Kila kukicha watu wanaibiwa akiba ya pesa yao na hawa scammers kama Qnet, Scatec, eKyalinda, Mr.Kuku, Global motion Alliance nk

Jebel

JF-Expert Member
Jul 10, 2021
326
2,155
Nipo kijiji cha Muruvyagira, wilaya ya Ngara njooni mnipige.

Mamillioni ya fedha ambayo yamesombwa na yanaendelea kusombwa na haya “makampuni ya kimataifa” kama wajinga wanavyoyaita kwa kujitapa ni ushahidi kuntu kwamba asilimia kubwa ya watanzania tuna uwezo finyu sana wa kupembua na kung’amua mambo kiyakinifu(critical thinking and evaluation).

Just imagine kila kukicha watu wanaibiwa akiba ya pesa yao na hawa scammers kama Qnet, Scatec, eKyalinda, Mr.Kuku, Global motion Alliance, ongezeni na mengine na mengine lakini bado watu akili yao imefungwa. Huu ni uthibitisho kwamba uwezo wetu kufikiri ni mdogo sana tena sana.

Sasa jambo la kushangaza kupita yote ni kwamba ukifanya uchunguzi utagundua kwamba 99% kama siyo 100% ya watu wanaoibiwa kila leo ni wasomi na wengi wao ni social workers wetu. Hii ni hatari sana, it’s dangerous!

Nadhani shida kubwa sana ipo kwenye mfumo wetu wa elimu. Elimu tunayopata ni ya kutukaririsha na siyo kutujengea uwezo wa kuchambua na kuhoji mambo magumu. Tafsiri ya mtu “genius” kwa Tanzania ni mtu anayeweza kukariri mambo na ya kuyarudia kwenye mitihani. Hii ndo primary objective na methodolojia ambayo shule nyingi binafsi zinatumia kama pedagojia ya kuwafaurisha wanafunzi wengi ambao in turn ndo hawa wanaoibiwa kila leo. Hili tuachane nalo!

Uthibitisho mwingine unaothihirisha kwamba watanzania wengi Uwezo wetu wa kufikiria ni mdogo sana ni huu. Nitatoa mfano wa rafiki yangu mmoja ambaye nilifanya naye kazi nchini Ujerumani hadi katikati ya mwaka huu. Huyu bwana ana mke na watoto watatu nchini Tanzania, yeye yuko nje. Sasa anakwambia kila mwezi anatuma pesa ya matumizi kwa ajili ya mke na watoto. Mwanamke yule anachukua zaidi ya nusu ya pesa yote na kumpelekea “prophet” au “nabii”. Trust me kuna watanzania wengi wenye Uwezo mdogo wa kufikiri kama huyu mwanamke.

Nikiangalia jinsi tunavyofanya kazi tukiwa nje ya nchi, jinsi tunavyokuwa regarded na ngozi nyeupe na zaidi tunavyokuwa mistreated halafu mjinga mmoja anachukua pesa unayotuma kwa ajili ya family support na kumpelekea “mtume” au “apostle” ili apewe leso nyeupe au mafuta ya “mico” kama siyo korie au safi, au apewe mshumaa, au maji aise....Huu ni ushahidi kwamba Uwezo wa watanzania kufikiri ni finyu sana.

Additionally, ndani ya ardhi ya Tanzania, padre anaweza kubaka au kutembea na watoto wadogo na wake za watu, sheikh anaweza kufanya hivyo, mchungaji na mwinjilisti anaweza kuua au kulawiti pia, lakini bado utakuta msikiti, sinagogi au kanisa limejaa na ukijaribu kuhoji unaweza kuonekana mbaya na watu watakuchukia. Huu ni ushahidi wa kiithibati kwamba watanzania wengi tuna Uwezo mdogo sana wa kufikiri.

Watanzania wanaweza kunyanyaswa, kutukanwa, kudhihakiwa na kubezwa na mtu ambaye wao wenyewe wamempatia dhamana ya kuwawakilisha; mfano mbunge au waziri kwa kuwambia kama wanachukizwa na maamuzi yake basi wahame nchi waende nchi zenye vita yaani logically waende sehemu isiyosalama wakauliwe mbali kwani hawana thamani wala maana yoyote lakini cha kushangaza wao wanaona ni sawa na mtu huyu anashangiliwa na kupigiwa vifijo na nderemo. Ukiwambia hiyo siyo Sawa lazima wewe uonekane mjuaji na unadharau viongozi. Hii inadhihirisha wazi kwamba Uwezo wetu watanzania wa kifikira ni mdogo sana.

Mtu anayejaribu kuwasaidia watanzania kwa kuwaonyesha hii siyo Sawa lazima kwa wengi aonekane mbaya, atatukanwa na hata kuombewa umauti kama siyo kuuliwa kabisa.

Ain’t surprised to see a plenty of threads against the genuine and honest man who sacrificed his life to show us what’s right and what’s wrong.

Rest In Peace “my hero”. You’ll always be in my heart.....JPM.

Aquila non capit muscas!
 
Na kutokana na upeo wao mdogo wa kufikiri, hata hapa umewaeleza ukweli mtupu ila kitendo cha kumtaja JPM tayari waweza kuambulia matusi kutoka kwa haohao wenye Low thinking capacity.

You’re right, however, I don’t care.
 
Mbona nimetumia nafsi ya kwanza wingi ndugu. Halafu nimesema 99% wewe upo kwenye hiyo 1%.
sawa mkuu mimi nimeaminishwa mtoto wa ng'ombe ni ng'ombe hivyo tutaendelea kupigwa au wewe unamaarifa ya kutatua tatizo hili mkuu tusaidizane
 
Uliyosema yapo hata kwenye nchi zilizoendelea.

Kuna scammers wengi Marekani than there will ever be in TZ.

Padre/pastor/sheikh kufanya makosa hakufanyi kanisa zima au msikiti uchafuke.
 
Typically Tanzanian
 
Nipo kijiji cha Muruvyagira, wilaya ya Ngara njooni mnipige.

Mamillioni ya fedha ambayo yamesombwa na yanaendelea kusombwa na haya “makampuni ya kimataifa” kama wajinga wanavyoyaita kwa kujitapa ni ushahidi kuntu kwamba asilimia kubwa ya watanzania tuna uwezo finyu sana wa kupembua na kung’amua mambo kiyakinifu(critical thinking and evaluation).

Just imagine kila kukicha watu wanaibiwa akiba ya pesa yao na hawa scammers kama Qnet, Scatec, eKyalinda, Mr.Kuku, Global motion Alliance, ongezeni na mengine na mengine lakini bado watu akili yao imefungwa. Huu ni uthibitisho kwamba uwezo wetu kufikiri ni mdogo sana tena sana.

Sasa jambo la kushangaza kupita yote ni kwamba ukifanya uchunguzi utagundua kwamba 99% kama siyo 100% ya watu wanaoibiwa kila leo ni wasomi na wengi wao ni social workers wetu. Hii ni hatari sana, it’s dangerous!

Nadhani shida kubwa sana ipo kwenye mfumo wetu wa elimu. Elimu tunayopata ni ya kutukaririsha na siyo kutujengea uwezo wa kuchambua na kuhoji mambo magumu. Tafsiri ya mtu “genius” kwa Tanzania ni mtu anayeweza kukariri mambo na ya kuyarudia kwenye mitihani. Hii ndo primary objective na methodolojia ambayo shule nyingi binafsi zinatumia kama pedagojia ya kuwafaurisha wanafunzi wengi ambao in turn ndo hawa wanaoibiwa kila leo. Hili tuachane nalo!

Uthibitisho mwingine unaothihirisha kwamba watanzania wengi Uwezo wetu wa kufikiria ni mdogo sana ni huu. Nitatoa mfano wa rafiki yangu mmoja ambaye nilifanya naye kazi nchini Ujerumani hadi katikati ya mwaka huu. Huyu bwana ana mke na watoto watatu nchini Tanzania, yeye yuko nje. Sasa anakwambia kila mwezi anatuma pesa ya matumizi kwa ajili ya mke na watoto. Mwanamke yule anachukua zaidi ya nusu ya pesa yote na kumpelekea “prophet” au “nabii”. Trust me kuna watanzania wengi wenye Uwezo mdogo wa kufikiri kama huyu mwanamke.

Nikiangalia jinsi tunavyofanya kazi tukiwa nje ya nchi, jinsi tunavyokuwa regarded na ngozi nyeupe na zaidi tunavyokuwa mistreated halafu mjinga mmoja anachukua pesa unayotuma kwa ajili ya family support na kumpelekea “mtume” au “apostle” ili apewe leso nyeupe au mafuta ya “mico” kama siyo korie au safi, au apewe mshumaa, au maji aise....Huu ni ushahidi kwamba Uwezo wa watanzania kufikiri ni finyu sana.

Additionally, ndani ya ardhi ya Tanzania, padre anaweza kubaka au kutembea na watoto wadogo na wake za watu, sheikh anaweza kufanya hivyo, mchungaji na mwinjilisti anaweza kuua au kulawiti pia, lakini bado utakuta msikiti, sinagogi au kanisa limejaa na ukijaribu kuhoji unaweza kuonekana mbaya na watu watakuchukia. Huu ni ushahidi wa kiithibati kwamba watanzania wengi tuna Uwezo mdogo sana wa kufikiri.

Watanzania wanaweza kunyanyaswa, kutukanwa, kudhihakiwa na kubezwa na mtu ambaye wao wenyewe wamempatia dhamana ya kuwawakilisha; mfano mbunge au waziri kwa kuwambia kama wanachukizwa na maamuzi yake basi wahame nchi waende nchi zenye vita yaani logically waende sehemu isiyosalama wakauliwe mbali kwani hawana thamani wala maana yoyote lakini cha kushangaza wao wanaona ni sawa na mtu huyu anashangiliwa na kupigiwa vifijo na nderemo. Ukiwambia hiyo siyo Sawa lazima wewe uonekane mjuaji na unadharau viongozi. Hii inadhihirisha wazi kwamba Uwezo wetu watanzania wa kifikira ni mdogo sana.

Mtu anayejaribu kuwasaidia watanzania kwa kuwaonyesha hii siyo Sawa lazima kwa wengi aonekane mbaya, atatukanwa na hata kuombewa umauti kama siyo kuuliwa kabisa.

Ain’t surprised to see a plenty of threads against the genuine and honest man who sacrificed his life to show us what’s right and what’s wrong.

Rest In Peace “my hero”. You’ll always be in my heart.....JPM.

Aquila non capit muscas!
Kwa kweli hoja hii imekuja wakati mwafaka kabisa ambapo akina mama wengi sana na akiana baba wachache wanachukua akiba yao ya kuwanusuru wao na familia zao kupeleka na kuwakabidhi manabii,mitume na wachungaji makanisani ili waombewe na wapate zaidi ya hivyo walivyovittoa.Huu sasa hivi ni MSIBA.
 
Huku kimara hadi kibamba hakuna hata banda barabarani tujikinge na jua na mvua , tumeachwa kama Nguruwe poli na watoto wetu.
 
Nipo kijiji cha Muruvyagira, wilaya ya Ngara njooni mnipige.

Mamillioni ya fedha ambayo yamesombwa na yanaendelea kusombwa na haya “makampuni ya kimataifa” kama wajinga wanavyoyaita kwa kujitapa ni ushahidi kuntu kwamba asilimia kubwa ya watanzania tuna uwezo finyu sana wa kupembua na kung’amua mambo kiyakinifu(critical thinking and evaluation).

Just imagine kila kukicha watu wanaibiwa akiba ya pesa yao na hawa scammers kama Qnet, Scatec, eKyalinda, Mr.Kuku, Global motion Alliance, ongezeni na mengine na mengine lakini bado watu akili yao imefungwa. Huu ni uthibitisho kwamba uwezo wetu kufikiri ni mdogo sana tena sana.

Sasa jambo la kushangaza kupita yote ni kwamba ukifanya uchunguzi utagundua kwamba 99% kama siyo 100% ya watu wanaoibiwa kila leo ni wasomi na wengi wao ni social workers wetu. Hii ni hatari sana, it’s dangerous!

Nadhani shida kubwa sana ipo kwenye mfumo wetu wa elimu. Elimu tunayopata ni ya kutukaririsha na siyo kutujengea uwezo wa kuchambua na kuhoji mambo magumu. Tafsiri ya mtu “genius” kwa Tanzania ni mtu anayeweza kukariri mambo na ya kuyarudia kwenye mitihani. Hii ndo primary objective na methodolojia ambayo shule nyingi binafsi zinatumia kama pedagojia ya kuwafaurisha wanafunzi wengi ambao in turn ndo hawa wanaoibiwa kila leo. Hili tuachane nalo!

Uthibitisho mwingine unaothihirisha kwamba watanzania wengi Uwezo wetu wa kufikiria ni mdogo sana ni huu. Nitatoa mfano wa rafiki yangu mmoja ambaye nilifanya naye kazi nchini Ujerumani hadi katikati ya mwaka huu. Huyu bwana ana mke na watoto watatu nchini Tanzania, yeye yuko nje. Sasa anakwambia kila mwezi anatuma pesa ya matumizi kwa ajili ya mke na watoto. Mwanamke yule anachukua zaidi ya nusu ya pesa yote na kumpelekea “prophet” au “nabii”. Trust me kuna watanzania wengi wenye Uwezo mdogo wa kufikiri kama huyu mwanamke.

Nikiangalia jinsi tunavyofanya kazi tukiwa nje ya nchi, jinsi tunavyokuwa regarded na ngozi nyeupe na zaidi tunavyokuwa mistreated halafu mjinga mmoja anachukua pesa unayotuma kwa ajili ya family support na kumpelekea “mtume” au “apostle” ili apewe leso nyeupe au mafuta ya “mico” kama siyo korie au safi, au apewe mshumaa, au maji aise....Huu ni ushahidi kwamba Uwezo wa watanzania kufikiri ni finyu sana.

Additionally, ndani ya ardhi ya Tanzania, padre anaweza kubaka au kutembea na watoto wadogo na wake za watu, sheikh anaweza kufanya hivyo, mchungaji na mwinjilisti anaweza kuua au kulawiti pia, lakini bado utakuta msikiti, sinagogi au kanisa limejaa na ukijaribu kuhoji unaweza kuonekana mbaya na watu watakuchukia. Huu ni ushahidi wa kiithibati kwamba watanzania wengi tuna Uwezo mdogo sana wa kufikiri.

Watanzania wanaweza kunyanyaswa, kutukanwa, kudhihakiwa na kubezwa na mtu ambaye wao wenyewe wamempatia dhamana ya kuwawakilisha; mfano mbunge au waziri kwa kuwambia kama wanachukizwa na maamuzi yake basi wahame nchi waende nchi zenye vita yaani logically waende sehemu isiyosalama wakauliwe mbali kwani hawana thamani wala maana yoyote lakini cha kushangaza wao wanaona ni sawa na mtu huyu anashangiliwa na kupigiwa vifijo na nderemo. Ukiwambia hiyo siyo Sawa lazima wewe uonekane mjuaji na unadharau viongozi. Hii inadhihirisha wazi kwamba Uwezo wetu watanzania wa kifikira ni mdogo sana.

Mtu anayejaribu kuwasaidia watanzania kwa kuwaonyesha hii siyo Sawa lazima kwa wengi aonekane mbaya, atatukanwa na hata kuombewa umauti kama siyo kuuliwa kabisa.

Ain’t surprised to see a plenty of threads against the genuine and honest man who sacrificed his life to show us what’s right and what’s wrong.

Rest In Peace “my hero”. You’ll always be in my heart.....JPM.

Aquila non capit muscas!
To be precise, ni 99.9999999999999999999999999999999999999999999999%. Taifa karibu lote ni mavi!
 
Back
Top Bottom