Nunua Azam hii ufurahie malipo nafuu

Nunua Azam hii ufurahie malipo nafuu

Jeorpa

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
372
Reaction score
223
Habari zenu wadau, ninauza Azam Dekoda kutoka Malawi
Dekoda hizi ni sawa na zilizopo Tanzania, ila zina baadhi ya vitu hasa gharama zake
Comparison:-
✓Dekoda pekee
Azam malawi Tsh 60,000
Azam Tv Tsh 55,000
✓Ofa
Azam malawi unapata mwezi 1 bure, package ya kufungua channel zote
Azam tz inakuaja bila kirushi, unatakiwa kununua kwa Tsh 28,000
✓Vifurushi
Azam Malawi
Kuna Tsh 4000, 8000, 11000 na Tsh 16000
Azam tz kuna Tsh 12000, 19000, 28000 na 38000
✓Mode of Payment
Azam tz unalipa mwenyewe through Mobile & Banking
Azam Malawi, unalipia online au nakusajilia line ya malawi unalipia mwenyewe na njia nyingine nakuipia mimi au Agent mwingine
Nipo Arusha, popote tunakutumia
Kwa maswali au huduma
Karibu inbox
 
Attachments

  • IMG_20250407_090753_264.jpg
    IMG_20250407_090753_264.jpg
    590.5 KB · Views: 38
Azam sports zipo
Kwenye kifurushi cha ofa channel zote unazipata, mwezi ukiisha ukitaka channel zote zionekane unalipa 16k
Ukilipa 8k au 11k unapata sport kuanzia 2,3 na 4 hupati 1
Karibu
 
Kwahiyo Azam Malawi wanatangaza kimalawi itqkuwaje
Ni Azam tu kama ya Tanzania kwa kila kitu except Mode of payment
Hakuna kimalawi may be wakati wa tamthilia ukitaka kimalawi unakiweka mwenyewe
 
Habari zenu wadau, ninauza Azam Dekoda kutoka Malawi
Dekoda hizi ni sawa na zilizopo Tanzania, ila zina baadhi ya vitu hasa gharama zake
Comparison:-
✓Dekoda pekee
Azam malawi Tsh 60,000
Azam Tv Tsh 55,000
✓Ofa
Azam malawi unapata mwezi 1 bure, package ya kufungua channel zote
Azam tz inakuaja bila kirushi, unatakiwa kununua kwa Tsh 28,000
✓Vifurushi
Azam Malawi
Kuna Tsh 4000, 8000, 11000 na Tsh 16000
Azam tz kuna Tsh 12000, 19000, 28000 na 38000
✓Mode of Payment
Azam tz unalipa mwenyewe through Mobile & Banking
Azam Malawi, unalipia online au nakusajilia line ya malawi unalipia mwenyewe na njia nyingine nakuipia mimi au Agent mwingine
Nipo Arusha, popote tunakutumia
0679625199
Kwa maswali au huduma
Kodi ndizoona zimenedzi?
 
Mulibwanji
 
Back
Top Bottom