NSSF Wanakaribia kuvunja ndoa yangu

NSSF Wanakaribia kuvunja ndoa yangu

mpogorohalisi

Member
Joined
Jun 11, 2025
Posts
12
Reaction score
21
Nimefungua madai ya kulipwa mafao yangu baada ya miezi 18, nimefungua tarehe 23/4/2026. Nilipofika nikaambiwa malipo ni ndani ya mwezi mmoja tu. Baada ya hapo tarehe 1/5 nikakopa kwa riba laki 3 ili niweze kujikimu na familia, nikiamini tarehe 1/6 ntakuja nimelipwa.

Cha ajabu tarehe 23/5 nikaenda kuuliza kulikoni nikambiwa PSSSF hwajatoajibu kua kule ninachangia au la ili kujua labda Nina ajira serikalini. Nikafanya manuva yangu nikapata Mtu kule akaniambia nssf walijibiwa tangu tarehe 9/5.

Leo tarehe 8 nimeenda bado naambiwa majibu hayajarudi kutoka PSSSF. Baada ya kuwabana Sana ndio wananiambia kua meneja wa NSSF hayupo Kwa hiyo kibali ndio tunasubiria.

Hadi Sasa mke ameondoka maana aliyetukopesha amechukua kitanda na godoro na tv na vitu vingine ili kifidia Hela yake. Kiukweli NSSF ni wababaishaji kama Hela hamna mmepeleka mabwe pande mseme. Ndoa yangu inavunjika, naingia aibu. Naomba serikali itoe tamko katika hili
 
hana sifa ya kuwa mwanamke uyo

au ulifunga nae ndoa ya mkeka?
kanisani na misikitini tunakubaliana kwa shida na raha
sasa inakuwaje kwenye shida mwanamke anakukimbia?

muache aende ukimrudisha ndio unajiongezea shida zaid sababu uko alipo saa hz anazid kutengeneza chain ya wanaume wengine

pumbavu sana uyo mwanamke japo ni mke wako
 
Meneja anahusika vipi kutoa kibali
Wakati kila kitu kinaenda Kwa mtandao?
Kama umeshaweka dole gumba Wana subiri nini?.
Hao Wana dharau
 
Mungu akusaidie upite katika Hali hiyo ngumu jamani.
Aliyekukopesha ni katili sana kiukweli.
 
Pole mzee Baba, haki ya mtu inaweza kuchelewa lakini kamwe haipotei
 
Ikifia hapa huwa naamini Malawi mwanaume ni Hamza wa Mbowe tu.
Pesa ya kwangu unipangie muda wa kuichukua, kweli?
 
Ndoa ikivunjika wafungulie mashtaka mahakamani wakulipe fidia
 
We nae jau sanaa..unakopa kwa kupewa ahadi tena kweny hii mifuko ya kijamii ambayo imejaa fitna,rushwa, wiz?ulikosea sana
 
Back
Top Bottom