njia

Tao-Njia is a studio album by American jazz trumpeter Wadada Leo Smith which was recorded in 1995 and released on the Tzadik Records' Composer Series.

View More On Wikipedia.org
  1. V

    JamiiForums Tanzania Ni njia ipi nzuri ya kuuza vitabu/courses na muziki online nikiwa Tanzania?

    Pamoja na kwamba mimi ni mgeni humu lakini naomba kupata mawazo juu ya uchapishaji kazi za sanaa online hususani vitabu, njia ambayo inaonekana sasa kuwa mkombozi kwa watunzi wengi tofauti na zile zama za giza ambazo ilimpasa mtu apige kwanza magoti kwa makampuni makubwa ndipo kazi yake iweze...
  2. JamiiForums Tanzania Unatumia njia gani kuzuia watu wasichafue jengo lako ambalo halijakamilika (pagale)

    Hii tabia inakera sana wakuu, mnatumia njia zipi kuzuia hawa wakurungwa wanaojisaidia kwenye majengo yenu ambayo hayajakamilika? Iliniuzunisha sana wakuu, nimeingia kwenye pagale langu nakuta watu wamegeuza choo
  3. JamiiForums Tanzania Mwakalebela aiomba msamaha na kuisifia TFF ya Karia, aiweka njia panda Yanga

    Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, ndugu Fredrick Mwakalebela ambaye amefungiwa kutojihusisha na masuala ya soka nchini kwa kipindi cha miaka mitano pamoja na kutozwa faini ya sh. milioni saba, amekiri kufanya makosa na kuiomba radhi TFF kwa yale aliyotamka hadi yakapelekea kupewa...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Utapeli kwa njia ya mtandao

    Habari wadau wa jamiiforums Naomba nikiri kuwa Mimi nimuathirika wa wa utapeli kwa njia ya mtandao. Mnamo tarehe tatu mwezi Juni 2021, nilipgiwa simu na mtu ambaye alikuwa kwenye ofisi yangu(mfanyakazi wangu) kuwa Kuna mtu alikuwa na uhitaji wa maalumu kutokana na na yeye kuumwa. Akaomba atoe...
  5. JamiiForums Tanzania Kati ya njia hizi za wanawake kuonesha hasira ungempenda mwanamke yupi?

    Wakina mama wana Njia tatu ta kuonesha Hasira. 1. Silence 2. Crying 3. shouting. Ni yupi kati ya hawa ungependa awe mwenzi wako?
  6. JamiiForums Tanzania Wanadiplomasia wachanga wanapatikana kwa njia gani?

    Vyuo vikuu kunakuwaga na matawi ya vyama vya siasa kama vile CCM na CHADEMA na ndio sehemu ambazo wanasiasa wachanga wanapatikana. Je, wanadiplomasia wachanga wanapatikana wapi kwa maana mwanadiplomasi ni mwanasiasa aliyestaarabika na sio mtu wa kuropoka majukwaani kama vijana wa CCM na CHADEMA...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ni bora kutumia njia nyepesi kupambana na corona kabla hatari kuwa kubwa na kulazimika kutumia njia ngumu

    Janga la COVID-19 limesababisha vifo vyamaelfu kwa mamilioni ya watu nchini China naduniani kwa ujumla, na hadi sasa ugonjwa huubado unaendelea kusomba maisha ya watu katikanchi mbalimbali ambapo serikali zimeghumiwana kutojua la kufanya kutokana na kuzidiwa amakushindwa kuudhibiti kwa urahisi...
  8. JamiiForums Tanzania Kama umewahi kupona maumivu ya misuli, mishipa, magoti na kiuno kwa njia asilia, naomba msaada

    Tafadhali naomba unijuze Ili kupona ulitumia mimea ipi Kwa kiasi kipi Na matokeo ya kupona hilo tatizo yalitokea ndani ya siku ngapi? Na huo mmea unapatikana mkoa upi,wilaya ipi,au maeneo yepi?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Unashauri njia gani sahihi kupita kati ya hizi tatu zenye kero?

    Mwendo ni mrefu na inatakiwa upite kila siku njia hiyo hiyo: kutoka Mji (A ) kwenda kula JIJI (B). Zingatia; (Hairuhusiwi kwenda kwa miguu, pikipiki wala bajaji) (Njia ya kwanza ni Lami yenye Foleni): Kutoka sehemu (A) kwenda (B) kuna barabara ya lami, lakini imejaa magari mengi na inafoleni...
  10. JamiiForums Tanzania Naamini njia hii unaweza kuwaleta watu wengi zaidi kwenye Uislamu kuliko njia anazo tumia Prof. Mazinge

    Prof. Sheikh Habib ibn Othman ibn Mazinge amefanya Kazi kubwa Sana ya kuhubiri uislamu katika ukanda huu wa Afrika mashariki na kuwaleta watu wengi katika uislamu. Anahitaji pongezi kubwa Sana However ipo njia moja ambayo umma wa kiislamu una I underrate. Njia hii ikitumika inaweza kuwafanya...
  11. JamiiForums Tanzania TANESCO wapata hitilafu katika mfumo wa kununua umeme wa LUKU

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA MANUNUZI YA LUKU KWA BAADHI YA WATEJA Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi wateja wake kutokana na hitilafu iliyotokea kwenye mfumo wa manunuzi ya umeme wa LUKU siku ya Jumatatu, Mei 17, 2021 na kusababisha baadhi ya wateja kushindwa kununua...
  12. JamiiForums Tanzania Kulinganisha Njia Mbalimbali za Kupata Elimu

    NGAZI YA ELIMU (1) UFUNDI STADI (2) UFUNDI (3) VYUO VIKUU (4) UTAALAMU (5) ELIMU HAINA MWISHO 10 Shahada ya Uzamivu Shahada ya Uzamivu <<=== 9 Shahada ya Uzamili Shahada ya Uzamili Cheti cha Utaalam Ngazi ya 4 (Utaalamu Bingwa 2) <<=== 8 Shahada ya Kwanza Shahada ya Kwanza...
  13. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo njia ya uhakika ya kuongeza mshahara wako

    Je wewe ni mwajiriwa lakini mshahara unaoupata hautoshelezi kuyaendesha maisha yako? Je umekuwa kwenye ajira kwa miaka mingi, lakini kikubwa ulicho nacho ni madeni na mishahara haikutani? Je mwajiri wako amekuwa hakuongezi mshahara licha ya gharama za maisha kupanda? Na je ungependa kuwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Barabara ya Morocco - Mwenge imetanuliwa ila njia zimepungua toka 5 hadi 4

    Baada ya pesa za sherehe za Muungano kutumika kuitanua barabara hiyo toka njia 3 hadi 5, kuna ujenzi mwingime wa kimiujiza sana naona umetokea hapo. Baada ya mabilioni ya kutosha kumwagwa hapo kuitanua barabara hiyo, sasa njia za magari zimepungua toka njia 5 hadi 4, muujiza gani huu...
  15. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Bukoba imemwachia huru aliyekuwa mgombea Ubunge Bukoba Mjini (CHADEMA), Chief Kalumuna na wenzake 6

    Tulionya Mapema sana kwamba Shetani hajawahi kumshinda Mungu katika lolote , na nadhani hata nyinyi wenyewe ni mashahidi, wote waliojipa uungu Mtu na kujimwambafai wanazidi kupukutika huku wengine wakiwa njiani. Video hii inaonyesha umati wa watu wa Bukoba wakishangilia baada ya aliyekuwa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Serikali iwatazame vijana hawa katika ajira

    Natanguliza salamu ya Amani na upendo wangu kwenu wote pia nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Baadhi ya viongozi wamekuwa wakisema vijana waliosoma wachangamkie fursa za kujiajiri kwa kulima ,kufuga kuku,kuuza machungwa na biashara nyinginezo ili waweze kujiajiri na...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Kikwete asema Profesa Benno Ndulu ndiye aliyeleta utaratibu wa malipo ya fedha kwa njia ya simu

    Dar es Salaam. Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete amesema gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu ndiye aliyetoa fursa kwa mitandao ya simu kuanza kutoa huduma za kifedha hapa nchini. Kikwete aliyasema hayo Aprili 22 nchini Marekani wakati wa majadiliano maalumu...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa China na Afrika wa “Ukanda Mmoja Njia Moja” wapaswa kulindwa sio kudhalilishwa

    Gazeti la Financial Times la Uingereza limetoa makala likilitilia mashaka Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” BRI na kusema uwekezaji wa China katika sekta ya miundombinu barani Afrika “unakaribia kukauka”. Makala hiyo pia imemnukuu afisa mmoja wa Afrika Kusini akisema nchi za Afrika...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania TRA na Wizara ya Biashara tumieni njia hizi kukusanya kodi. Kila mwananchi lazime atalipa kodi na nchi itapaa kiuchumi

    Heri ya sikukuu ya Muungano, Nimewaza namna ya kila mwananchi kulipa kodi bila shurti. Yani ni hivi.Ondoa cash mitaani then kila mwananchi alipie bidhaa kwa mitandao ya simu ( M pesa,halopesa,Tigo pesa,aitel money, ttcl pesa,nk) na mitandao ya bank ( simbaking). I tell this is the only...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi za kupeleka hela katika mifuko ya Watanzania wote

    Kwa kipindi cha miaka mitano asilimia kubwa ya watanzania katika ngazi mbalimbali yaani kuanzia ngazi ya wafanyakazi wa sekta binafsi , wamiliki wa sekta binafsi, wafanyabiashara, watumishi wa umma, wajasiriamali mpaka wanafunzi wa vyuo vya Juu makundi yote haya ilikuwa kila kukicha kauli kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…