Zinatufaa hata sisi wazee?T900 Smartwatch + UltraPods Pro (🎁 Zawadi)
kwa Tsh. 28,000 tu.
View attachment 3303536
✅Delivery BURE Dar es Salaam!
✅Calls, Step counter, Music control, Fitness & Style!
⏳ Agiza sasa kabla stock haijaisha!
📲 WhatsApp 0764801907 / DM
28000 ama 280 000T900 Smartwatch + UltraPods Pro (🎁 Zawadi)
kwa Tsh. 28,000 tu.
View attachment 3303536
✅Delivery BURE Dar es Salaam!
✅Calls, Step counter, Music control, Fitness & Style!
⏳ Agiza sasa kabla stock haijaisha!
📲 WhatsApp 0764801907 / DM
Zinatufaa hata sisi wazee?
Weka picha zaidi ya saa mbona unaweka box au unataka kuuza mbuzi guniani28000 TZS mkuu sijakosea. Unahitaji uletewe Leo?
Mikoani vipi tunapataje tunapokea kwanza au unalipia moja kwa moja nahitaji hizo na podsView attachment 3306100View attachment 3306104Et Mbuzi guniani😂Hatufanyi hizo biashara aisee. Sisi mteja analipa baada ya kupokea Mzigo wake
Sawa hizo pods kampun ganiMkoani unalipia nauli kwanza inaazia 5000-10000 inategemea na mahali ulipo, then utalipia bidhaa baada ya kuipokea
Kwahiyo Haina kifaa chochote ata compass kunisaidia ninapo safiri?Hapana
Haina
Lete moja saa 12 kamili ntakua mitaa ya machinga complex tuwasilianeee sawa mida hiyo.
- Ndio inawafaa kabisa, Inakuonyesha mapigo ya moyo (Heart Rate), shinikizo la damu (Blood Pressure) na Oxygen ya mwilini (SpO2) — ili uwe na mtazamo wa awali wa hali yako muda wowote.
- Inahesabu hatua zako kila siku — kukuongezea motisha kufanya mazoezi na kutunza afya.
- Inakuwezesha kupokea simu, kusoma ujumbe na vikumbusho bila kutoa simu mfukoni!
- Unahitaji Uletewe Leo?
Unapatikana maeneo gani? Powaa ntakuchekSawa, nicheki kwenye namba 0764801907 ili nipate mawasiliano yako