Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 763
- 685
TUPUUZE UPOTOSHAJI WA WANAHARAKATI
Eneo tajwa lina viwanja vilivyopimwa na kuuzwa tangu mwaka 2022 ila wamiliki hawakuweza kwenda kuviona na kuviendeleza kutokana na kesi iliyokuwepo Mahakamani dhidi ya NSSF, Kesi ambayo ilifunguliwa na wavamizi wa eneo hilo.
Kutokana na kesi kukamilika Mwaka huu 2026 na kuipa ushindi NSSF sasa wamiliki wanaweza kwenda kuona maeneo yao kufuatia kutoka kwa TANGAZO hili.