KERO NSSF, michango yangu imeenda wapi?

KERO NSSF, michango yangu imeenda wapi?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

MnikoJr

New Member
Joined
Oct 30, 2019
Posts
2
Reaction score
0
HIvi karibuni NSSF walitangaza maboresho ya mfumo baada ya mfumo wa NSSF one portal kurejea niligundua pesa imekatwa na idadi ya michango imepungua je NSSF hili limekaaje
 
Nione kesho asubuhi ofisini kwangu
 
Kuna jamaa kasema hayo hayo..sijui kama walishamrekebishia
 
Back
Top Bottom