nunua

  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilijikuta napendwa sana kisa kusema ahsante kila ninunuapo bidhaa kwake

    Wakuu Ikumbukwe hakuna formula.Usiige na tusiigane. Niliwahi pendwa sana na muuza duka jinsia ya kike asee kisa na mkasa nilikuwa na tabia ya kusema ahsante sana kila anapo nihudumia. Ni umri wa makamo kiasi kwamba anaweza kuwa mama bila shaka kabisa. Huyu maza alinielewa sana akaona isiwe...
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ferrari wamezindua Ferrari F80, inayouzwa Tsh Billion 10.5 tu! Na ata kama unayo iyo pesa, huwezi nunua kwasababu yameshauzwa yote!

    Ni tabia ya Ferrari kuzindua racing-inspired supercar kila baada ya miaka 10, na last time 2013 tuliletewa Ferrari LaFerrari, na sasa mrithi wake amefika. Ferrari F80 ni supercar. Ni racing car. Ina DNA za Ferrari 499 na SF NB: Ferrari 499 ni hypercar iliyoshinda LeMans mara mbili. Na SF...
  3. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wazee wa First Car: Nunua Mazda Verisa chap chap kabla TRA hawajapandisha kodi!

    TRA Tanzania wametumwa kodi na sisi tunataka kuendesha vyuma kutoka Japan sio kwa Sossi Magari. Sasa kuna tabia ya hawa ndugu zetu kupandisha kodi ya gari maradufu wakiona uhitaji unakua mkubwa, nina mifano mingi ila naomba niwape miwili. Wa Kwanza Mwaka jana (2023) nilikua nasaidiana na...
  4. kingjohn255

    JamiiForums Tanzania Nunua gari unayoweza kuihudumia na sio gari uipendayo

    Watu wengi wamekuwa na utaratibu wa kununua gari wanazotamani kuwa nazo, lakini ukweli ni kwamba matumizi ya gari kuna muda ni makubwa kuliko uhalisia wenyewe, mimi kama muagizaji na muuzaji wa magari leo napenda kuwashauri jambo moja kuhusu fomula ya kutumia gari. Nunua gari ambayo unaweza...
  5. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania SOLD OUT: Nunua bia nne ujipatie ticket ya Simba Day

    Hii ndio ile Sold out tunayotamba nayo, unanunua bia 4 kisha unajipatia ticket ya bure ya Simba Day.
  6. Comrade Ally Maftah

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine za incubator zinauzwa

    CAM STORE INCUBATORS - KIATAMISHI MAYAI 60 / TREY 2 BEI 350,000 TU. SIFA ZA MASHINE ZETU. KITU CHA ZIADA UTAKACHOPATA KWETU. ■Elimu buree ya kitaalamu ya ufugaji. ■Usimamizi wa mradi wako. ■Utafutiwaji wa masoko ■Mayai ya kutest mashine ■Nakama haitoshi tutakupa zawadi kemu kemu...
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ukipata Hela Nunua Gari Kali, Mafundi na Spea tutajua uko uko..

    Kama uchumi unaruhusu, nunua chuma kali tu.. Mengine tutajua uko uko.. Na mafuta tujitahidi kuweka kutoka kwenye vituo vya mafuta vinavyoaminika.. Sema issue ndogo ndogo kama kuosha tujitahidi kupeleka car wash za uhakika ili kutunza rangi.. Na tusijenge hate, acha watu wapigaie picha chuma...
  8. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Nina Halotel CUG Line, nawezaje nunua vifurushi vya kawaida?

    Wakuu husikeni na kichwa hapo juu. Naomba muongozo wenu.
  9. Abubakari Mussa

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa TV pamoja na Friji

    Mdau umewahi kusikia kuhusu Tv guard ama Fridge Guard? "Bidhaa za Ulinzi wa TV na Jokofu: Kuweka Vifaa Vyako Salama na Imara! Je! Umewahi kuwaza jinsi ghafla umeme unavyozimika au kuwa na spikes za umeme zisizotarajiwa zinaweza kuathiri vifaa vyako vya umeme kama TV na jokofu? Ndiyo maana...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Wageni wanapewa vibali vya kununua ardhi Zanzibar na Tanganyika. Mtanganyika hawezi nunua ardhi Zanzibar. Mbona sielewi?

    Mamlaka ya Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imewakabidhi Raia wanne wa kigeni vibali na kadi za utambulisho wa kuishi Zanzibar na Tanzania kwa ujumla baada ya baadhi ya kanuni za uhamiaji kuruhusu Wageni walionunua nyumba Zanzibar zenye thamani ya dola laki moja za Kimarekani ( zaidi ya milioni 250 )...
  11. bezos2019

    JamiiForums Tanzania Nunua pakti moja ya vikombe 50 kwa Tsh. 8000/=

    0787 345 816 nipigie. Kwa 8,000/= tu unapata pakti ya vikombe 50. Nipigie kwa idadi yoyote ntakuletea, Dar ama mkoa wowote.
  12. salehe magari mazuri

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

    Price/Bei 15.7mls Cont: Bmw 3 Series ECY Year 2008 Cc 1990 Low Km 99000 Full Options✅ Sports & New Tyres Clean Condition 0688591584 Navunja Na Gari yoyote°° Location Dar es salaam
  13. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania TANESCO wameshindwa kujiendesha

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza naona ni muda muafaka wa kuuzia hili shirika wadau wa DP WORLD afu Bandari tukabaki nayo naona Tanesco wameshindwa kujiendesha. Bado tunawasha mishumaa na makoroboi 2023 kisa umeme hamna zaidi ya masaa 34 aibu TANZAGIZA.
  14. freelancer2302

    JamiiForums Tanzania Kuadimika kwa fedha za kigeni

    Jamani hii ishu ya dollar kutonunulika na wananchi popote kwenye taasisi zenye fedha imekaaje? Wapi tunaweza nunua?
  15. Vhagar

    JamiiForums Tanzania Nunua kitu kwa kuzingatia unahitaji nini hasa kutoka kwenye bidhaa husika

    Kama una pesa za kupoteza yaweza usijali sana. Wafanya biashara na watoa bidhaa wanafanya kila mbinu kuitaka pesa yako. Wana kila mitego ambayo usipoangalia unaweza kuwa mtumwa wa kununua vitu bila mpango. Matangazo kila station ya redio na tv kupamba bidhaa. Hii kesi hasa ni kwa bidhaa za...
  16. FlyingDutchman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nunua pipi mwaka 2023

    Nenda dukan nunua pipi mfuko mzma fanya mgao Kwa watoto ,isiwe mara Moja fanya Zaidi na Zaidi Kwa kifupi Kama wazitaka Baraka mwaka 2023 wafanye watoto wadogo kua na furaha You cant be happy kwenye hi dunia if you can't find excitement in small things Mwandishi mmoja maarufu amewai andika...
  17. Dr criminal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume usiye na kazi usipende!

    Mwanamke mmoja aje PM anielekeze kupika tambi.[emoji26 Out there wakuu, Jobless mwenzangu wakiume, mbususu chakata ila usipende. Jobless wa kiume sikiliza, mwanamke ukimtamani au kumpenda kula mbususu pita hivi, usijenge kibanda, usilete hisia bro, utanyonyoka vibaya sana, sana! Naongea na...
  18. Samatime Magari

    JamiiForums Tanzania 🚨Boni akauliza Hivi Mazda Atenza Upatikanaji wa Spear na Body parts ukoje, wajumbe wakamjibu Dunia ishakua Kijiji we nunua tu usiwaze..

    Hili jibu alipewa Bonilove wakati anataka kununua Mazda Atenza na Boni Bila hiyana akavuta mzigo na picha ndo likaanzia hapa,.. . Boni ni mkazi wa makao makuu ya nchi wenyewe wanapaita Dodoma na ni mmoja wa wasirikali waliotoka Dar wakaenda Dom Kikazi, Ni kijana flani mtu wa maji, misosi na...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inanunua magari ya Tsh 300M hadi 500M?

    Haya nayo ni majabu ya Tanzania. Pamoja na kwamba naunga mkono tozo lakini siungi mkono Serikali kununua magari ya kifahari. Magari ya kifahari tuwaachie watu binafsi na sio serikali. Kwenye hili tusilaumu Serikali iliyopo pekee hata Kikwete na Magufuli walitumia pesa vibaya sana na hasa...
  20. Beah

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nunua kiwanja chenye pagale Madale Flamingo sasa kwa bei ya milioni 40

    NUNUA KIWANJA CHENYE PAGALE MADALE FLAMINGO SASA KWA BEI YA MILIONI 40 MAZUNGUMZO YAPO KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA HATI. WAHI KABLA HAKIJAWAHIWA ●Kiwanja pamoja na nyumba kimepimwa ukubwa Sqm 800 ●Huduma za kijamii zote zipo karibu SIFA ZA PAGALE ●Vyumba 3 viwili ni self kimoja normal ●Jiko...
Back
Top Bottom