Ikiwa sasa unatumia saa 17 hadi 20 angani kwa ndege kusafiri umbali mrefu mataifa kwa mataifa!
Ipo siku wataalam watafanikisha kupata njia nyepesi ya kuitembelea dunia kwa muda mfupi sana wa dakika 20 hadi 25 tu
Nitaieleza dunia kwa mfano wa chungwa!
Kama tulivyowahi kujifunza huko zamani shule...
Siku ya jana, leo na sijui hiyo kesho itakwendaje. Napitia msongo mkubwa sana wa mawazo, najaribu kujiliwaza na kujifariji pamoja na kujichanganya na watu ila nikikaa kidogo na kufikiri najikuta narudi katika huzuni na mfadhaiko wa nafsi. Sio siri nakosa raha na hamu ya vitu vingi naomba mbinu...
Mama katika Baraza lake hamna mtu ambaye hamuelewi Kama dogo janja. Sio kwamba hampendi bali ni uwezo wake mdogo na kupenda rushwa.
Mama ana wasiwasi Sana na dogo janja. Mpaka mama alikuwa anamwambia mdau wake mmoja kuwa Nina wasiwasi Sana Kama hili bwawa litaweza kuzalisha hata uniti moja...
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetambulisha mfumo wa usajili wa watu kwa njia ya mtandao utakaowezesha wananchi wenye sifa za kuomba vitambulisho vya taifa kwa kujaza fomu mtandaoni.
Waombaji wa awali watajaza fomu mahali popote walipo bila kulazimika kwenda ofisi za usajili za...
Mungu katuumba sisi wanadamu Kwa akili tena Kwa mfano wake, na hii iko bayana ya kwamba mara kadhaa anatukaimisha majukumu yake, na ametupa uwezo huo sio kwa bahati mbaya.
Mungu katuleta hapa duniani kwa kusudi kubwa sana, hapa tulipo tunapoishi kama miungu wenye umungu ndani yetu kila hatua...
Venezuela!
Mungu anatumia vitabu/maandishi kufikisha ujumbe wake, iwe kupitia biblia au Quran.
Tatizo la hii njia ni kuwa inategemea utafsiri/enterpretation ya binadamu.
Tatizo la binadamu ni kuwa tunatofautiana uelewa na uwezo wa kutafsiri.
Unaweza kuchukua wanazuoni wawili wote wenye elimu...
Nianze KWA ku declare interest nimezaliwa katika familia ya kiislamu. Katika maisha yangu halisi najulikana kama muislamu. Familia yangu inanitambua kama Muislamu.
Lakini ndani ya nafsi yangu nilisha uvua utambulisho wa uislamu toka enzi za Pontyo wa Pilato.
Niliamua kuachana kabisa na mambo...
Baada ya kukataliwa na wanawake wote nilio-waaproach, finally niliamua kutumia surrogate ili kujenga familia upinzani ulikua mgumu Ila finally nimefanikiwa Ila ndio hivyo watoto hawatakua na mama sababu mbegu za kike nilinunua
Life is good kama ukikubali ukweli kwamba love relationship is not...
Karibu 80% ya magonjwa yanayosababishwa na viini husambazwa kwa njia ya mikono kwa mujibu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa Nchini Marekani (Centers for Disease Control and Prevention - CDC).
Ni kwanini vimelea ni viumbe hatari sana?
Kiini ni kiumbe kidogo sana kinachoweza kusababisha...
Baada ya jiji la dodoma kubadilisha route za daladaka zinazotoka saba saba kwenda mipango nkuhungu n.k kumekuwa na msongamano mkali sana mida ya jioni maeneo ya darajani kuelekea hii round about njia ya kuelekea mza kwa sbb malori mabus yote yanayoenda mza burundi kigoma dar n.k hupita hapo...
Mheshimiwa Mkuu wa Chuo
Kwa heshima na taadhima, pia kwa unyenyekevu mkubwa,ninaomba niwasilishe taarifa kumhusu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kwa minajili ya kuifahamisha hadhira hii kwa nini mwisho wa maelezo haya nitakuomba umtunuku Shahada ya...
Katika baadhi ya jamii za Kiafrika, farasi anapougua hadi kukaribia kufa, anatafutwa mwanamke ambaye amemjua na amekuwa na mwanamume mmoja tu katika maisha yake humruka huyo farasi na hupona.
Angalia kipande hiki cha sinema hapo chini.
Wana JF
Ukimwona kwa macho ya kurukaruka unaweza ukadhani Msukuma na Gwajima ni ndugu lakini hawana ubini kabisa japokuwa wote ni kabila moja la kanda ya ziwa. Katika harakati za kutafuta pesa wamejituma haswa na baada ya kufanikiwa bila kujari viwango vyao vya elimu wakajongea kwenye siasa...
Habari zenu wanaJf, poleni na miangahiko yakusukuma gurudumu la maisha. Napenda nitangulize radhi kwenu kwa matatizo ya kiuandishi yatakayo jitokeza katika uandishi wangu.
Ndugu zangu kama nilivyo taadharisha hapo juu. kunawizi unaendelea Na Ndugu yangu kakutana na hii adha.
Tukio lenyewe...
Binadamu ameumbwa kwa upekee unaomfanya kila mmoja kujuona kwa namna yake. Hitaji kubwa la mwanadamu ni uhuru dhidi ya kila kitu.
Taasisi nyingi zilizopo leo kwa upekee wake zina mazingira ya kupora uhuru na kujenga mazingira ya hofu kwa mwanadamu ili aweze kutawalika.
Baadhi ya maandiko ya...
Baada ya kula buyu siku sio nyingi nilifuatilia chanzo na kugundua ABS module imeziba kwenye njia moja na kupelekea gari kutopeleka hydraulic kwenye mguu wa kushoto mbele. Hivyo ililock brakes upande mmoja na hatimae gari ikapiga u turn ya maana.
Je, naomba kujua kwamba hiki kidude kinaweza...
Waziri wa Ujenzi Profesa Mbarawa ameyasema hayo akizungumza na wadau wa sekta ya usafirishaji jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi la leo ni Kwambaza barbara hiyo itajengwa kwa utaratibu wa BOT yaani JENGA, ENDESHA, RUDISHA.
Ujenzi huo utaanza APRILI 2023.
Barabara hiyo ya...
Nasikia huko Zanzibar kimeumana!
Sijajua Othman Masoud na Rais Mwinyi kama wanatazamana usoni kwa sasa. Masoud anaonekana ni mtata sana hata akiwa ofisini sijajua anamshauri vipi Rais Mwinyi.
Kilichopo kwa ACT wamshukuru Maalim Seif kwa heshima yake suk imekuwepo. Hiyo haimaanishi CCM...
Ikiwa unatatizika kupata wakati mzuri na familia yako kwa sababu ya tabia zao zenye kuumiza, usijali, hauko peke yako.
Kutoka kwenye migogoro ya kila mwaka hadi migongano ya utu, na famili zisizofurahi kuwa pamoja. Hapa kuna vidokezo 8 vya kustahimili tabia wanafamilia wenye tabia za kukera...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.