nssf

NSSF
The National Social Security Fund (NSSF) is the government agency of Tanzania responsible for the collection, safekeeping, responsible investment, and distribution of retirement funds of all employees in all sectors of the Tanzania economy that do not fall under the governmental pension schemes.

The NSSF was founded in 1997 as the successor to the defunct National Provident Fund (NPF).
  1. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda COSASE Inspects Disputed NSSF Property in Temangalo

    Members of Parliament on the Committee on Commissions, Statutory Authorities and State Enterprises (COSASE) are inspecting a disputed 55-acre piece of land belonging to the National Social Security Fund (NSSF) in Temangalo, Wakiso District. The contested section, which includes an animal farm...
  2. S

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa NSSF wa mafao ya kukosa ajira haufanyi kazi zaidi ya wiki, na hawapokei maombi mkononi

    Habari za asubuhi members, NSSF wametambulisha mfumo (Online Application - NSSF Unemployment Benefits) ambao naona umekuwa ni kero kubwa hasa kwa waathirika wa ajira ambao wanafuatilia mafao ya kukosa ajira. Maombi yote hivi sasa yanafanyika online. Ajabu hiyo portal yao upande wa kulodge...
  3. M

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF, michango yangu imeenda wapi?

    HIvi karibuni NSSF walitangaza maboresho ya mfumo baada ya mfumo wa NSSF one portal kurejea niligundua pesa imekatwa na idadi ya michango imepungua je NSSF hili limekaaje
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwa utaratibu huu, tufunge safari kumuona DG wa NSSF?

    Mzee wangu amemaliza utumishi. Kafungua madai ya kukosa ajira NSSF Mwanza, june 01, 2026. Danadana zinazoendelea hapo, hata Pele hakuwahi zicheza. Hadi leo hajalipwa. Majibu ya mwisho yalikuwa kuwa asubiri mfumo wa NMB, umeleta usumbufu na hata jana ameelezwa hivyo na waheshimiwa sana ambao...
  5. JamiiForums Tanzania Nilikuwa sekta binafsi nimehamia serikalini, kuna namna naweza nikapewa michango yangu iliyopo NSSF?

    Wakuu salamu. Nilikuwa mwajiriwa wa sekta binafsi ambapo michango yangu ilikuwa ikienda NSSF, sasa nikafanikiwa kuhama huko mwaka 2023 nakuhamia serikalini ambapo mfuko wangun kwa sasa ni PSSSF. Lakini kule NSSF nina michango yangu, hivi nauliza kuna namna naweza nikapewa hiyo michango huko...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa NSSF hawatusaidii waajiliwa wa private sectors kupata stahiki zetu kutoka Kwa waajili wetu

    Hii changamoto ya wafanyakazi wa NSSF haswa wakaguzi wanaopewa majukumu ya kwenda kukagua katika taasisi mbalimbali kutotimiza majukumu Yao vizuri. Nimekumbwa na changamoto hii baada ya kupeleka malalamiko yangu katika Moja ya ofisi za NSSF zilizopo hapa Dar es salaam kwamba Kwa kipindi kirefu...
  7. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Malipo ya 'Special lumpsum' ya NSSF si ya haki

    Nimekuwa nikichangia fedha kwenye mfuko wa NSSF kwa zaidi ya miezi 88. Baada ya kuwasilisha madai ya kupata special lumpsum baada ya mkataba wa kazi kumalizika, nilipewa jumla ya kiasi kilekile nilichokuwa nimechangia bila nyongeza yoyote. Hali hii si sahihi. Je, mfuko hautumii fedha hizo...
  8. JamiiForums Tanzania RC Said Mtanda: Mkandarasi anayejenga Soko la Kirumba - CHINA RAILWAY GROUP ameanza kuingiza malipo ya NSSF ya Watumishi wake

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amefafanua hoja iliyotolewa na Mdau wa JamiiForums aliyelezea kuwa Mkandarasi raia wa China anayejenga soko hilo hawasilishi michango ya Wafanyakazi wake katika Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Mtaka amesema “Ukweli ni kuwa kampuni hii tangu kusajiliwa na...
  9. JamiiForums Tanzania RC Mtanda aagiza NSSF kufuatilia madai ya michango ya wafanyakazi wanaojenga Soko la Kirumba kutowasilishwa kwao

    Baada ya Mdau kuwasilisha kero yake kupitia JamiiForums kuwa licha ya kuwa wanakatwa pesa kwaajili ya mfuko wa hifadhi ya Jamii (NSSF), michango yao haifikishwi, na hata walioachishwa kazi nao hali yao ilikuwa hivyo na kuitaka mamlaka husika kufuatilia, RC Mtanda ametoa maagizo. Pia soma KERO -...
  10. M

    JamiiForums Tanzania NSSF Wanakaribia kuvunja ndoa yangu

    Nimefungua madai ya kulipwa mafao yangu baada ya miezi 18, nimefungua tarehe 23/4/2026. Nilipofika nikaambiwa malipo ni ndani ya mwezi mmoja tu. Baada ya hapo tarehe 1/5 nikakopa kwa riba laki 3 ili niweze kujikimu na familia, nikiamini tarehe 1/6 ntakuja nimelipwa. Cha ajabu tarehe 23/5...
  11. JamiiForums Tanzania NSSF: Msamaha wa Tozo za Madeni kwa Waajiri

    NSSF imetangaza msamaha kwa waajiri wenye malimbikizo ya michango na tozo kwa kuzingatia masharti yafuatayo; Waajiri watakaolipa malimbikizo yote ya michango ya wanachama (principal amounts) kabla au ifikapo 31 Agosti 2026, na kuendelea kulipa michango kwa wakati mpaka ifikapo 31 Desemba, 2026...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wafanyakazi wa Joshmal Hotel (Arusha) hatujalipwa mishahara wala kuwekewa NSSF kwa muda mrefu

    Naandika ujumbe huu kwa niaba ya wafanyakazi wenzangu wa Joshmal Hotel, Arusha, ili kuwasilisha changamoto kubwa tunayokabiliana nayo mahali pa kazi. Sisi wafanyakazi tumekuwa tukifanya kazi kwa muda wa zaidi ya miezi sita hadi mwaka mmoja bila kulipwa mishahara yetu. Zaidi ya hayo, hatujawahi...
  13. JamiiForums Tanzania Ushindi NSSF: Viwanja Vyafunguliwa kwa Wamiliki

    TUPUUZE UPOTOSHAJI WA WANAHARAKATI Eneo tajwa lina viwanja vilivyopimwa na kuuzwa tangu mwaka 2022 ila wamiliki hawakuweza kwenda kuviona na kuviendeleza kutokana na kesi iliyokuwepo Mahakamani dhidi ya NSSF, Kesi ambayo ilifunguliwa na wavamizi wa eneo hilo. Kutokana na kesi kukamilika Mwaka...
  14. M

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF ni wababaishaji kwa wanaofuatilia mafao baada ya kuondolewa kazini

    Nssf wamekua wababaishaji sana hasa kwa watu wanaofuatilia mafao baada ya kuondolewa kazini. Mimi ni muhanga wa jambo hili, nimeandika barua tangu tarehe 4/5/2026 branch ya Morogoro. Ajabu ni kua wanasema barua Yako na kiapo havionekani kwa hiyo nitafute vingine. Kabla nimekuwa nilipiga simu...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Dar: Janga la Barabara Tabata, mtaa wa NSSF

    Hali ya barabara katika mitaa yetu ya TABATA (NSSF) sasa imefika hatua ambayo si kero tena, bali ni janga la miundombinu linalohatarisha usalama, afya, na uchumi wa kila mkazi. Kama picha zinavyoonyesha, barabara ambazo ilipaswa kuwa kiunganishi cha familia zetu zimegeuka kuwa mashimo ya maji...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni inayofanyakazi katika Mradi wa MSD haiingizi malipo ya NSSF kwa Wafanyakazi wake

    Kuna ndugu yangu anafanya kazi Kampuni ya HAINAN INTERNATIONAL LTD kwenye mradi wa ujenzi wa Bohari ya Dawa (MSD) mkoani Geita, Wilaya ya Chato pembezoni mwa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato. Mradi tangu wameanza ni takribani miezi minne, unaenda mitano sasa lakini hakuna kuingiziwa fedha za...
  17. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda NSSF agrees with Museveni on investing savers' cash in road infrastructure

    The National Social Security Fund (NSSF) has revealed its readiness to invest savers’ funds in road infrastructure, a move aligned with the vision of Yoweri Kaguta Museveni to channel long-term capital into strategic national development projects. The proposal is aimed at supporting large-scale...
  18. JamiiForums Tanzania KERO NSSF punguzeni ubabaishaji

    Kuna jamaa yangu kanipa mkasa wake kilichomkuta Nssf alipoenda kufuatilia mafao yake. Nimeona niilete humu; Jamaa anasema miezi kadhaa huko nyuma alienda Nssf kwenda kufuatilia madai yake. Wakampa utaratibu wa kujaza. Wakamwabia aende stationary watamsaidia kufungua. Jamaa akaenda stationary...
  19. JamiiForums Tanzania Nawezaje kuchukua hela zangu zote NSSF?

    Heshima kwenu, Iko hvi, nime acha kazi mwezi wa 2 Kampuni flani hivi very formal, Sasa nahangaika kuchukua pesa NSSF wao wanadai sistaili kupewa pesa kisa mm ndo nimeacha kazi. Kuna 5M NSSF, Tuelekezane jamani wenye shortcut za kutoa hela NSSF. Nawasilisha
  20. JamiiForums Tanzania USHAURI: Jengo la NSSF Water Front linalotazama na Magufuli SGR Station linafaa kuwa Hoteli yenye hadhi ya Nyota Tano

    Habari Watanzania wenzangu naomba niende moja kwa mojakwenye hoja, nikiwa kama kijana wa kitanzania naomba niishauri serikali yangu kupitia menejimenti ya NSSF kufikiria upya matumizi ya jengo la NSSF Water Front, Jengo hili ni kati ya majengo bora kabisa kwa muonekano kwamaana ya designing na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…