nunua

  1. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni wapi naweza nunua domain?

    Habari wakuu, Naomba kujua ni wapi naweza nunua domain ya website na nikaimiliki mwenyewe. Naitaji iwe ya .co.tz Mfano www.dawati.co.tz Nataka ninunue moja kwa moja bila kupitia kwa developer kwa sababu nilishawai kuwa na website/blog lakini mwisho wa siku sikuweza kuwa na access ya moja kwa...
  2. The Humble Dreamer

    JamiiForums Tanzania Sukari madukani hamna, tatizo ni nini wakati tayari kuna bei elekezi toka Serikalini?

    Wakuu Salaam; Nimezunguka madukani kutafuta sukari ili nipate chai angalau nichangamke kipindi hiki cha mvua maana baridi ipo kweli huku duniani niliko, sasa kila duka naloingia naambiwa sukari hamna! Nimejaribu kwenda hadi maeneo ya stendi lakini bado sukari najibiwa hamna. Nimeamua ninywe...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tusaidiane! Kosa linakuwa wapi kununua mtandaoni?

    Wiki Iliyopita nimepigiwa simu na Rafiki yangu akihitaji msaada namna ninavyoweza kupata suluhisho ya jambo limetokea kwenye kampuni "Y" ambayo ni ya rafiki yake juu ya manunuzi waliyofanya mtandaoni. Case ilikua kama hivi, Kampuni Y ya Tanzania ilikua inahitaji kemikali yenye form ya powder...
  4. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kijana anayeanza maisha usinunue godoro nunua mkeka huo huo kiti huo huo kitanda

    Vijana wengi kuanza maisha hupata shida waanzaje. Tafuta elfu tano nunua mkeka huo huo utautumia Kama kiti Cha kukaaa wewe na wageni wako na hapo hapo ujautumia Kama kitanda kulala usiku.
  5. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Karibu mitambo ya solar zilizotengenezwa Marekani, inaletewa na TV-flat-screen-nchi19, 24, 32

    Hapo vip! Hii ni mitambo inayotengenezwa Marekani ni mitambo Bora na imara kuliko mitambo ambayo umeshawahi kutumia kutoka katika makampuni mbalimbali. sifa ya mitambo hii. -hata jua likiwa hafifu panel zake zinacharge betry kwa kasi kubwa. -Hata jua lisipo toka week nzima unapata umeme -Kila...
  6. Complex

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni wapi ninapoweza kununua engine kamili ya 1HZ na iliyo katika hali nzuri?

    Habari zenu wadau. Kama kichwa cha habari kinavyoonyesha. Ni wapi naweza pata engine ya 1HZ iliyo katika ubora mzuri. Pamoja na swala hilo la ununuzi, pia ningependa kufahamu mambo yafuatayo juu ya hiyo engine. 1. Bei yake inaweza range kiasi gani? 2. Ni vitu gani vya kuzingatia katika...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu unahitajika.

    Heshima kwenu wabobezi wa mambo haya. Naomba ushauri wenu kwenye kumiliki kati ya hizi gari mbili....ipi ni nzuri na nitaimudu? Binafsi nafanya kazi kwenye migodi, hivo ningelipenda kuwa na usafiri ambao ntadumu nao kwa muda mrefu unless mtu afike bei na kunivua. Land Rover RangeRover Evoque...
  8. jknhfdd

    JamiiForums Tanzania Tetesi: NAUZA APP NA GOOGLE play store account

    Anae hitaji app nauza nnazo mbili moja inausu group link za whatsapp nyingine inausu mambo ya vichekesho pia anae hitaji Google play account nauza bei maelewano nicheki pm tufanye biashara Quo
Back
Top Bottom