y?is=de5o1xbYrhPjwSgH Yupo Live TBC. Anawaambia wana habari wawe makini wanaporipoti hiyo taarifa ni kinyume na sheria za nchi Naona Dudubaya kachangiwa
  2. Samia atosha tukutane2030

    Una gari, pikipiki, jenereta nunua mafuta ya kutosha haraka weka ndani

    Huu ni upendo mtu kukukumbusha jambo jema kwa faida yako . Siku za usoni aidha mafuta yatapanda bei au kupotea kabisa.
  3. Analogia Malenga

    Nunua gari kali, jenga ghorofa

    Hayo ni maneno ya mwanangu, akitaka ninunue gari kali, means hajaridhika na nilililonalo. Matokeo ya kidato cha pili yametoka na amefaulu kidogo nikaona nimtembeze mjini kuangalia vitu mbali mbali. Mtoto wangu akataka tuende Mlimani City, kama mnavyojua jana pale Mlimani kulikuwa na watu wazito...
  4. kiredio Jr

    Hizi stock za chakula tulizo nunua tunazipeleka wapi Sasa?

    Baada ya siku ya leo, nadhani kesho shuhuli zitaendelea kama kawaida, Sasa najiuliza Kwa wale walio nunua vyakula vingi na kuweka ndani, vinywaji na huduma nyinginezo je watajutia maamuzi yao au watakomaa na Michele yao? Mimi nilichukua michupa yangu ya mvinjo kadhaa, nikidhani tutakaa ndani...
  5. Samia atosha tukutane2030

    Kijana kama unajitafuta nunua nguo rangi hii

    Kama unajitafuta kijana hakikisha una kadeti rangi ya kijivu au silver, saa ya silver Kadeti ya kijivu rangi yake haipoi. Hizi kadeti za elfu 15-25 karibu zote ni za watu wa hali ya chini, hivyo zinachuja na kuchakaa mapema. Saa za elfu 5-10 zote ni za watu wa chini lakini ukipata saa ya elfu...
  6. Se Busca

    Nunua accessories kwa bei ya jumla na reja reja

    Karibu upate vifaa vya umeme vya kisasa na vyenye ubora wa hali ya juu kwa ajili ya biashara yako! Tunauza jumla na reja reja flash, cover, chaji na USB kwa bei nafuu kabisa, zenye kuhakikisha unanufaika kwa faida kubwa. Tunajua wateja wako wanapenda bidhaa zinazodumu, zenye ubora na...
  7. Dogoli kinyamkela

    Kitambi kikifikia level fulani nunua gari lako sio unakaa kwenye daladala kama una jiko la mkaa miguuni

    Kitambi kikifikia level fulani nunua gari lako sio unakaa kwenye daladala kama una jiko la mkaa miguuni.
  8. Hharyson

    Ukitaka kufanya project yako ya ujenzi kwa uimara nunua vifaa sisi tulipe labor charge +255624004650 call us

    We do design and build services Tunapatikana sinza call/whatsap +255624004650
  9. Mwafrika mmoja

    Njoo uchukue BOXER X 125 "DRD"

    Pikipiki makini ya kupiga kazi hii hapa. BOXER X 125 "DRD" 🔥🔥🔥 Unaipata kwa 1,880,000/= Tu Napatikana Mbezi Beach, Dar es Salaam na kama uko mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa. CALL/WHATSAPP 0683535699
  10. DELETED ACCOUNT

    Mifumo ya SGR na N-Card iboreshwe ili kuwezesha mtu binafsi kuuza tiketi yake aliyokwisha nunua

    Kutokana na changamoto za mechi kadhaa tulizozishuhudia mpaka sasa ambazo zimeleta ugumu kurudisha pesa kwa watu, ningeshauri mfumo wa N-Card uwe na uwezo wa kuruhusu watu kuuziana tiketi ndani ya mfumo. Inahitaji tu App ya N-Card iwe na kipengele cha "Resell Ticket". Mtu anaingia, anauza...
  11. ndege JOHN

    kama unataka kiwanja nunua kipindi hiki cha mvua ulijue eneo vizuri

    usinunue kipindi cha kiangazi kama unataka kiwanja tafuta msimu wa mvua eneo unaliona vizuri kama lina asili ya matope au kuna maji yanapita chini kwa chini ili kuepuka changamoto.Na bora matope kuliko ununue kiwanja sehemu ambayo ni wetland.kiangazi hutagundua .
  12. Stud

    Nunua smartwatch 1 upate Earpods bure na free delivery

    T900 Smartwatch + UltraPods Pro (🎁 Zawadi) kwa Tsh. 28,000 tu. ✅Delivery BURE Dar es Salaam! ✅Calls, Step counter, Music control, Fitness & Style! ⏳ Agiza sasa kabla stock haijaisha! 📲 WhatsApp 0764801907 / DM
  13. VITABU DHAHABU

    NUNUA VITABU VYA AVIATION NA VYA PHYSICS KWA NJIA HII

    Hello 👋 I have compiled an essential list of Physics and Aviation books that you need to explore. You can easily search for these topics using this chat bot 👉Karabo | Vitabu Dhahabu. Don’t hesitate to reach out about any of these genres available in our inventory.
  14. J

    Nunua Azam hii ufurahie malipo nafuu

    Habari zenu wadau, ninauza Azam Dekoda kutoka Malawi Dekoda hizi ni sawa na zilizopo Tanzania, ila zina baadhi ya vitu hasa gharama zake Comparison:- ✓Dekoda pekee Azam malawi Tsh 60,000 Azam Tv Tsh 55,000 ✓Ofa Azam malawi unapata mwezi 1 bure, package ya kufungua channel zote Azam tz inakuaja...
  15. B

    Wanaume, mshawahi nunua dadapoa wanaojiuza sababu ya starehe?

    Hello Wote tunajua kuwa wadada wanaojiuza barabarani, wanajiuza sababu ya umaskini na ugumu wa maisha. Ila nina swali, kuna idea niliisikia kutoka kwa baadhi ya wanawake, tena tofauti tofauti, kuwa sio wadada wote wanaojiuza barabarani wanajiuza sababu ya umaskini, au tamaa ya kupata hela ya...
  16. Fbn

    Hakikisheni mnaponunua nyumba za watu ndiyo yenyewe na kiwango

    Miaka ya nyuma sana kuliibuka wauza nyumba maeneo ya Mbagara na viunga vyake yani nyumba inajengwa kisha inauzwa na wauzaji wengi walikuwa Facebook. Kisa kimoja kilimtokea jamaa yangu kusikia nyumba milioni 30 basi chapu kanunua, sasa alichokutana nacho ndio anajuta ni mwendo wa kurekebesha...
  17. Netfasta - Web Hosting

    Ofa: Nunua Hosting Kwetu na Utengenezewe website bure

    💥OFFER-OFFER-OFFER💥 NetFasta.Com - Stress-Free Web Hosting 💥 Jipatie Web Hosting Ya Mwaka Mmoja Kwa Tsh 150,000 Tu! 💥 Kwa Kifurushi Chochote Utakacho Chagua Na Utapata Ofa Hizi: 1️⃣ Utapata Domain Ya .Com Bure 2️⃣ Tuta-Design Website Yako 1 Bure 3️⃣ Kama Una Website Ziko Kwenye Hosting Nyingine...
  18. Jackson News

    INAUZWA Nunua Bidhaa online kutoka china aliexpress TZ

    Top On Sale Product Recommendations! New Summer Girls Sandals Breathable Children Shoe Outdoor Non Slip Open Toe Beach Sandals Price Now: TZS 37842.17 (Original price: TZS 105113.66, 64% off) 🔗Click & Buy: Here on Aliexpress Tanzania From China #Aliexpress #Amazon #Christmas #shopping...
  19. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Nilijikuta napendwa sana kisa kusema ahsante kila ninunuapo bidhaa kwake

    Wakuu Ikumbukwe hakuna formula.Usiige na tusiigane. Niliwahi pendwa sana na muuza duka jinsia ya kike asee kisa na mkasa nilikuwa na tabia ya kusema ahsante sana kila anapo nihudumia. Ni umri wa makamo kiasi kwamba anaweza kuwa mama bila shaka kabisa. Huyu maza alinielewa sana akaona isiwe...
  20. Mad Max

    Ferrari wamezindua Ferrari F80, inayouzwa Tsh Billion 10.5 tu! Na ata kama unayo iyo pesa, huwezi nunua kwasababu yameshauzwa yote!

    Ni tabia ya Ferrari kuzindua racing-inspired supercar kila baada ya miaka 10, na last time 2013 tuliletewa Ferrari LaFerrari, na sasa mrithi wake amefika. Ferrari F80 ni supercar. Ni racing car. Ina DNA za Ferrari 499 na SF NB: Ferrari 499 ni hypercar iliyoshinda LeMans mara mbili. Na SF...
Back
Top Bottom